William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Lakini kwa huyu mzee ndo too much!! Yaani leo ndo nimejua huyu jamaa hamna kitu! Eti bila aibu anasema kwake hakuna umuhimu wowote kujenga kwa sababu hata Wahindi hawajengi! Wakati huo huo anasahau kwamba ana watoto aliowakimbia US ambao anatakiwa kuwaachia msingi kwavile bado ni wadogo!!!
- HAHAHAHAHAA unahangaika sana mambo ya maisha yangu na watoto wangu huyajui, mamambo ya kujenga nyumba wala sio muhimu sana sio watu wote duniani wanajenga nyumba, ninaweza nikanunua hata ninapoishi sasa hivi. Mjinga ni mke wako unayemlisha hapa hakuna majinga cause hakuna unayemlisha, wewe ni mjinga cause unataka kujifanya una akili sana kwa kutumia majina ya bandia ninasema wewe ni mjinga wenye akili hawatumii majina ya bandia kama mimi, so jipange tena ila hapa kwangu unapoteza muda wako bure wameshindwa wengi wameniacha kama nilivyo na hakuna hata moja walilotabiri lililonikuta,
- I am me na I love myself, kama niliyemuacha ni dada yako pole sana maana hii chuku haiwezi kuwa ya hivihivi nakuona mara nyingi sana ukihangaika na mimi, tatizo unatumia majina ya bandia so nakuona mjinga tu, ila ninapenda kwamba unajaza pages.
le Mutuz