Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.

Hivi wanaweza tu kutumia Lady Jaydee au Le Mutuz bila kuwasiliana nao na wao kuridhia?

Sasa tuseme hao maselebu wa bongo nao wameridhia kwa sababu na wao wanapata promo ya bure, tatizo liko wapi?

Hivi seriously kampuni kama Coca-Cola ambayo imekuwepo kwa miaka 128 inahitaji endorsements za mtu kama Wema?

Y'all can't be serious.
 
Coke also reached out to celebrity influencers with a large social media track by sending personalized kits with a Coke product bearing their name and campaign messaging to share with their network of fans.

http://www.newsgeneration.com/2014/03/27/pr-case-study-share-a-coke/
 
Mawasiliano yapo ila ufahamu wa hawa maselebu wetu wako tofauti na pia kuchangiwa na kutotambua nguvu za majina yao.

Kwenye promo ya bure ndivyo kama unavyoona mtu mwenye degree tatu exposure nje ya nchi for over 30yrs still ajitambui kuwa jina lake could be a brand.

Sasa hapo hapo wapo wanaotambua nguvu ya majina yao hivyo japokuwa Coca ni among poweful brand in the world lkn stil watu kama Wema au Jide wanauwezo wa kuinfluence Coca's sales kwa mashabiki wao. Ambacho mimi nakubaliana nacho kabisa na wanastahili malipo.
 
This article failed to mention at least one of the celebrity whom have been reached by CocaCola.

Hizi info za blogs are not reliable source of info as they could be written by anybody, any where without any verification of materials displayed.
 
Sasa tuseme hao maselebu wa bongo nao wameridhia kwa sababu na wao wanapata promo ya bure, tatizo liko wapi?

Kama Bongo kuna macelebrity ambao wanajiona ni babkubwa zaidi basi wasikubali their brand names kuwekwa kwenye makopo ya soda ambayo tofauti na chupa za bia yataishia kwenye majalala.

Ila kwa wale wasanii wanaoibukia au wale ambao hawapewi airtime ya kutosha wanaweza kupata publicity kupitia Share a Coke.

Kimsingi hao macelebritry waelimishwe tuu faida na hasara za kushiriki kwa kutumia their brand names.

Wasikatazwe wala wasisutwe kushiriki, bali wapewe impartial and unbiased advice and information wenyewe ndo waamue.

Kama wapo ambao pamoja kushauriwa wanashindwa kufanya maamuzi based on the advice and info given na PR kuamua ku-step in their shoes, then s/he must act for the best interests of that particular artist na siyo wote kwa ujumla as their interests may vary.

BTW hivi macelebrate wetu wana public relation managers?
 
Mawasiliano yapo ila ufahamu wa hawa maselebu wetu wako tofauti na pia kuchangiwa na kutotambua nguvu za majina yao.

Okay, sasa kama yapo tatizo liko wapi? Hayo majina yao yalichapishwa bila ridhaa yao?

Kwenye promo ya bure ndivyo kama unavyoona mtu mwenye degree tatu exposure nje ya nchi for over 30yrs still ajitambui kuwa jina lake could be a brand.

Kusema ukweli mimi naona hapa kuna overreaction inayotokana na ujinga (ujinga siyo tusi, btw) tu.

Coca-Cola is a global conglomerate that has been around for almost 129 years. It doesn't need no-talent celebs to endorse its products.

Kilichotokea hapo ni win-win situation.

Sidhani kama Wema na Jide wanaweza kuongeza mauzo ya Coca-Cola.

Brand ya Coca-Cola ni iconic.

If anything, profile ya hao no-talent celebs ndo inaweza kuwa raised na Coca-Cola na pengine kuongeza idadi ya watu wanaowajua.

Lakini kudai eti Wema aongeze mauzo ya Coke kisa jina lake lipo kwenye chupa? Sidhani hata kidogo.

Labda kwa Azam Cola lakini siyo Coca-Cola, the iconic brand that's almost 129 years old.
 
This article failed to mention at least one of the celebrity whom have been reached by CocaCola.

Hizi info za blogs are not reliable source of info as they could be written by anybody, any where without any verification of materials displayed.

Have you also followed and read what is in the hyperlinks of the article?
 
Mkuu hapa kinachofanyika ni guess work pia hujawatendea haki sababu umewa-undervalue. Tazama number of followers kwenye social media (twitter, facebook etc) Mfano rahisi tu Global Publishers mauzo ya magazeti yao yanakuwa influenced na hawa hawa maselebu. Unapoangalia hili swala try to be neutral,

pili kama CocaCola hawawahitaji hawa maselebu kwanini waliianzisha mawasiliano nao. Wangetoa tu makopo yao na majina common 200 simple leo kusingekuwa na hata hii debate hapa. Wamefanya hizo kwa sababu wananajua wakitumia majina yao mauzo yatakuwa maradufu simple.
 
