William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Quick question
Unakubali kuwatangazia cocacola bidhaa zao bila malipo?
- got you maan huo juu ndio ukweli wa what happened, huyo dogo ni Mwanasheria wa Zitto sasa nashangaa kwamba Zitto ana hela kuliko yeye lakini sijasikia akitukana mtu, kijana pesa kidogo tu utadhani anamlipia mtu maisha hapa mjini kumbe wala kila mtu hapa mjini anakula kwa urefu wa kamba yake mamen U know the deal!!
Le Mutuz
Unajua maana ya advertisement?
Kwann wanawatumia watu mashuhuri wacheza Moira,wanamuziki kutangaza biashara Zao?
Kama ni kweli kwann wanatumia billions kuandaa matangazo ?nadhan ubongo wako umeganda
Acha unafki umetukanwa WAP?
- Kwa mfano bidhaa gani ya Cocacola niliyoitangaza bila malipo?
Le Mutuz
- Hivi Cocacola walitumia bunduki kuweka mtu kwenye kopo?
Le Mutuz
- Ameandika matusi mengi sana na lugha za chooni kwa Mwanasheria anayetakiwa kutafuta clients, sasa unapataje clients kwa kuwatukana?
Le Mutuz
Unadhan kuandikwa jina lako kwenye kopo lao unafanya nn kama sio advertisement yao?
Dude kumbe hujui hata unachokifanya?
All u care is fame ?duuuu
Unadhan kuandikwa jina lako kwenye kopo lao unafanya nn kama sio advertisement yao?
Dude kumbe hujui hata unachokifanya?
All u care is fame ?duuuu
Acha unafki bwana William malecela wote tumeona post na comment za msando so hauna haja ya kuendelea kudanganya umma
Unajua maana ya advertisement?
Kwann wanawatumia watu mashuhuri wacheza Moira,wanamuziki kutangaza biashara Zao?
Kama ni kweli kwann wanatumia billions kuandaa matangazo ?nadhan ubongo wako umeganda
Hivi hapa tunaelimishana au watu wanashusha stress zao?
Hivi hapa tunaelimishana au watu wanashusha stress zao?
Tatizo la msando anataka kuwachukulia wasanii au viceleb vya bongo vyote vijinga na kwa kiasi kikubwa kawawin wengi amesahau kama Le mutuz kuna mambo huwezi kulipeleka. ..ujue ukiwa mtoto wa town hata ukiwa boya kiasi gani huwezi kupelekeshwa na mtu wa mkoani. ..Le mutuz town moja,msando mkoa moja
- Hii picha nilipiga na wafanyakazi wa ICL Miezi 2 iliyopita siku nilipokwenda kusaini mkataba mpya na ICL ambao ndio handlers wa Cocacola, baada ya makubaliano wakaniomba nihudhurie party yao hii hapo juu. So nilianza mahusiano na Cocacola loong time ago hata kabla hawajafikiria kutengeneza makopo, na walipoamua kutengeneza makopo wiki nne zilizopita walinifahamisha na kwamba watanitengenezea kopo lenye jina langu as a sample na hatimaye watatengeneza ya kuuza tukakubaliana kwamba kopo la kwanza is no problem ila ya kuuza tutakaa chini kuhusu malipo yake separate, sasa nashangaa supposedly Mwanasheria wa Instagram, sijawahi kuona Mwanasheria akifanya mambo ya Sheria Instagram na kutukana watu asiowajua, kama alitaka kuwaonya wasanii wake angefanya hivyo lakini kutujumuisha wote that was wrong, sio yeye peke yake hapa mjini anayejua Sheria wapo Wanasheria wengi sana hapa mjini na besides kweli anaweza kunifundisha mimi my rights za kisheria? Are serious au unajichezea.
- Mwanasheria wa kwenda kutukana watu Instagram kwangu ni maajabu makubwa sana hili suala la Cocacola na makopo limeleta kizungu zungu sana mapaka ninajiuliza ni kweli ni tatizo la makopo au kuna zaidi ya makopo? Nimewaomba wale wote wanaohusika wawe wawazi kuhusu tatizo lao la kweli badala ya kujificha nyuma ya makopo!
- Tena tizama mkono wangu wa kushoto nimeushika mkataba wenyewe mkononi live!!
Le Mutuz
Mkuu Lemutuz asante kwa ufafanuzi naomba kuuliza hapo kuhusu kopo la kwanza! Hilo kopo la kwanza una maanisha kopo moja la soda au mauzo ya mkupuo wa kwanza?
Dizaini unatamani sana na wewe jina lako lingeandikwa.
Too bad nobody gives a rats azz about yo azz:becky::becky::becky::becky:
- Nina maana kopo la sample binafsi wamenipa mawili ya Sample ambayo wote tulipewa Jumatatu siku ya siku kuu, huyu Mwanasheria ambaye unaonekana kumuunga mkono hayupo sawa kwenye this ishu, kama shida yake ilikuwa kuwatisha Cocacola wampe kazi angetumia njia nyingine ila sio kunitukana mimi hapo amekosea sana, na naomba kukupa angalizo anything ukiona mimi nimo hapa mjini kuwa muangalifu sana kabla ya kutoa hukumu mimi siendi hovyo on anything kaka hapa mjini, nilizaliwa Ocean Road hapa hapa mjini so kwenye post yako ya kichwa cha mada umekosea sana!! naomba uniombe radhi mkuu!!
Le Mutuz
Mkuu Lemutuz bado sijaona sababu ya Mimi kukuomba radhi maana hakuna kibaya nilicho andika Nilimuunga mkono kwa kuwa alilo lieleza lina mantiki kabisa maana alikuwa anapinga wasanii kukubali kuwekwa majina yao bure labda kama halikuwa la ukweli!
Kuhusu kichwa cha mada sioni niliandika kutoka na malumbano yenu na Msando! Msando alidai anatetea haki za wasanii na wewe ulidai kuwa Msando anaona wivu kwa ...hapo ndio nilipo kuja na kichwa kinacho sema lemutuz Vs Msando ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca-cola?
Sijaona nilipo kosea ningekuwa kweli nimekukosea na nimepaona nisinge sita kukuomba msamaha kabisa!