Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani

Fuatlia mambo vizuri,usiongozwe na umadhehebu,juzi tu chama cha kikristu lebanon kimetoa kauli dhidi ya hizbullah
Mkuuu Lebanon ina cristian wengi zaid ya waislam ukichanganya wote mm nimewalenga hoja yangu cristian wa kusini na rais wa sababu uyo rais naye kupatikana kwake kunamambo yakuelezea ukiacha bunge ndio lenyejukum. Kwaiyo ktk wengi kuna mengi pia cristian wa pande nyengine awapati ufadhili zaid ya wakusini. nitaongezea vizuli. Nikipata nafasi. Cristian wapo wanaotumiwa na waisrael kama ilivo waislam w kisuni. Kuleta chokochoko. Yupo mmoja jina limenitoka mwaume anaongoza chama chenye cristian wengi uyo jamaa nae utoa matamko sana lkn akai sana Lebanon ndio nasema wanatumiwa na wagen lkn awana nguvu ktk siasa Lebanon.
 
Mbona US, Europe na Saud Arabia pia wanaingilia hata Iran ana haki.
Kila nchi ina ethics zake, ethics hizo ndio huzifanya ziwe na aina gani ya marafiki; so labda wao Lebanon wamechagua kua na rafiki wa aina hiyo na Iran hawawataki. Unajua hata hi vita inayoendelea sasa hvi, wao Iran ndio chanzo? Kama Iran isinge fadhili Hezbollah then nchi yao isingekua leo uwanja wa vita. Miaka ya 70, 80 Beirut ilikua mji wa starehe sana hapo Middle East; it was called the New York of Middle East but what about now?
 
Hamna lolote hizo ni propaganda za Israel na US. Sunni na Shia wako miaka wanaishi kwa amani pamoja aliye leta hii fitna ni hao US na Israel kwa faida zao
Kwa hiyo unakubali nini na unakataa nini? Fitna ipo au haipo?
 
Huyu PM ni jau yaani ndio amegundua Leo kwamba Iran inaingilia mambo yake ya ndani?
 
Mkuuu Lebanon ina cristian wengi zaid ya waislam ukichanganya wote mm nimewalenga hoja yangu cristian wa kusini na rais wa sababu uyo rais naye kupatikana kwake kunamambo yakuelezea ukiacha bunge ndio lenyejukum. Kwaiyo ktk wengi kuna mengi pia cristian wa pande nyengine awapati ufadhili zaid ya wakusini. nitaongezea vizuli. Nikipata nafasi. Cristian wapo wanaotumiwa na waisrael kama ilivo waislam w kisuni. Kuleta chokochoko. Yupo mmoja jina limenitoka mwaume anaongoza chama chenye cristian wengi uyo jamaa nae utoa matamko sana lkn akai sana Lebanon ndio nasema wanatumiwa na wagen lkn awana nguvu ktk siasa Lebanon.
Waislam ni wengi lebanon kuliko wakristu
 
Umu mijinga mingi unachowaambia wao wanaangalia milengo yao kiimani basi ukweli awataki. Ipo ivi Lebanon wamewai kupigana na adui aliwachonganisha alikuwa zayuni Israel fake. Walipigana vita mbaya sana kati ya waislam suni na cristian kwaiyo mjuwe Shia awakupigana upande wa waislam ktk vita badala yake waliwasaidia cristian kwamisaada mbalimbali tangu ile vita wkt ule Shia aikuwa na jeshi bali walikuwa kidini zaid mgogolo ule Shia alijua chanzo ni nini Israel alikuwa nayy anatwaa maeneo ya Lebanon kwaiyo waache wapigane mm natwaa ardhi yao. Ndipo Shia ikaanza alakati za kijesh uku wakisapotiwa na cristian wa kusini ambao mkombozi wao alikuwa Shia kipindi chote tangu ile vita mfaam pia Shia Lebanon sio wengi lkn wanasapotiwa kukubwa na cristian wa uko kusini Shia ona hezbollah wanawabunge kati ya 30+ ktk bunge la Lebanon na wao ndio wanatoa spika w bunge. Jiulize nani anawapigia kura hezbollah jua na waislam wa kishia na cristian w kusini ndio wanaowapigian kura hezbollah. Cristian w kusini awawaoni hezbollah kama kitisho kwao bali ni waislam w suni ndio wanawaogopa nakuwaona hezbollah kama kitisho kwao rais w Lebanon anatokana na cristian rais yoyote w Lebanon anashaka na wala wasiwasi wowote na kuwepo na hezbollah badala yake upata amani kuwepo kwa hezbollah mana wanshilikia zaid kuliko waislam wa suni. Kijumla suni unaonekana kama wanafiki wanafadhiliwa kuleta migogolo ndani ya Lebanon waislam w suni wao utoa PM w Lebanon yani wazili mkuu w Lebanon. Sasa tuje kwenye maswali na majibu cristian ya bongo baadhi yao wanajitoa ufaamu au awataki kujua ukweli kuusu Lebanon hezbollah inavikosi vingi sio tu vyakijesh ktk hezbollah wapo wanajesh cristian na kila kikosi wapo cristian wakutosha kampuni za ulinzi wapo adi mabint w cristian wanashilikiana kulinda misikiti makanisa mashule mbalimbali yani wapo kitu kimojo kila seem lkn awa jehova w uku kwetu ndio umbumbumbu umewapalama. Nawao wameukumbatia usiwaponyoke.😂😂😂 wanadanganywa sana usiposifia mossad upati mibaraka😂😂 naishia kuwapa pole ile kazi ngumu mzigo wameubeba mzito sana. Tuwaonea uruma. weenzetu awa.,
Una point nzuri katika article Yako but still unaandika kama mtoto

