Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

View attachment 580244

- Kazi imeshaanza tayari ni kaazi juu ya kaazi, yaani Bampa to Bampa hahahahahaha ajira kwa vijana wadogo kama huyu ndio maana ya AKILI KUBWAZZZ yaani uzitumie kwa faida yako na usaidie na wengine hahahahaha U know!!

le Mutuz
U know what babu malizia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
 
U know what babu malizia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
upload_2017-9-4_19-32-5.jpeg


- Leo tunafunga Special Professional Lights za kurekodia vipindi na tunaendelee kuonyesha Soka la Dunia bure, so tupo right on the track na time yaani kazi kazi!

le Mutuz
 
794918dcc5f0cfa50b286c0b4a37facf.jpg


Hivi babu Le mutuz ni kweli ndo unajiita king of tz social media kwa kupost hii ndo habari itakayokufanya mtu aweke tangazo kwenye Blog yako?
mkuu unaharibu career za watu Plzz Step a side
 
Hongera ndugu angalau tupanulie wigo wa kupata kazi

IRON LADY!!!!
 
Nimeona picha nyingi sana hapa kwenye hii post lakini studio ya lemutuz ipo kama studio ya Cheche Mtungi kabla haikafanyiwa re-innovation kwenye Tamthilia ya Siri ya mtungi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lemutuz big up

Too complicated brother

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
le mutuz tv ina promo kubwa kuliko uhalisia... joti ana online tv lakini haina mbwembwe hivi, hata millard ayo pia au shigongo
 
Ujinga anaofanya ata alie na diploma awez kufanya

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

- hahahahaha sawa sawa bora ujinga unaolipa kuliko huu wako wa kunufaisha wengine kwa kutumia majina yako ya bandia nadhani ni ujinga suio maelezo hahahahahah mimi ujinga wangu unalipa ndio maana una wadhamini hahahahha

le Mutuz
 
43431a2e627734430d8a22b816138847.jpg
tatizo habari za huyu jamaa za ajabu kweli,

Sent using Jamii Forums mobile app

- Tuna post wanachopenda wananchi yaani demand ya the market ndio maana JF ina wasomaji wengi sana maana kuna watu kama wewe wanaotumia majina ya bandia kutukana watu ndicho wananchi wanachifuata hapa kama ulikuwa hujui nenda website zenye ishus serious huwezi kuona mtu, hahahahahaha

le Mutuz
 
794918dcc5f0cfa50b286c0b4a37facf.jpg


Hivi babu Le mutuz ni kweli ndo unajiita king of tz social media kwa kupost hii ndo habari itakayokufanya mtu aweke tangazo kwenye Blog yako?
mkuu unaharibu career za watu Plzz Step a side

- Again tuna post wanachopenda wananchi yaani wabebezzz kama huwapendi mama na dada zetu pole sana kuna wanaowapenda so relax wewe sio mwenyekiti wa Mitandao Tanzania.

le Mutuz
 
le mutuz tv ina promo kubwa kuliko uhalisia... joti ana online tv lakini haina mbwembwe hivi, hata millard ayo pia au shigongo

- Ndio maana tunatangaza pia kwa kutumia lugha ya Kichina tofauti na uliowataja ndio maana ya ubunifu na utofauti wetu sisi tupo kisayansi zaidi na kisasa zaidi.

le Mutuz
 
Back
Top Bottom