LeBron James avunja rekodi ya Kareem Abdul Jabal awa mfungaji wa muda wote NBA

LeBron James avunja rekodi ya Kareem Abdul Jabal awa mfungaji wa muda wote NBA

Pamoja na kwamba watajitokeza watu na kudai sio bora ila kila mtu anayeujua na kuupenda mchezo wa kikapu lazima amkubali lebron James
Screenshot_20230208-101619.jpg
Screenshot_20230208-101530.jpg
Screenshot_20230208-101505.jpg
 
Mfuatilie Damian Lillard, Curry anakubali moto wa huyo mwamba.
Mtoe Curry hapo.

Mie shabiki dam dam wa LA Lakers na Lebron ila Curry pekee ndo hunifanya niangalie games za warriors, jamaa ni very calm na mchezo wake ni tofauti sana na wa kina lebron na wengine coz wanatumia sana nguvu. Hao kina Shaq sawa lkn Curry yupo kwenye dimension yake peke yake, Kobe Bryant aliwahi kukiri kwamba Calmness ya Curry ni hatari na hajawahi kuiona ppt pale
 
Curry ni mtu wa dribbling au?
Curry ni more of a point guard na lebron ni power forward! Utofauti wao ni kuwa Curry anapendelea sana zile shots za 3pts nje ya court na James yeye anapendelea hekaheka za Dunkin! 😂
 
Tuna bahati kuwashuhudia Messi na Ronaldo, na sasa LeBron akifanya yake.

Hii historia tuliyoishuhudia LeBron akiiweka, naamini itachukua miaka zaidi ya 40 ambayo imechukua rekodi ya AbdulJabar kuvunjwa, na hiyo ni kama atatokea kiumbe wa kuivunja.
 
Warrior are playing bad basketball hivi unamtoaje Kevon Looney from the starting lineup na hizo dakika ishirini ndio leading rebounder.

How you gonna trade GP2 to Blazers ambae tayari ameilewa system, defensive reliable and replace him na watu kama Diviceonzo and other crap.

The only reason Curry is great is because he is allowed to take lots of shots at this moment, otherwise Warriors has a lot of shooters kama umeangalia game yao ya mwisho na Oklahoma even without Curry.

For now they’re just a bad team, too much turnovers and offensive thinking kushinda defence. Yaani Steve Kerr anaweza mtoa mtu ambae yupo on fire offensively au defensively mpaka unajiuliza vipi
He is Five time champ as a player & 4 Times champ as a couch. Anyone who doubts Steve Kerr huwa namshangaa sana.
 
Tuna bahati kuwashuhudia Messi na Ronaldo, na sasa LeBron akifanya yake.

Hii historia tuliyoishuhudia LeBron akiiweka, naamini itachukua miaka zaidi ya 40 ambayo imechukua rekodi ya AbdulJabar kuvunjwa, na hiyo ni kama atatokea kiumbe wa kuivunja.
Ni ngumu sana.. Labda kama hawa akina Luca, Ja Morant, Jayson Tatum watacheza mpaka kufikia huo umri wa Bron kwa consistence hii hii bila kupata majeraha ya muda mrefu labda tunaweza kushahudia rekodi yake ikivunjwa baada ya miaka 15 huko baadae.
 
Hao uliowataja hawawezi kuivunja hii rekodi
 
Back
Top Bottom