Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.

Mkuu Asante! Ningefurahi na MsandoAlberto angejitokeza kwenye huu mjadala ingekuwa vizuri! Pengine wasanii anao wasimamia ndio walimwabia kuwa hawalipwi!

Lakini nini msimamo wako kuhusu lile linalosemwa kuwa hili swala la kuweka majina ya watu hasa mashuhuri kwenye makopo kuwa ni bure hata huko ulaya na Coca-cola husema ni zawadi tuu kwa wahusika!
 
Last edited by a moderator:

Hongera ndugu..... Move on! You know! No time to argue.... Ha ha haaaaa!!
 
Kwanza mkuu ningekuomba u-apologise kwa ku-mislead jukwaa kuhusu picha ya Manchester United Class of92' sababu umeshindwa kutolea maelezo hiyo picha imetoka wapi? nani kaipiga?

Niombe radhi ya nini wakati nimeweka link ya nilipoitoa?

Hujaiona hiyo link ya gazeti la Daily Mail?
 
Nilivyoelewa baada ya maelezo ya W. J. Malecela, Coka wamewachukua maceleb kwenye uzinduz na kuwapa personalised Le Kopoz kama token.

As it looks, wanazouza zina majina ya kawaida kabisa tena moja moja. Mfano kwa Tz unaeza kuta Mrisho, Benjamin, Ali, Julius, etc. Kwa maelezo ya Le Mutu, hutakuta Le kopo la koka la Le Mutu likiuzwa kitaa.

Hiyo ndo Albert alikataa wasanii 'wake' wasikubali. Mfano ukute Le Kopo la Kidoti, AY, MwanaFA, etc. Hiyo itaenda moja kwa moja kwenye kuhitaji mikataba na malipo.

To that extent, kuna yoyote mwenye ushahidi wa jina la staa ambalo si common name, hata huko nje, lililotumika madukani ukiacha lile Le Kopoz la token?
 
Last edited by a moderator:

Pili mkuu hakuna aliyelipwa kwenye hii scheme, kwahiyo hawa wanaopiga porojo hapa wamelipwa hakuna hata mmoja. Issue nzima ilikuwa ni kutumia common names na watu wajitolee wenyewe haikuwa swala la endorsement ya Coke sababu CocaCola brand yenyewe inajitosheleza.

Ila kama wenyewe walikubali hayo makopo kama appreciation ya kazi au michango yao kwa jamii ni wao wenyewe. Ila wajue CocaCola Tz watapiga hela na sales yao itaongezeka maradufu kama watatumia majina ya hao maselebu kuuza soda zao.

Wajinga ndiyo waliwao sababu maselebu wengi hapa home hawana menejimenti timilifu inayojua swala zima ya kutetea branda zao. Na ninavyojua mimi hapa nyumbani hakuna hata masanii mmoja mwenye IP na jina lake hivyo hata CocaCola wakiamua wanaweza kutumia majina yao na wasifanye chochote.
 
Last edited by a moderator:

Kaka Wema na Jide wanauwezo mkubwa wa kuongeza mauzo ya coke and trust me hata one bottle counts, wanaweza wakaongeza directly and inderctly Mf leo wema apost IG aombe followers 100 wajitokeze kununja soda yenye jina lake trust me wataumizana(hio ni directly) indirectly ni watu KUSHAWISHIKA kwenda na kuomba watengenezewe chupa zenye majina yao na ya wanaowataka(hata kwa wale wasiokunywa coke) hii ni alama ya kumbukumbu nak watataka wawe kama Jide..
 
Kutoka insta
 

Attachments

  • 1421436535428.jpg
    59.1 KB · Views: 149
  • 1421436557451.jpg
    80.4 KB · Views: 153
  • 1421436581648.jpg
    81.3 KB · Views: 142
  • 1421436604093.jpg
    66.9 KB · Views: 148
  • 1421436680148.jpg
    69.6 KB · Views: 142
  • 1421436703693.jpg
    91.5 KB · Views: 134
Le mutuz hana hekima hata tone....... Yule ni msomi vyeti ila kichwani big 0
Hamuwezi Msando
 
Wenyewe wakiwa na tabasamuuuu
 

Attachments

  • 1421437044432.jpg
    62.9 KB · Views: 197
  • 1421437078933.jpg
    69.3 KB · Views: 186
  • 1421437114939.jpg
    60.1 KB · Views: 181
  • 1421437133734.jpg
    57.1 KB · Views: 185
  • 1421437148543.jpg
    71.7 KB · Views: 174
  • 1421437165444.jpg
    67.4 KB · Views: 170
  • 1421437184938.jpg
    81.2 KB · Views: 167
  • 1421437203277.jpg
    62.2 KB · Views: 164
  • 1421437218048.jpg
    62.9 KB · Views: 164

Attitude hii ya utoto wa mujini ndio imefanya Panya Road wazidi kuongezeka mujini.Utakula utoto wa mjini?
 

Ulivyoeleza ndo haswa na mimi nilichokielewa tokea mwanzo.

Kwamba, si kwamba Coca-Cola wameingia kwenye long term deal na Wema au Le Mutuz na kwamba chupa za soda zenye majina yao zitakuwa zikiuzwa madukani kuanzia sasa kote nchini.

Hapana. Ni kwamba kwenye uzinduzi wamewachagua hao watu na baada ya hapo hutaenda kwenye baa na kukuta chupa ya Coke yenye jina la P Funk.

Pia, wamechagua majina kama 200 hivi yaliyo common ambayo yatachapishwa kwenye hizo chupa. Ila, ikitokea wewe jina lako si moja la hayo mia mbili basi na wewe unaweza kuomba chupa ya soda yako iwe personalized free of charge.

Hivyo ndivyo nilivyoelewa mimi na hivyo ndivyo Le Mutuz alivyoelezea.
 
Ila kama wenyewe walikubali hayo makopo kama appreciation ya kazi au michango yao kwa jamii ni wao wenyewe. Ila wajue CocaCola Tz watapiga hela na sales yao itaongezeka maradufu kama watatumia majina ya hao maselebu kuuza soda zao.

Hivi imesemwa kuwa Coca-Cola itayachapisha majina ya hao wasanii kwenye soda zitakazokuwa zinauzwa madukani na kwenye kumbi za starehe?
 
Hivi imesemwa kuwa Coca-Cola itayachapisha majina ya hao wasanii kwenye soda zitakazokuwa zinauzwa madukani na kwenye kumbi za starehe?

Mkuu not necessary wachapishe majina yao kwenye chupa zinazouzwa street, NO! kitendo cha kutoa Picha ya FidQ et al na kichupa chenye jina lake tayari ni promotion ya bure kwa CocaCola. Unaweza kuwadharau sababu ni bongo flavour/movie lakini kama ungekuwa na idea ya marketing and sales strategies ungeweza kunielewa ni nini naongea.

Hawa watu wana-followers na kwa nafasi zao influence yao ni kubwa kulinganisha mimi na wewe regardless of their background or education level.
 

Mkuu not necessary wachapishe majina yao kwenye chupa zinazouzwa street, NO! kitendo cha kutoa Picha ya FidQ et al na kichupa chenye jina lake tayari ni promotion ya bure kwa CocaCola. Unaweza kuwadharau sababu ni bongo flavour/movie lakini kama ungekuwa na idea ya marketing and sales strategies ungeweza kunielewa ni nini naongea.

Hawa watu wana-followers na kwa nafasi zao influence yao ni kubwa kulinganisha mimi na wewe regardless of their background or education level.

Kwa mfano Juma Nature kwenye kutoa albamu yake ya Ugali alijaza watu Uwanja wa Taifa hii inaonyesha huyo mtu ana nafasi yake kwenye jamii kwa mantiki hiyo kibiashara anaweza kutumika na akainfluence sales sababu ana followers.

Mfano mdogo tu na wa Mwisho sikiliza kwa makini sana wimbo wa Afande Sele "Kioo cha Jamii"
 
Last edited by a moderator:
After reading this,i have nothing to add

Thanks Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Mbona yule bikra wa kisukuma nae naona anasema kuna mtu anaona wivu cos jina lake halipo.. nikajua anamuongelea le mutu

Hivi huyu bikira wa kisukuma mbna kajipatia umaarufu kizembe namna hii??? Anahusika na nini haswa ukichia hiyo akaunti yake ya instagram
 

Mkuu nsando vs lemutuz heading haipo sawa ni kudhalilisha jamii ya Learned Brothers & Sisterz.Nsandro ametoa Legal advice huyu mburura ye kaongea ki lay man.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…