Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
Sina hata haja ya kusoma comment za wadau wengine nakuunga mkono.

Huyu mlugaluga kavamia mji kwa pupa sana anadhani hapa ni kule mikoani ambako lift za ghorofa zinafanyiwa uzinduzi.

Pamoja na uboya wote wa Le Mutuz huyu Msando ni mshamba fulani tu hana lolote, hivi hapa mjini huyu Msando ataongea nini mbele ya Baharia kitambo?

Wameshazoea pesa za ufisadi wa mifuko ya jamii anaona watu wote mazuzu jinga kabisa huyu.

Ni mpumbavu peke yake asiyejuwa mchango wa ufadhili wa Coca cola Tanzania, huyu kwa sababu ni pimbi fulani tu hajui faida tulizopata kwenye Copa Coa cola.

Naomba tujadili tatizo lililo kwenye hoja ya Msando na si mengine!

Hebu nitajie mchango wa Coca-cola kwenye muziki wa Kiba au wa Mwana Fa au Ay! Hata wangekuwa na mchango wowote si sababu ya kutumia majina yao kuongeza mauzo labda kama waliingia mikataba nao.
Coca-cola wanaita ni zawadi huku wao wanaongeza sales..
Tujadili hoja zilizo mezani!
 
Kuna tofauti kati ya common names na celebrity names. Jina la celebrity ni brand kwa maana kuwa ni hela hiyo

Mnaoleta hoja ya kwamba hii campaign ilianza ughaibuni mnanipa shida kidogo
Nyani Ngabu naomba kuuliza swali, nimeona umeweka details nyingi kuhusu hii campaign,je huko Marekani kuna msanii yoyote ambaye jina lake limetumika bila yeye kupewa malipo?
 
Last edited by a moderator:
kuna watu humu wana attack watu badala ya hoja!!

waendelee tu kutangaza bidhaa za makampuni bure huku wakishindwa hata hela ya panaldo.

Msando Endelea kuwasaidia wanaojitambua.
 
Ni mpumbavu peke yake asiyejuwa mchango wa ufadhili wa Coca cola Tanzania, huyu kwa sababu ni pimbi fulani tu hajui faida tulizopata kwenye Copa Coa cola.

ni msengerema pekee asiyejua mchango wa clouds media,IPP katika kukuza muziki wa bongo,je ni haki kwa hayo makampuni kuwafanyisha show bure wasanii kisa ufadhili wao?

anayetetea unyonyaji wa makampuni kwa wasanii hana tofauti na CCM.
 
Kuna tofauti kati ya common names na celebrity names. Jina la celebrity ni brand kwa maana kuwa ni hela hiyo

Mnaoleta hoja ya kwamba hii campaign ilianza ughaibuni mnanipa shida kidogo
Nyani Ngabu naomba kuuliza swali, nimeona umeweka details nyingi kuhusu hii campaign,je huko Marekani kuna msanii yoyote ambaye jina lake limetumika bila yeye kupewa malipo?

Hata kama huko kwao marekani hawakupewa malipo si sababu ya wasanii wetu nao kutolipwa wakati Coca-cola wanaingiza pesa kupitia majina yao!
 
Last edited by a moderator:
ni msengerema pekee asiyejua mchango wa clouds media,IPP katika kukuza muziki wa bongo,je ni haki kwa hayo makampuni kuwafanyisha show bure wasanii kisa ufadhili wao?

anayetetea unyonyaji wa makampuni kwa wasanii hana tofauti na CCM.

Mkuu Deo hapo kwenye red umeuliza swali la msingi sana na nimelipenda sana !

Lakini hapo kwenye green naomba tusitumie maneno ya aina hiyo kwenye huu mjadala ili uende vema na uwe mzuri!
 
msando basi hata awe fair,huyu kidoti ambaye yeye anampiga marufuku kupokea kyoda anavalisha watu ndala na kuwapiga nazo picha bila kuwalipa.does he mean usinyonywe ila unyonye au mi ndo sielewi?wale watu wanopiga picha wako hookup anasema thanks for supporting,r they paid?au mastaa wanavyoposti matangazo ya event for instance hii recent ya Idriss wamelipwa?au kisa coca jina kubwa?mbuyu ulianza kama mchicha
 
Mkuu Deo hapo kwenye red umeuliza swali la msingi sana na nimelipenda sana !

Lakini hapo kwenye green naomba tusitumie maneno ya aina hiyo kwenye huu mjadala ili uende vema na uwe mzuri!

