Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Unataka tuweke sms zako na makonda pamoja nawauza ngada alafu mnajidai nilianza ivi hadi vile nyoo sasa kuanzia whatsapp had sms Messenger, fb hadi linkdin bila kusahau viber na sauti mnayo zungumza tunayo p*mb* nyinyi...
 
Embu ziweke mkuu tukate mzizi wa fitna
 
Unataka tuweke sms zako na makonda pamoja nawauza ngada alafu mnajidai nilianza ivi hadi vile nyoo sasa kuanzia whatsapp had sms Messenger, fb hadi linkdin bila kusahau viber na sauti mnayo zungumza tunayo p*mb* nyinyi...

- Kama unazo huhitaji kuuliza, Wauza Unga toka lini wakauliza kama wana ushahidi? hahahahaha halafu hayo yametokea wapi na mimi kujenga Studio yangu? hahahahhahahaa usiweweseke mkuu tulia kwanza subiri habari kamili

le Mutuz
 
Lemutuz my Brother huwa napenda kukushauri sana katika Ukweli na ndio maana siku zote huwa nawaza sana Umri wako kila nnapo ona Andiko lako ama kukutana na ww , Mm na ww tumeshakutana sana bila ww kujua , wht I knw ni kwamba , ww ni kati ya watu mliokua na chance kubwa ya kufanya mambo makubwa zaidi ya hayo unayodhani umefanikiwa kuyafanya , mistake unayoifanya ni moja , umeshindwa kujitofautisha ww na watu wengine badala yake umejikuta unafanya competation hadi kwnye minor issue .
Nadhani una wasiwasi na wakati uliopo/umri Vs mafanikio yako na ndio maana kwa lolote dogo utakalolifanya unaharibu kulipublisize ili ujipatie Selfconfort.

Najua unanielewa ..!
 
Unajidefend et eeeeeeh
- Kama unazo huhitaji kuuliza, Wauza Unga toka lini wakauliza kama wana ushahidi? hahahahaha halafu hayo yametokea wapi na mimi kujenga Studio yangu? hahahahhahahaa usiweweseke mkuu tulia kwanza subiri habari kamili

le Mutuz
 
- HUWA nayaita maneno ya wasiokuwa na maisha, labda siku moja nikukutanishe na Vijana 5 ninaowaajiri waliomaliza Vyuo Vikuu hapa Bongo uwaambie haya maneno yako na by the way katika kufanikiwa kwako kimaisha ukiwa mtoto mdogo unatoa ajira kwa watu wangapi hapa nchini? hahahahahahaha

- Pole sana huwa sisikilizi mburulazzz cause huna hoja jifunze kutumia ID yako kamili kama mimi may be naweza kukusikiliza ila kusikiliza maoni ya mtu anayetumia majina ya bandia NEVER

le Mutuz
 
Mbona kama umeandika kiswahili, ni TV online/online TV.?
 
Nadhani jamaa yule katoa support kubwa sana ili mambo yake yaende kupitia hapo !!!
 
Brother wala mm sihitaji kushindana na ww , kwa Jina lako , na Chochote unachoweza kukifanya nakiheshimu , tena sana , huwenda sithubutu hata kufunga Gidamu za Viatu vyako.
But kwenye ukweli nitabaki kusema ukweli.
Kilio changu ni kimoja tu kwako , kama kweli unahitaji kufika mahala zaidi ya hapa ulipo just get confedence/I kwn unayo but keep it on use effectivelly ,kua na maisha yanayoendana na Umri wako , zungumza na watu as A Big Bro, hizi lugha za vijana wadogo mitandaoni acha, zinafanya uonekane hata unayoyafanya ni useless .
Jus be smart.
Kuna mda mtu anakuignore tu sio kwa ajali ya kitu kingine ,No Jis the way unavyofanya Raaction zako Vs Umri wako.

NOTE.
JINA NINALOLITUMIA NDILO JINA LANGU HALISI.
 
- Thanks sana my friend Mungu akupe baraka sana, pamoja ninakimbisha ujenzi ili tuanze kazi juu ya kazi!

le Mutuz
Le mutuz Br uliniblock kimakosa Ista mpaka sahivi sijui kosa ni nini! Pls le Mutuz ni unblock.
 
Birds of the same feather.........Congrats Le Mutuz now you must act your age!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…