No paragraph

No writing marks (alama za uandishi)

Mbaya zaidi unaandika kidemu kukata maneno eg seem=sehemu, w=wa, na nyingi nyingi mwanaume mzima unaandika xaxa=Sasa

Proper grammar ina ongeza thamani ya mawazo uliyo andika

Using emoji tena za kujichekesha Kama she kwa mwanaume it's not acceptable. Am sorry inaweza kua personal attack but kuna watu usomaji wetu maybe we go too far

All in all no menace no hard feelings tuishi
 
Hamna lolote hizo ni propaganda za Israel na US. Sunni na Shia wako miaka wanaishi kwa amani pamoja aliye leta hii fitna ni hao US na Israel kwa faida zao
Unajua lakini kilicho chochea maandamano mpaka vita vya kutaka kung'oa Rais wa Syria? Kama hujui jipe muda ufuatilie pia ujue Asad sio Shia wala sunni
 
Umu mijinga mingi unachowaambia wao wanaangalia milengo yao kiimani basi ukweli awataki. Ipo ivi Lebanon wamewai kupigana na adui aliwachonganisha alikuwa zayuni Israel fake. Walipigana vita mbaya sana kati ya waislam suni na cristian kwaiyo mjuwe Shia awakupigana upande wa waislam ktk vita badala yake waliwasaidia cristian kwamisaada mbalimbali tangu ile vita wkt ule Shia aikuwa na jeshi bali walikuwa kidini zaid mgogolo ule Shia alijua chanzo ni nini Israel alikuwa nayy anatwaa maeneo ya Lebanon kwaiyo waache wapigane mm natwaa ardhi yao. Ndipo Shia ikaanza alakati za kijesh uku wakisapotiwa na cristian wa kusini ambao mkombozi wao alikuwa Shia kipindi chote tangu ile vita mfaam pia Shia Lebanon sio wengi lkn wanasapotiwa kukubwa na cristian wa uko kusini Shia ona hezbollah wanawabunge kati ya 30+ ktk bunge la Lebanon na wao ndio wanatoa spika w bunge. Jiulize nani anawapigia kura hezbollah jua na waislam wa kishia na cristian w kusini ndio wanaowapigian kura hezbollah. Cristian w kusini awawaoni hezbollah kama kitisho kwao bali ni waislam w suni ndio wanawaogopa nakuwaona hezbollah kama kitisho kwao rais w Lebanon anatokana na cristian rais yoyote w Lebanon anashaka na wala wasiwasi wowote na kuwepo na hezbollah badala yake upata amani kuwepo kwa hezbollah mana wanshilikia zaid kuliko waislam wa suni. Kijumla suni unaonekana kama wanafiki wanafadhiliwa kuleta migogolo ndani ya Lebanon waislam w suni wao utoa PM w Lebanon yani wazili mkuu w Lebanon. Sasa tuje kwenye maswali na majibu cristian ya bongo baadhi yao wanajitoa ufaamu au awataki kujua ukweli kuusu Lebanon hezbollah inavikosi vingi sio tu vyakijesh ktk hezbollah wapo wanajesh cristian na kila kikosi wapo cristian wakutosha kampuni za ulinzi wapo adi mabint w cristian wanashilikiana kulinda misikiti makanisa mashule mbalimbali yani wapo kitu kimojo kila seem lkn awa jehova w uku kwetu ndio umbumbumbu umewapalama. Nawao wameukumbatia usiwaponyoke.😂😂😂 wanadanganywa sana usiposifia mossad upati mibaraka😂😂 naishia kuwapa pole ile kazi ngumu mzigo wameubeba mzito sana. Tuwaonea uruma. weenzetu awa.,
Tofauti na madrasa naomba kujua level ya elimu yako( elimu dunia)
 
Nimeiona hii habari nikawaza huenda "demokrasia" ya magharibi inarejea rasmi Lebanon, wafia dini hawana chao tena.
Hushangai why Hezbollah wekuwa Wepesi kuliko Hamas, Israel ikipiga Sehemu ya Hezbollah inasepa na mali sababu Wana details
 
Mbona US, Europe na Saud Arabia pia wanaingilia hata Iran ana haki.
Tatizo la Iran ni upumbavu last month walitamka kuwa Wao ndie watakuwa Sauti ya Lebanon kule UN tena wanawaambia Hezbollah.. wakati Lebanon wana Uwakilishi kamili.. niliona wapumbavu sana kuwaanzishia vita raia wasio wagomvi why wasipeleke vita Teheran kenge sana wale.
 
Muimu ujumbe kuelimisha wale wenyekutaka kufahamu mambo y inchi nyingine nikili makosa mengi nikiandika nitaendelea kulekebisha mana atamm nikipitia upya ujumbe naona mapungufumengi tatizo naandika alaka ujumbe mrefu nakuwa na mambo mengine so siupitii wote ule ujumbe kabla sijatuma. Nitaendelea kulekebisha kwafaida ya wasomaji wetu napokea kukoselewa ndio kunafanya niwe makini zaid.
 