Poa mkuu Ruta but sometimes inakera kuona watu wanaojidai kutetea maslahi ya wanyonge hao hao wanatetea unyonyaji wa coca cola kwa wasanii wetu
 
Nani hapa anamtangaza mwenzake?! Mimi sinunui coca cola kwa sababu ina jina la msanii bali kuna wasanii wamepata attention yangu kupitia coca cola?
 
Kuna ugonjwa mmbaya sana unaitwa "Utumwa wa Fikra" siamini kwa kua Coca cola ina miaka 128+ hili pekee ake linafanya majina ya celebs wa bongo yawe hayana influence kwenye soko la Coca cola hapa nyumbani na sitaki kukubali kua kisa Jay Z hakulipwa basi na Juma Nature akae kimya ingawa bado hakuna aliethibitisha kua Beckam alilipwa au hakulipwa zaidi ya kuweka picha ya Coca cola yenye jina lake.
Naamini wangeanza kwa kutumia majina ya kawaida kama Chausika,Tausi,Kibibi,John,Shabani nk isingefungua huu mjadala ila wametumia majina ambayo tayari yama influence kwenye jamii naamini hii marketing strategy ambayo inakusudia kupanua zaidi soko lao naamini wapo watakao nunua soda ya Coca cola yenye jina la Joti kwa mapenzi walionayo kwake kwenye hili Msando yuko sahihi na hata kama wenyewe wamekubali kutumika bure bado jamii ina nafasi ya kuwakumbusha nguvu ya majina yao kama ambavyo tunawakumbusha kwenye haki zao nyingine kama Coca cola watapata faida kwa kutumia majina yao basi na wao wahakikishe kuna kitu wanafaidika nacho sio tuone jina lako wakati mwenyewe unahemea mipira ni uzembe.
Ujinga ni ujinga hata kama umeongewa na baba ako mzazi,kosa la Beyonce sio lazima Ray C alifanye pia.
 
Lemutuz na sheria wapnawap,,ye anafurahia zile totoz ziko kwenye makopo,,egkajala
 
badiebey EMT Nyani Ngabu , Ni kweli information is power ila issue kama ni common names ndio yanayotumika kwenye hayo makopo sidhani majina kama Mwana FA, AY, Diamond, Le Mutuz, Fid Q, Joh Makini etc. kama ni common names. Ambao mpo well informed Je? majina kama ya akina Jay Z, Dre, J Lo etc na yenyewe yanakuwepo kwenye hayo makopo ya Coca, kama yanatumika Je huwa hawalipwi? Kwa upande wangu ningemshangaa Msando kumuona analalamika kisa kopo la Coca limeandikwa Asha, Juma, John, Mwajuma, Frank etc.
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh katika hili wala hajakurupuka kabisa na amesema ukweli ulio wazi na Coca-cola.watatumia hayo majina kufanya biashara na ndio maana unaona preference imekuwa kwa watu walio na ushawishi kwa jamii maana wanajua wazi watauza kupitia hayo majina!

Msando is right Nothing goes for nothing!

Hivi bikra wa kisukuma nayeye ni celebrity?
 
Mnaoleta hoja ya kwamba hii campaign ilianza ughaibuni mnanipa shida kidogo
Nyani Ngabu naomba kuuliza swali, nimeona umeweka details nyingi kuhusu hii campaign,je huko Marekani kuna msanii yoyote ambaye jina lake limetumika bila yeye kupewa malipo?

Lupita Nyong'
 
Ukweli ni kwamba hata kama hii campaign ilianzia ulaya na marekani na watu wamekuwa hawalipwi lazima watu watambue Coca-cola wanacho fanya ni kuwadanganya watu huku wao wanaongeza sales...kimsingi kuna watu wataanza kununua soda hizo kwaajili ya majina fulani na hii itawapatia faida Coca-cola!

Hata kama jambo hili halikuanzia hapa si lazima wasanii wetu wakubali jambo hili huku kampuni ya coca ikiingiza faida na wao hawapati kitu!

Coca-cola wametumia pesa kuweka hayo majina kwenye makopo na huku wana promote hiyo campaign kwenye media ..unategemea wasiingize pesa kwenye hili? Kuna wapenzi wa Diamond watanunua soda hizo kwa wingi na Coca-cola wataongeza mauzo maradufu!

Aren't you some kind of a lawyer?

Sue them.

Go file a class action lawsuit.
 
Teh Teh Teh
Kwa hiyo wasanii wetu wakubali kutumiwa kuingizia Coca-cola pesa kwa kuwa wa Nigeria walikubali? Huu utaratibu sio zawadi bali ni unyonyaji wa kutumia ujinga wa watu wanao penda umaarufu wa bure!

Hivi majina yao yalijitokeza tu kwenye hayo makopo bila wao kujua?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom