gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Nasrallah si kafa,wanaokufa hizbullah na Hamas watoa taarifa ni israelHalafu Hizbullah hajafa hata mmoja wanakufa wanawake na watoto tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasrallah si kafa,wanaokufa hizbullah na Hamas watoa taarifa ni israelHalafu Hizbullah hajafa hata mmoja wanakufa wanawake na watoto tuu
Iran ni shetani. Iran inachukiwa na serikali zote za mataifa ya kiarabu kutokana na kupandikiza makundi ya magaidi kwenye mataifa yao, na kuzidhoofisha serikali za nchi hizo.Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani
![]()
Chanzo cha picha, Reuters
Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati ameelezea kughadhabishwa kwake na kauli iliyotolewa na spika wa bunge la Iran juu ya mustakabali wa kusini mwa Lebanon.
Spika wa Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amejitolea kufanya mazungumzo na Ufaransa kuhusu azimio nambari 1701 la Umoja wa Mataifa, ambalo lilimaliza mzozo mkubwa wa mwisho kati ya Israel na Hezbollah mwaka 2006 na kuupa Umoja wa Mataifa mamlaka ya kulisaidia jeshi la Lebanon kudumisha amani.
Mikati alielezea kauli ya Iran kama "uingiliaji wa wazi katika masuala ya Lebanon na jaribio la kuanzisha ulezi usiokubalika dhidi ya Lebanon".
Hezbollah inachukuliwa kuwa wakala wa Iran - ambayo hutoa ufadhili wake mwingi na silaha - na kwa kambi yake kubwa ya wabunge bungeni, ina ushawishi mkubwa kwa serikali ya Lebanon.
Qalibaf alikuwa Lebanon wikendi iliyopita tu, alipokutana na waziri mkuu.
Mikati anasema ameomba baraza la mawaziri la Iran kutoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa hiyo - akiongeza kwamba mazungumzo yoyote kuhusu Azimio nambari 1701 yanapaswa kufanywa na serikali ya Lebanon.
Hamna lolote hizo ni propaganda za Israel na US. Sunni na Shia wako miaka wanaishi kwa amani pamoja aliye leta hii fitna ni hao US na Israel kwa faida zao
dogo we unishinde mimi navyo ifahumu Lebanon toka lini serekali ya Lebanon iliongozwa na Shia? Nipe point, unarukia kunita muongo we hata hujui lolote kuhusu Lebanon.Siyo kweli. Wewe ni mwongo mkubwa au siyo mfuatiliaji, na hivyo hujui chochote.
Kuna uhasama mkubwa sana kati ya Washia na Wasunni. Uhasama huo unachochewa na Iran inayoamini kuwa kila nchi ambako kuna washia, serikali ni lazima iongozwe na washia, na ifuate sharia law, iwe chini ya kiongozi mkuu wa kidini, kama ilivyo Iran.
Ndiyo maana nchi zote za kiarabu ambazo serikali zao zinaongozwa na wasunni, haziitaki kabisa Iran.
Serikali ya wasunni ya Iraq ilipigana na Iran kwa zaidi ya miaka 10. Serikali ya wasuni ya Lebanon, imedhoofishwa na Iran kupitia hezbollah. Serikali ya wasunni ya Yemen ni kama imemalizwa kabisa na Houthis; kiongozi wake mkuu aliondolewa na Houthi, kisha wakamwua. Saudia kwa miaka yote ilikataa kabisa uhusiano wa kibalozi na Iran. Kwa mara ya kwanza wamefungua mahusiano mwaka jana.
Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani
![]()
Chanzo cha picha, Reuters
Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati ameelezea kughadhabishwa kwake na kauli iliyotolewa na spika wa bunge la Iran juu ya mustakabali wa kusini mwa Lebanon.
Spika wa Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amejitolea kufanya mazungumzo na Ufaransa kuhusu azimio nambari 1701 la Umoja wa Mataifa, ambalo lilimaliza mzozo mkubwa wa mwisho kati ya Israel na Hezbollah mwaka 2006 na kuupa Umoja wa Mataifa mamlaka ya kulisaidia jeshi la Lebanon kudumisha amani.
Mikati alielezea kauli ya Iran kama "uingiliaji wa wazi katika masuala ya Lebanon na jaribio la kuanzisha ulezi usiokubalika dhidi ya Lebanon".
Hezbollah inachukuliwa kuwa wakala wa Iran - ambayo hutoa ufadhili wake mwingi na silaha - na kwa kambi yake kubwa ya wabunge bungeni, ina ushawishi mkubwa kwa serikali ya Lebanon.
Qalibaf alikuwa Lebanon wikendi iliyopita tu, alipokutana na waziri mkuu.
Mikati anasema ameomba baraza la mawaziri la Iran kutoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa hiyo - akiongeza kwamba mazungumzo yoyote kuhusu Azimio nambari 1701 yanapaswa kufanywa na serikali ya Lebanon.
Kasome kwanza "Taif agreement "Nimeiona hii habari nikawaza huenda "demokrasia" ya magharibi inarejea rasmi Lebanon, wafia dini hawana chao tena.
Sio USALITI bali huo ndio UZALENDO. Ukivamiwa na kunguni, huwatoi kwa kuwasha dawa ya mbu. Kunguni wakivamia godoro lako UNACHOMA GODORO na hata KITANDA ili kuhakikisha unau wazee,vijana, watoto hadi mayai yao.Basi lileeleweka. ndo maana viongozi wa Hezbollah wanauawa kama kuku. Kumbe usaliti upo ndani ya lebaanoni. Inaonesha Hezbolah haipendwi Lebanon.