FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Hao uliowataja hawawezi kuivunja hii rekodi
Nini kimekufanya udhani hawawezi? Umesoma post yangu vizuri lakini??Hao uliowataja hawawezi kuivunja hii rekodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao uliowataja hawawezi kuivunja hii rekodi
Nini kimekufanya udhani hawawezi? Umesoma post yangu vizuri lakini??Hao uliowataja hawawezi kuivunja hii rekodi
Hata wewe ungekua ni coach, na una mchezaji who is too good at converting them 3 or 2 point shots, huwezi mnyima au kubania nafasi ya kushoot. Utakua ni uzwazwa kumnyima asishoot. Kuhusu kuachia wachezaji wazuri kama Garry Payton na wengine kweli ni kosa. Ila hii pia huwa ni gamble or a much calculated move for future round picks.Warrior are playing bad basketball hivi unamtoaje Kevon Looney from the starting lineup na hizo dakika ishirini ndio leading rebounder.
How you gonna trade GP2 to Blazers ambae tayari ameilewa system, defensive reliable and replace him na watu kama Diviceonzo and other crap.
The only reason Curry is great is because he is allowed to take lots of shots at this moment, otherwise Warriors has a lot of shooters kama umeangalia game yao ya mwisho na Oklahoma even without Curry.
For now they’re just a bad team, too much turnovers and offensive thinking kushinda defence. Yaani Steve Kerr anaweza mtoa mtu ambae yupo on fire offensively au defensively mpaka unajiuliza vipi
Na akiondoka ni chaos gani huwa ana acha hapo alipopita?Mkuu unajua kuwa lebron James pote alipopita amebeba ubingwa?
Sidhani kama itachukua miaka 40 kuvunjwa. Kwa pace ya nba games ilivyo and how much softer it keeps on gettin everyday which allows players to score more pointsTuna bahati kuwashuhudia Messi na Ronaldo, na sasa LeBron akifanya yake.
Hii historia tuliyoishuhudia LeBron akiiweka, naamini itachukua miaka zaidi ya 40 ambayo imechukua rekodi ya AbdulJabar kuvunjwa, na hiyo ni kama atatokea kiumbe wa kuivunja.
Curry michezo 880 ana vikapu 1500Unafurahisha sana mkuu yaani Stephen Curry umfaninishe na King Lebron james?
Basi mtaanza kubishana na kugombana japo mmeleta kitu kizuri, Lazima mkubaliane kutokukubaliana.Warrior are playing bad basketball hivi unamtoaje Kevon Looney from the starting lineup na hizo dakika ishirini ndio leading rebounder.
How you gonna trade GP2 to Blazers ambae tayari ameilewa system, defensive reliable and replace him na watu kama Diviceonzo and other crap.
The only reason Curry is great is because he is allowed to take lots of shots at this moment, otherwise Warriors has a lot of shooters kama umeangalia game yao ya mwisho na Oklahoma even without Curry.
For now they’re just a bad team, too much turnovers and offensive thinking kushinda defence. Yaani Steve Kerr anaweza mtoa mtu ambae yupo on fire offensively au defensively mpaka unajiuliza vipi
Haiwezekani kamwe unajua lebron kampita zaidi ya magoli 17,000/= na Curry ana miaka 34 hapa unaeza kuona hilo gape na ili curry ampite lebron inabidi kila msimu awe anafunga points 4500 na asiwe na injury. Watu wengi mnamkubali curry ila yeye mwenyewe anakwambia hilo jambo haliwezekani kamwe!Curry michezo 880 ana vikapu 1500
King James kacheza michezo zaidi ya 1500 kuvunja hiyo rekod.
Kahesabu Curry anaenda kuvunja hiyo rekod tena haitachukua miaka 40
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
DuuuNo matter what Lakin curry ni goat
Honestly, sioni hiyo ikitokea kwa hawa watoto wa sasa.Ni ngumu sana.. Labda kama hawa akina Luca, Ja Morant, Jayson Tatum watacheza mpaka kufikia huo umri wa Bron kwa consistence hii hii bila kupata majeraha ya muda mrefu labda tunaweza kushahudia rekodi yake ikivunjwa baada ya miaka 15 huko baadae.
Na hiyo uki_assume pia LeBron amestaafu baada ya mechi ya leo.Haiwezekani kamwe unajua lebron kampita zaidi ya magoli 17,000/= na Curry ana miaka 34 hapa unaeza kuona hilo gape na ili curry ampite lebron inabidi kila msimu awe anafunga points 4500 na asiwe na injury. Watu wengi mnamkubali curry ila yeye mwenyewe anakwambia hilo jambo haliwezekani kamwe!
Kitu pekee lebron anachomzidi Steph ni urefu na uwezo wa kudunk labda na defence kidogo.Unafurahisha sana mkuu yaani Stephen Curry umfaninishe na King Lebron james?
Steph curry changed the games for good.Mtoe Curry hapo.