Mfano rahisi tu Global Publishers mauzo ya magazeti yao yanakuwa influenced na hawa hawa maselebu. Unapoangalia hili swala try to be neutral,

So, hawa maselebu wawe compensated na global publishers kwa kunufaika na habari zao? Sidhani una maana hiyo.

Pili hivi hao maselebu hawanufaiki kwa lolote kwa Global Publishers kuwaandika magazetini?
 
Have you also followed and read what is in the hyperlinks of the article?

mkuu kwanza utambue hii ni PR blog, pili hawa celebrity waliowekwa humo ndani hapo UK kwenyewe kuna watu wanaweza kutowatambua wao ni nani. Hivyo utaona wanavyotumia maneno ya ushabiki "celebrity inflencers" "large social media track" then we should ask our self how large is it? are these global celebrity influencers or local ones?

in short still this info are questionable if you briefly read about the blog itself?
 
Mkuu hapa kinachofanyika ni guess work pia hujawatendea haki sababu umewa-undervalue.

Guesswork, speculation, or whatever, I still don't think that they didn't assent to their names being used.

Tazama number of followers kwenye social media (twitter, facebook etc) Mfano rahisi tu Global Publishers mauzo ya magazeti yao yanakuwa influenced na hawa hawa maselebu. Unapoangalia hili swala try to be neutral,

Hivi kweli unataka kunambia hao followers siyo wanywaji wa Coca-Cola au Coca-Cola products? Unataka kunambia katika hao followers kuna ambao hawajahi kuisikia au kuiona Coca-Cola?

Hii kampeni ya Share a Coke hata kwa Tanzania watachapisha 200. Kwa hiyo si majina ya hao so called maselebu tu ndo yatakuwa kwenye hayo makopo. Hata majina mengine ya watu kama vile Chris na Jerry yatakuwepo. Ingia Bongo5 kwa habari zaidi.

Hii Share a Coke siyo endorsement campaign na haijaanzia Tanzania. Marekani (inakotengenzwa hiyo Coca-Cola) ilikuwepo, Uingereza ilikuwepo, Australia ilikuwepo, na kwingineko huko imeshakuwepo.

Sioni tatizo liko wapi kama Le Mutuz mwenyewe aliridhia jina lake hilo lichapishwe kwenye kopo la hiyo soda.

Imagine unaenda kwenye kiosk unanunua soda unapewa iliyo na jina la Le Mutuz. Kama ulikuwa humjui sasa utamjua.

A win-win situation.
 
Reactions: EMT

Nenda Google images search share a coke and celebraties utawaona wengi tuu na chupa zao za maji meusi.
 
Pili hivi hao maselebu hawanufaiki kwa lolote kwa Global Publishers kuwaandika magazetini?

Any publicity is good publicity.

Na ambaye haandikwi magazetini basi ujue huyo most likely hayuko relevant kwenye hizo circles zake.
 
So, hawa maselebu wawe compensated na global publishers kwa kunufaika na habari zao? Sidhani una maana hiyo.

Pili hivi hao maselebu hawanufaiki kwa lolote kwa Global Publishers kuwaandika magazetini?

mfano niliuweka hapo ni kwamba wanauwezo wa ku-influence sale kwenye market ya Tanzania. Hivyo watu wananunua hayo magazeti sababu stori zao kuwa kwenye gazeti.

Kunufaika kupo sababu majina yao yanakuwa machoni mwa watu at all the time (PR). Ila kuna sehemu mbili inaweza ku-damage image au kuwaongezea umaharufu.
 
Nenda Google images search share a coke and celebraties utawaona wengi tuu na chupa zao za maji meusi.

Lupita Nyong'o baada ya kushinda Oscar naye Coke wakampa soda yake.

Coca Cola has gifted Oscar winner Lupita Nyong'o and her brother Peter personalised bottles of Coke. The brand's ongoing summer campaign ‘Share a Coke' saw the ‘12 Years A Slave' actress and her brother receive custom made bottles from the brand with their names on the label. The campaign allows fans nationwide to personalize their drink with their name or the name of a friend. Check out the photo:

Source
 
Reactions: EMT
Size 8, msanii wa Kenya naye aliipata ya kwake.

Last edited by a moderator:
Nenda Google images search share a coke and celebraties utawaona wengi tuu na chupa zao za maji meusi.

Mkuu kuna image nyingine wahuni wamezitengeneza tu,
 
Kunufaika kupo sababu majina yao yanakuwa machoni mwa watu at all the time (PR). Ila kuna sehemu mbili inaweza ku-damage image au kuwaongezea umaharufu.

Ila sidhani kampeni ya share a coke inaweza ku-damage umaarufu wao. Sana sana itawangezea umaarufu.

Kuna sehemu ambazo maselebu wanaweza kujiongezea kipato au kuwa compensated lakini sidhani kama share a coke is one of them.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…