LeBron James avunja rekodi ya Kareem Abdul Jabal awa mfungaji wa muda wote NBA

Pamoja na kwamba watajitokeza watu na kudai sio bora ila kila mtu anayeujua na kuupenda mchezo wa kikapu lazima amkubali lebron James
 
Mfuatilie Damian Lillard, Curry anakubali moto wa huyo mwamba.
 
Curry ni mtu wa dribbling au?
Curry ni more of a point guard na lebron ni power forward! Utofauti wao ni kuwa Curry anapendelea sana zile shots za 3pts nje ya court na James yeye anapendelea hekaheka za Dunkin! πŸ˜‚
 
Tuna bahati kuwashuhudia Messi na Ronaldo, na sasa LeBron akifanya yake.

Hii historia tuliyoishuhudia LeBron akiiweka, naamini itachukua miaka zaidi ya 40 ambayo imechukua rekodi ya AbdulJabar kuvunjwa, na hiyo ni kama atatokea kiumbe wa kuivunja.
 
He is Five time champ as a player & 4 Times champ as a couch. Anyone who doubts Steve Kerr huwa namshangaa sana.
 
Tuna bahati kuwashuhudia Messi na Ronaldo, na sasa LeBron akifanya yake.

Hii historia tuliyoishuhudia LeBron akiiweka, naamini itachukua miaka zaidi ya 40 ambayo imechukua rekodi ya AbdulJabar kuvunjwa, na hiyo ni kama atatokea kiumbe wa kuivunja.
Ni ngumu sana.. Labda kama hawa akina Luca, Ja Morant, Jayson Tatum watacheza mpaka kufikia huo umri wa Bron kwa consistence hii hii bila kupata majeraha ya muda mrefu labda tunaweza kushahudia rekodi yake ikivunjwa baada ya miaka 15 huko baadae.
 
Hao uliowataja hawawezi kuivunja hii rekodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…