Mie shabiki dam dam wa LA Lakers na Lebron ila Curry pekee ndo hunifanya niangalie games za warriors, jamaa ni very calm na mchezo wake ni tofauti sana na wa kina lebron na wengine coz wanatumia sana nguvu. Hao kina Shaq sawa lkn Curry yupo kwenye dimension yake peke yake, Kobe Bryant aliwahi kukiri kwamba Calmness ya Curry ni hatari na hajawahi kuiona ppt pale
Mzee huwezi waelewa GSW.Warrior are playing bad basketball hivi unamtoaje Kevon Looney from the starting lineup na hizo dakika ishirini ndio leading rebounder.
How you gonna trade GP2 to Blazers ambae tayari ameilewa system, defensive reliable and replace him na watu kama Diviceonzo and other crap.
The only reason Curry is great is because he is allowed to take lots of shots at this moment, otherwise Warriors has a lot of shooters kama umeangalia game yao ya mwisho na Oklahoma even without Curry.
For now they’re just a bad team, too much turnovers and offensive thinking kushinda defence. Yaani Steve Kerr anaweza mtoa mtu ambae yupo on fire offensively au defensively mpaka unajiuliza vipi
Jamaa bonge la mtu Yuko foot 7 na ushee huko kama yule BUST wetu Hashimu Tabiti wa makongo.Naimagine huyo jamaa aliyemzidi urefu LeBron James sijui atakuwa na muonekano gani!
Zile za Miami heats zote mbili.Ile ring ya bubble hatuhesabii kama real ring kwa sie wengine..
Ndio wanachofanya Sasa kujiandaa na the future.Hata wewe ungekua ni coach, na una mchezaji who is too good at converting them 3 or 2 point shots, huwezi mnyima au kubania nafasi ya kushoot. Utakua ni uzwazwa kumnyima asishoot. Kuhusu kuachia wachezaji wazuri kama Garry Payton na wengine kweli ni kosa. Ila hii pia huwa ni gamble or a much calculated move for future round picks.
Clay, Draymond and Curry. Hawana zaidi ya miaka mitano pamoja pale. Na nina uhakika executives wa warriors wameliona hilo and they are already preparing themselves for what is to come
I get what they are trying to achieve but it’s too costly.Mzee huwezi waelewa GSW.
Wanajaribu kugroom new talents ziendane na system yao.
Kuna madogo pale Wana vipaji sana ila hawana minutes za kutosha akina KUMINGA, MOODY, BALDIWN, etc.
Huwezi chezesha veteran Kila wakati Hawa wanaweza pata injury ikawacost team.
Veterans Wana umuhimu sawa wakati wa playoffs ukianza sababu Wana exprinence kubwa na jamaa wanataka team ifike playoffs veterans wote wakiwa health, na bench players wakiwa wamepata moto.
Cheki hata stats zao kwenye hii regular season wako katika balance sheet Wana save energy for playoffs games achana na wale wenye winning games nyingi wakifika playoff ulimi nje.
Hii GSW wamejifunza baada ya ile rekodi yao ya 72-9 na still wakalose Kes CAVs final games.
So jamaa siku hizi wanatumia regular season games kuwapasha hawa madogo mcheki KUMINGA na Poole walivyo Sasa.
Usiombe Hawa jamaa waje playoff wazima wote mmekwisha halafu umeona Klay anavyofanya mambo.
Mzee unajua sanaMzee huwezi waelewa GSW.

Vingereza vya ugoko vingi hueleweki unataka kusema nn.I get what they are trying to achieve but it’s too costly.
Worst walikuwa na vijana last year the likes of Tuscano Anderson and GP2 on the roaster jumlisha na Kaminga, Moody, Wiseman ambao bado wanajifunza system. Shida they traded some of those players na kuleta wengine.
Nini sasa kinachoendelea hawa vijana wamekuwa not consistent, they make lots of unforced errors, offensively erratic taking bad shots, it’s just chaos when the second group plays the only credible ball handler ni JP and now he is starting.
Nadhani wamebadili since January second unit inakuwa na two players hasa Curry until his injury. Ila bado turnovers ni shida so careless with the ball all of them including Curry, Klay na Draymond sasa I don’t see other learning the good habit kama veterans wenye ndio culprit kwenye turnover.
If you ask me Curry akiacha kuwa primary scorer and more of a facilitator offensively (like Harden’s role in Philly) I am not saying aache offence yake kama Harden but be a facilitator more often kuliko kutafuta shot. Hiyo itatoa nafasi ya mtu kama Wiseman to get more minutes and besides they have other good scorers but erratic with curry leadership they could get better.
Ni hivi I watch warriors a lot they are just not playing good basket ball only that they have lots of good shooters and if they explode hakuna wa kwenda nao but you can’t be hot each game.
I feel bad for Wiseman wakati wenzake high ranking picks this season got max or good extension, yeye value yake imeshuka mno yes injury imechangia but he is not given opportunity to play and he was the second pick. I don’t fancy warriors this season they haven’t gelled as a team they just play bad basket ball.