kwa Lebanon ni ujinga kuzania au kuwaza kuwa cristian wa uko wanahofu n hezbollah kinyume nikwamba kama sio hezbollah iyo Lebanon uwenda ingekuwa ktk alli mbaya nchi ingegawanyika mizozo ingekuwa mikubwa lkn kuwepo kwao kumezuiya njama nyingi za kuigawanya Lebanon kidini kikabila. Upolaji wa ardhi unaofanywa n Israel, ndio mana nasema wenyewe lebanon wanajua faida zakuwepo hezbollah pia mjue hezbollah aikujikita kutaka kuangusha serikali bali wao wamekita kulinda Lebanon ardhi yake rasilimali yake umoja wao. Lebanon kusini mashamba yametekwa waalisilika waliopoteza mashamba wengi ni cristian sasa ni hezbollah tu inayoweza kusimama kivita n Israel kupigania ardhi yao rasilimali zao.
Na wanajua njama za wazungu kutaka ulaya wakitaka hizbullah isiwepo lkn wao wanaiyona kama mkombozi wao, kwann niliandika viongozi waislam w kusuni kama wanatumiwa , nawakumbuka kisa waziri mkuu w Lebanon akiitwa Saad hariri uyu Saad alipatikanq kuwa waziri mkuu baada ya kifo chababake ambaye ndio alikuwa PM alitegewa boom Beirut apo apo alikufa. Ndio baada y vikao Saad hariri akachukua nafasi ya PM hezbollah walishutumiwa kuusika, wao wakakana mana sababu rafiq hariri baba alikuwa na maelewano zaid na Nasrallah kwaiyo wangi wakaamini ni mkono wanje nchi ndio wallmtegea boom maisha yakaendelea uyu Saad Hariri waziri mkuu w Lebanon baada y miaka kadhaa akafanya safari saud Arabia alipokuwa uko gafra bin vuu akatangaza kujiuzuru uPM . Yani unajizuru ukiwa nchi nyingine.......hezbollah wanayo taasisi yakijasusi inanguvu sana ndani Lebanon na vile inapewa pia taharifa za kijasusi na majasusi w Iran ambao wametapakaa sana eneo ilo mid East kwaiyo taarifa zake uwa zinanguvu zaid ndani ya Lebanon na rais w Lebanon upokea taharifa zao na uzipa uzito zaid. Twende kwa SAAD HARARI ambae amejiuzuru kwaiyo rais w Lebanon ikabidi asitoe maoni yoyote baada kuona kwenye vyombo vya habari vikitangazs kujuuzuru kwa SAAD PM wake akiwa saud Arabia akisubili lipot ya majasus w hezbollah baada siku 6 ndio akaonges rais w Lebanon akitangaza kuwa atambui kujiuzuru uko na kama anataka kujiuzuru anafaa ajizuru akiwa Lebanon sio nchi nyengine baada siku moja kutolewa tanka ilo na rais Iran kupitia waziri wake mambo y nje ikatangaza kuwa SAAD Hariri ametekwa akiwa saud Arabia na kutaka haachiwe kulejea nyumbani Lebanon Iran ikasema saud Arabia inataka kuchoo mzozo uko Lebanon na ndio mana imemkamata waziri Saad mzozo ukawa sasa wakimata nch nyingi zinataka Saad alejee Lebanon baada 2week shinikizo kuwa kubwa SAAD HARIRI PM akalejea Lebanon mojokwamoja akaenda kuonana na rais w Lebanon baada ya mazungumzo uko alipotoka waandishi w habari kibao wanataka kujua sakata ili limekuwaje kweli alitekwa au nimwenyewe tu aliamua ndio kaja kukamilisha mchakato SAAD HARIRI PM w Lebanon akatangaxa anaendelea kupiga kazi kama PM w Lebanon lkn akajiepusha kuishutum saud Arabia. Kwaiyo mjue Iran anangavu sana ktk uwimara w Lebanon ukiacha akufadhili waislam ktk mauyaji n wale cristian ktk mzozo miaka ya nyuma nabadalayake aliwasaidia misaada ya kibanadam cristian walio asilika na vile vita. Ata kutibiwa Iran kwaiyo mmepata picha sasa kuwa vita vile vyakidini upande w waislam wapo waliofadhili lkn lengo Lao sio kuwatetea waislam bali unafiki zaid ni kuigawanya Lebanon kwafaida ya Israel kwaiyo mkiambiwa hezbollah ipo kulinda umoja wao walebanoni tuwe tumeelewa Leo saud Arabia anatoa mchango gani kwa Palestine zaid ndio kimya kimya wanawakandamiza Palestine, n wanaunga mkono uwepo w Israel kubwa ktk eneo.lkn unafiki wanajibanza kama awaungi mkono anaangalia upepo angalien vijana ktk mipira vijana w kiharabu wakiwa uwanjani mashabiki utakuta baadhi wamebeba bendera ya Palestine lkn ilo aliwezekani ukiwa saud Arabia. Kwaiyo nawapa picha tofaut mjue Iran hezbollah wanafanya kazi kutuliza mizozo inafadhiliwa na Israel saud Arabia USA kuondoka hezbollah sio kwausalama w Lebanon uwepo wao ndio unatoa usalama apo Lebanon Syria nakwengineko adi ichi za Latin America mabeberu ndio wanafadhili kuwadunisha hezbollah na kuwataka w Lebanon wawakatae hezbollah lkn wapo sana watuliza mizozo sio wapenda vita kama mlivolishwa matango pori. Niwatakie mibaraka tele siku ya leo yanga bingwa 👀👀
 
Pumbavu huna akili
 
Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani​

xx

Chanzo cha picha, Reuters

Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati ameelezea kughadhabishwa kwake na kauli iliyotolewa na spika wa bunge la Iran juu ya mustakabali wa kusini mwa Lebanon.

Spika wa Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amejitolea kufanya mazungumzo na Ufaransa kuhusu azimio nambari 1701 la Umoja wa Mataifa, ambalo lilimaliza mzozo mkubwa wa mwisho kati ya Israel na Hezbollah mwaka 2006 na kuupa Umoja wa Mataifa mamlaka ya kulisaidia jeshi la Lebanon kudumisha amani.

Mikati alielezea kauli ya Iran kama "uingiliaji wa wazi katika masuala ya Lebanon na jaribio la kuanzisha ulezi usiokubalika dhidi ya Lebanon".

Hezbollah inachukuliwa kuwa wakala wa Iran - ambayo hutoa ufadhili wake mwingi na silaha - na kwa kambi yake kubwa ya wabunge bungeni, ina ushawishi mkubwa kwa serikali ya Lebanon.

Qalibaf alikuwa Lebanon wikendi iliyopita tu, alipokutana na waziri mkuu.

Mikati anasema ameomba baraza la mawaziri la Iran kutoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa hiyo - akiongeza kwamba mazungumzo yoyote kuhusu Azimio nambari 1701 yanapaswa kufanywa na serikali ya Lebanon.
Naskia arufu ya uogaa ,manina mmeona kama mfaransa anaeza tia na yeye nguvu hapo ,viongozi chawa kama hao hata hapa tunao
 
Back
Top Bottom