Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
Zikifika page10 atakuja!!!nahitaji nione utetez wake katika hizi tuhuma anakuja na le tamKOz gan mazafanta:what::what:
 

Attitude kama hii ya kwako imepelekea vijana wengi wa hapo unapopaita town kuishia kula miguu ya kuku na utumbo wa kuku.
Una attitude ya masikini mzoefu.
 
sitaki kuamini kwamba coca hawatowalipa hao wasanii,nakumbuka babu wa ku-humble alisema anatushukuru sisi wana jf kwa kumfanya afahamike na kuchangia jina lake kuwa kwenye kopo.
 

Wasanii wasipokuwa makini watutumika kama toelet pepa,huu ni wakati wao wa kupata pesa wasiuchezee wakati wao,mbona wasimchukue daz nunda au mister nice kama wanawapenda wasanii?nia yao nikuwatumia kama karatasi ya kuchambia mavi ukishaimaliza unaitupa
 

Nafikiri msando yuko sahihi yeye alichokifanya ametumia taluma kushauri ili wasanii wanufaike
 

Naleo wame kwenda kwenye launch party mlimani city! Wangekuwa wanalipwa MsandoAlberto asinge andika yale maana kwanza yuko karibu nao! Hakika sanaa haito songa mbele kabisa kwa mtindo huu.

Hichi ndio kitakuwa kipimo cha uwezo wa kufikiri wa wasanii wetu.
 
Last edited by a moderator:
sitaki kuamini kwamba coca hawatowalipa hao wasanii,nakumbuka babu wa ku-humble alisema anatushukuru sisi wana jf kwa kumfanya afahamike na kuchangia jina lake kuwa kwenye kopo.

Mkuu we msome MsandoAlberto kuna attachment humu utaelewa kuwa hawalipwi
 
Last edited by a moderator:
Ivi izi soda zenye majina ya wasanii zitakua zinauzwa eh?
 
Attitude kama hii ya kwako imepelekea vijana wengi wa hapo unapopaita town kuishia kula miguu ya kuku na utumbo wa kuku.
Una attitude ya masikini mzoefu.

Teh Teh wanafurahi kuitwa wa town huku mfukoni hakuna kitu ni ujinga! Yani mtu mzima anafurahia jina lake kuwekwa kwenye kopo!
 
Vita inayoendele kati ya Le Mutuz na mwanasheria Alberto Msando Kuhusu zawadi zinazotewa na coca cola kwa ma celebrate wa bongo imeingia hatua nyingine baada ya Le Mutuz kutoa karipio kali baada ya kutishiwa na Alberto Msando na nukuu kama Le Mutuz aliyoandika Insta...

Hahahahaha eti haya maneno yameandikwa na Mwanasheria hahahahh ni Mwanasheria wa nini hasa ambaye hajui kwamba hapa mjini kuna apartment zinauzwa USD $300,000 ambazo unaweza kujenga nyumba 10 kama zake huko swekeni anakoishi? .......sikufahamu ila leo nimeuliza wanaokufahamu vizuri pale Tripple 777 I mean hakuna hata mmoja anayetaka kukuskia kumbe ndio maana umekimbilia Uanasheria wa Instagram wa kutishia na kutukana wasio jua sheria hahah.....eti unanitisha mimi about choosing the battle hahahahah kwani unaweza kufanya nini Mwanasheria wa kutukana usiowajua Instagram? ... wewe u aweza kunitisha mimi are U serious au unatania hahahhahah nenda jipange tena hao unaowacheka wanakaa chumba kimoja cha kupanga ni binadam pia kama wewe mimi sikai chumba cha kupanga pole sana tishia wengine hapa umepiga mwamba una hela za kukutosha mwenyewe ila huna za kumsaidia yoyote badala ya kuandika ujinga huku nipigie tukutane mkuu mimi huwa sina uoga halla at 0717 618 997 wacha filimbi boss wako Zitto ananifahamu sana kijana mdogo ila hana ujinga kama wako you just an idiot! - le Mutuz
 
Leo nimekuja kujua kuwa lemutuz ni jamaa flan asiyekuwa na akili. Cjui nilichelewa wapi kujua hilo!! Msando hakukosea kutoa maoni yke ni kama ushauri kwa wasanii" wazo zuri lakn huku mtu mwenye utindio wa ubongo kubwa zima linaanza kuandika IG upuuzi na kumkashifu msando"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…