William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Asee ww mzee una matatizo lkn sikulaumu yawezekana kuna kalaana kanakutafuna polepole,ngoja nikupe ushauri kidogo
Embu mtafute mzee Malecela umpigie magoti kama kuna nilichokukosea naomba nisamehe then uwatafute wajomba zako upande wa mama sababu mambo unayoyafanya hayaendani na umri wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa umri wake sio kbs,mtu anakimbiza miaka 60yrs tulitarajia awe kwenye level za kina Mbowe,kwa umri huo alitakiwa afanye mambo kimyakimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ipo... yangu macho..View attachment 556336
- hii ilikuwa Kigali chief yaani wacha kila mahali wabebezzz tu hahahaha wewe lia lia ila hapa maisha ni wabebe tu hahahaha I love it
le Mutuz
Halafu mademu wanasema ana kibamia...Unajua kujipa moyo mzee na wenyewe wameshakujua huna lolote ni joka la kibisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahView attachment 579657
- Le Mutuz Online TV tumeshaanza kutoa ajira kwa vijana wadogo, na wewe kama huna ajira karibu ujaribu hapa ni kazzzziiiii tu hakuna longo longo! hahahahaha Bampa to Bampa!
le Mutuz
Hongera le mutunzi le kubwa lao le janjaaa le mbululaziiii le kila kitu.
Hongera mno kwa hatua hiyo ila wapo humu watakubeza ww piga kazi tu maana wengine wanabeza nyuma ya keyboards tu........kaz juu ya kaziii yan bampa tu bambaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alhamdulilah walau kumkumbuka Muhamad
- hahahahaha mwambie sisi bongo tunakula batazzz hatuna muda wa kuishi kwa wasi wasi hahaha ona le bebezzz Super Mtindizz Rangi ya mtume U know
le Mutuz