Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
-
- #141
Sina hata haja ya kusoma comment za wadau wengine nakuunga mkono.
Huyu mlugaluga kavamia mji kwa pupa sana anadhani hapa ni kule mikoani ambako lift za ghorofa zinafanyiwa uzinduzi.
Pamoja na uboya wote wa Le Mutuz huyu Msando ni mshamba fulani tu hana lolote, hivi hapa mjini huyu Msando ataongea nini mbele ya Baharia kitambo?
Wameshazoea pesa za ufisadi wa mifuko ya jamii anaona watu wote mazuzu jinga kabisa huyu.
Ni mpumbavu peke yake asiyejuwa mchango wa ufadhili wa Coca cola Tanzania, huyu kwa sababu ni pimbi fulani tu hajui faida tulizopata kwenye Copa Coa cola.
Naomba tujadili tatizo lililo kwenye hoja ya Msando na si mengine!
Hebu nitajie mchango wa Coca-cola kwenye muziki wa Kiba au wa Mwana Fa au Ay! Hata wangekuwa na mchango wowote si sababu ya kutumia majina yao kuongeza mauzo labda kama waliingia mikataba nao.
Coca-cola wanaita ni zawadi huku wao wanaongeza sales..
Tujadili hoja zilizo mezani!