Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
Huyi anafahamika fb 2 kwao dodoma hata hawamjui,istoshe hela hana anaishi kwa upambe tu toka lini kiblog kikakupa hela wa2 kibao wana blog na hawana kitu zaidi y umaarufu mbuzii

Na ndo maana nasema msando yupo sawa kwasababu wasanii wanatumika sana kuwanufaisha wajanja. Hapa coke wamekuwa wajanja!!
 

Kwa hiyo unajaribu kusema hawataingiza chochote kupitia campaign hii? Unauliza wametumia ngapi wakati unajua fika hakuna mwenye figure kamili hapa hila kwa kuwa wamewekeza hela lazima warejeshe pesa na ukitaka kujua wamewekeza pesa angalia matangazo na kila kitu na hata kuandika majina pesa imetumika
Hivyo vinywaji vitasambazwa nchi nzima!
 
Kwani Coca wamesema nan kalipwa nan hajalipwa? Inawezekana le mutuz anafanya hivo ili malipo yazidi kwa kuwekwa jina lake na kuitangaza coke zaid. Na amesema well kwamba ukiamua kuelimisha sio mpaka utukane.

- sALUTE!!

Le Mutuz
 
Kwa hiyo unajaribu kusema hawataingiza chochote kupitia campaign hii?

Kila siku wafanyayo biashara wanaingiza pesa. Hiyo ni no-brainer.

Unauliza wametumia ngapi wakati unajua fika hakuna mwenye figure kamili hapa

Kama hapa hakuna mwenye figure kamili je, hapa wapo wenye taarifa zote kuhusu hiyo kampeni? Wewe unayajua makubaliano yaliyofikiwa kati ya Coca-Cola na hao watu ambao majina yao yamechapishwa kwenye hizo chupa?

hila kwa kuwa wamewekeza hela lazima warejeshe pesa na ukitaka kujua wamewekeza pesa angalia matangazo na kila kitu na hata kuandika majina pesa imetumika

Okay, so?

Hivyo vinywaji vitasambazwa nchi nzima!

Kwa hiyo chupa zenye jina la Le Mutuz zitapatikana nchi nzima? Wewe hilo umelijuaje? Nipe chanzo au vyanzo vya ukweli huo, tafadhali.

Kama unasadiki sema tu unasadiki ili nisiendelee kuhoji.
 



- Hii picha nilipiga na wafanyakazi wa ICL Miezi 2 iliyopita siku nilipokwenda kusaini mkataba mpya na ICL ambao ndio handlers wa Cocacola, baada ya makubaliano wakaniomba nihudhurie party yao hii hapo juu. So nilianza mahusiano na Cocacola loong time ago hata kabla hawajafikiria kutengeneza makopo, na walipoamua kutengeneza makopo wiki nne zilizopita walinifahamisha na kwamba watanitengenezea kopo lenye jina langu as a sample na hatimaye watatengeneza ya kuuza tukakubaliana kwamba kopo la kwanza is no problem ila ya kuuza tutakaa chini kuhusu malipo yake separate, sasa nashangaa supposedly Mwanasheria wa Instagram, sijawahi kuona Mwanasheria akifanya mambo ya Sheria Instagram na kutukana watu asiowajua, kama alitaka kuwaonya wasanii wake angefanya hivyo lakini kutujumuisha wote that was wrong, sio yeye peke yake hapa mjini anayejua Sheria wapo Wanasheria wengi sana hapa mjini na besides kweli anaweza kunifundisha mimi my rights za kisheria? Are serious au unajichezea.

- Mwanasheria wa kwenda kutukana watu Instagram kwangu ni maajabu makubwa sana hili suala la Cocacola na makopo limeleta kizungu zungu sana mapaka ninajiuliza ni kweli ni tatizo la makopo au kuna zaidi ya makopo? Nimewaomba wale wote wanaohusika wawe wawazi kuhusu tatizo lao la kweli badala ya kujificha nyuma ya makopo!

- Tena tizama mkono wangu wa kushoto nimeushika mkataba wenyewe mkononi live!!

Le Mutuz
 
Mnamjua huyu?

Japanese PM right?...
wabongo kwa kupiga hela hehehe,
waende coca basi wakadai malipo lol
hii share a coke ya siku nyingi sana,hata bila maceleb coke inauza tu
enewei na me nataka customized badiebey jmn namwambia nan anapeleka majina huko.??
 
Japanese PM right?...
wabongo kwa kupiga hela hehehe,
waende coca basi wakadai malipo lol
hii share a coke ya siku nyingi sana,hata bila maceleb coke inauza tu
enewei na me nataka customized badiebey jmn namwambia nan anapeleka majina huko.??

Yup..Shinzo Abe!

Ushamba na ujinga tu ndo tatizo.
 
Glad to see you here ma man.

Please give us the inside skinny on what really went down.

- got you maan huo juu ndio ukweli wa what happened, huyo dogo ni Mwanasheria wa Zitto sasa nashangaa kwamba Zitto ana hela kuliko yeye lakini sijasikia akitukana mtu, kijana pesa kidogo tu utadhani anamlipia mtu maisha hapa mjini kumbe wala kila mtu hapa mjini anakula kwa urefu wa kamba yake mamen U know the deal!!

Le Mutuz
 

le mutuz na mi waambie wantengenezee le badiebey u know,for freee
 
le mutuz na mi waambie wantengenezee le badiebey u know,for freee

- Ukweli ni kwamba makopo ya kwanza waliamua wao nani apewe ila wewe ukienda now kuwaomba wanakutengenezea bila tatizo hata kama sio Star, ila makopo ya kwanza waliamua kuchagua wao

Le Mutuz
 

Quick question
Unakubali kuwatangazia cocacola bidhaa zao bila malipo?
 
Japanese PM right?...
wabongo kwa kupiga hela hehehe,
waende coca basi wakadai malipo lol
hii share a coke ya siku nyingi sana,hata bila maceleb coke inauza tu
enewei na me nataka customized badiebey jmn namwambia nan anapeleka majina huko.??

Unajua maana ya advertisement?
Kwann wanawatumia watu mashuhuri wacheza Moira,wanamuziki kutangaza biashara Zao?
Kama ni kweli kwann wanatumia billions kuandaa matangazo ?nadhan ubongo wako umeganda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…