Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la msando anataka kuwachukulia wasanii au viceleb vya bongo vyote vijinga na kwa kiasi kikubwa kawawin wengi amesahau kama Le mutuz kuna mambo huwezi kulipeleka. ..ujue ukiwa mtoto wa town hata ukiwa boya kiasi gani huwezi kupelekeshwa na mtu wa mkoani. ..Le mutuz town moja,msando mkoa moja
Wajamvi wasalaam!
Kuna vita ya maneno imezuka na inayo endelea kati ya Lemutuz na Mwana sheria Albert Msando!
Hii vita ya maneno imezuka baada ya kampuni ya Coca-cola kutangaza kampeni ya kuweka majina ya watu maarufu kwenye makopo ya kinywaji cha Coca-cola na bila shaka hii vita imezuka baada ya wawili hao kushindwa kuelewana kwenye hili swala maana kila mmoja ana malengo yake!
Lemutuz ameonesha kuwa Msando ana wivu kwa kuwa jina lake halipo kwenye list ya watakao wekwa kwenye makopo huku Msando akisisitiza kuwa Wasanii wasikubali kuwekwa majina yao kama hawalipwi na akisema kukubali hilo ni kukubali unyonyaji.
Kimsingi Alberto Msando amepinga wasanii anao wasimamia kukubali kuwekwa majina yao kwenye vinywaji hivyo bila malipo yeyote yale! Na katika hili nami naungana na Msando kuwashauri wasanii wote au watu maarufu kukubali mpango huu wa kutumika majina yao kuwatajirisha Coca-cola!
Kimsingi Coca-cola watatumia majina ya wasanii na watu maarufu kuingiza pesa huku wenye majina wakibaki watupu mifukoni! Hakika hili litatokea Tanzania pekee kama watu watakubali kutumiwa bure!
Kuna watu wako tayari kutumiwa bure lakini hawa wasanii wetu kwakweli itakuwa ni aibu sana na sitaki kuamini kama Coca-cola wana mpango wa kuwanyonya wasanii kwa njia hii huku wao wakitajirika!
Wasanii wanatakiwa kuonesha msimamo wao kwenye hili na kulipinga na wahakikishe wanalipwa ndio wakubaliane na mpango huu!
Katika hili kuna mmoja anapigania haki za wasanii na mwingine anapigania kopo la Coca-cola!
Karibuni wanajamvi
Tatizo la msando anataka kuwachukulia wasanii au viceleb vya bongo vyote vijinga na kwa kiasi kikubwa kawawin wengi amesahau kama Le mutuz kuna mambo huwezi kulipeleka. ..ujue ukiwa mtoto wa town hata ukiwa boya kiasi gani huwezi kupelekeshwa na mtu wa mkoani. ..Le mutuz town moja,msando mkoa moja
Attitude kama hii ya kwako imepelekea vijana wengi wa hapo unapopaita town kuishia kula miguu ya kuku na utumbo wa kuku.
Una attitude ya masikini mzoefu.
Wasanii wasipokuwa makini watutumika kama toelet pepa,huu ni wakati wao wa kupata pesa wasiuchezee wakati wao,mbona wasimchukue daz nunda au mister nice kama wanawapenda wasanii?nia yao nikuwatumia kama karatasi ya kuchambia mavi ukishaimaliza unaitupa
sitaki kuamini kwamba coca hawatowalipa hao wasanii,nakumbuka babu wa ku-humble alisema anatushukuru sisi wana jf kwa kumfanya afahamike na kuchangia jina lake kuwa kwenye kopo.
Attitude kama hii ya kwako imepelekea vijana wengi wa hapo unapopaita town kuishia kula miguu ya kuku na utumbo wa kuku.
Una attitude ya masikini mzoefu.
Hivi bifu la ke mnazi na bikira halijaisha???
Kipa wa Ndanda
Teh Teh wanafurahi kuitwa wa town huku mfukoni hakuna kitu ni ujinga! Yani mtu mzima anafurahia jina lake kuwekwa kwenye kopo!