William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
angalau muajiri hata mwana jf mmoja kazi hata ya usafii awakilishe.
- sawa sawa boss nimekusikia
le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalau muajiri hata mwana jf mmoja kazi hata ya usafii awakilishe.
Mkuu umechanganya umesoma niliyemjibu?- kwa hiyo ina maana TV zetu za Tanzania zinapo onyesha vipindi vya BBC na nje nao unawaitaje?
le Mutuz
Mkuu umechanganya umesoma niliyemjibu?
Lemutuz Nation unazingua.
Umenipiga block Instagram hata sijui tatizo ni nini?
Huu mwaka sasa nashindwa kupata updates kwenye page yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhahaha si unajua hapa nzi wengi mkuu, nikiweka insta ID yangu hapa manyan'gau yataninyemelea- hahahahahaha nipe insta id yako nitakufungulia U know
le Mutuz
Hongera sanaView attachment 561944
- Hahahahaha anyways msingi wa thread ilikuwa kuhusu my new Studio for Online TV, huu ndio muonekano wake sasa hivi by next week tutakuwa hewani so kama tulivyoahidi tupo sawa sawa hahahahaha
le Mutuz
sawa cocochanel mwenyewe mwenyewe le jingazzz- hahahahaha siku ukiniona natumia majina ya bandia kama wewe ujue nimeshuka your level hahahahaha
le Mutuz
Mkuu inaonekana una serious bizness to talk with the akili kubwaz,inaonekana ulimsumbua le ubongoz so akaamua aku blockz u know!!! Kuna mwingine mwenye tatizo hukoooo ?Lemutuz Nation unazingua.
Umenipiga block Instagram hata sijui tatizo ni nini?
Huu mwaka sasa nashindwa kupata updates kwenye page yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu akili ndogo siku zote haiwezi ikashindana na akili kubwaz, u know... Le mutuz nathamini mchango wake sana isipokuwa nilimuomba namba ya simu ya le-mutindizzzz mmoja video queen flan ivi amazing na inasemekana ashawahi kuwa miss some where hapa downtown u know!!! So lemubebez akaamua kunipiga pini [emoji23][emoji23][emoji23] ili nisimsumbue, nadhani kashanijua.Mkuu inaonekana una serious bizness to talk with the akili kubwaz,inaonekana ulimsumbua le ubongoz so akaamua aku blockz u know!!! Kuna mwingine mwenye tatizo hukoooo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh ,sasa ukitaka mambo yawe vzur lazima uwe business mogul ndo utaelewana nae,umpeleke downtown mkapate le super coffe then umpeleke double tree for dinner,hapo ndo atakupa namba ya mtindiz coz rafiki zao ni ma tajili like davis masha and le rc mdogoz bashitez you know ,am humbled [emoji41]Hahaha mkuu akili ndogo siku zote haiwezi ikashindana na akili kubwaz, u know... Le mutuz nathamini mchango wake sana isipokuwa nilimuomba namba ya simu ya le-mutindizzzz mmoja video queen flan ivi amazing na inasemekana ashawahi kuwa miss some where hapa downtown u know!!! So lemubebez akaamua kunipiga pini [emoji23][emoji23][emoji23] ili nisimsumbue, nadhani kashanijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa cocochanel mwenyewe mwenyewe le jingazzz
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Unashindwa kupata le word of wisdom from le akili kubwaz,mtumie id aku unblock ,coz ukiacha the late jk nyerere,le baharia ndo mtu pekee hpa duniani mwenye hekima na upeo mkubwa wa kutishaLemutuz Nation unazingua.
Umenipiga block Instagram hata sijui tatizo ni nini?
Huu mwaka sasa nashindwa kupata updates kwenye page yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni mraya wako ndio sababu kapandisha huu uzi hapa,kweli ndege wafananao huruka pamoja vp huyo huwa anakuchokonoa...- sasa wewe mbona unanisoma halafu unalilia mbebezz wangu hahahaha
le Mutuz
- hahahaha usijali tupo pamoja sana nimeona, ni friendly fire usijali salute!
le Mutuz
Le mutuz is the only man who owns a Tv station,yet he cant stand a comment from a 100 followers instagram user and still confidently call his posts "FACTS"
Sent using Jamii Forums mobile app