Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Mbona ni vitu ambavyo vipo wazi kwa watu wanao angalia NBA full games.Vingereza vya ugoko vingi hueleweki unataka kusema nn.
Nets unawachukulia poa?Mbona ni vitu ambavyo vipo wazi kwa watu wanao angalia NBA full games.
Sasa ukitaka tuanze kuelezea how warriors blew 13 points lead against the Nets in the 4th quarter by turning the ball 9 times in those minutes.
Au jinsi wanavyopoteza michezo mingi though the season with turnover ndio utaelewa.
Hoja zingine kuzielewa inataka iwe kweli unaangalia full games za team husika badala ya highlights za dakika 10 on YouTube videos.
Sishangai 6 minutes is a lot in an NBA game but if you gonna lose the ball carelessly kwa pass mbaya, au kuibiwa mpira kishamba au kutembea, au mguu kuwa kwenye mstari na hizo carelessness zikasababisha team nyingine kupata vikapu that is bad basketball.Nets unawachukulia poa?
waheshimu nets kwa kutunza energy na kupindua last Q....unashangaa NBA mtu kupinduliwa akiongoza kwa points 13?
Numbers don’t lie ndio maana. Luka kama Luka atavunja rekodi nyingi mana nae ni generational ila Ja na Tatum uongo bro.Nini kimekufanya udhani hawawezi? Umesoma post yangu vizuri lakini??
Consistency na discipline tu.. Lakini na bahati ya kutopata majeruhi ya muda mrefu.Honestly, sioni hiyo ikitokea kwa hawa watoto wa sasa.
Za Miami hadi ya Cleveland are real rings, no doubts!!Zile za Miami heats zote mbili.
Ja is not that aggressive lakini Tatum is putting up numbers na kama nilivyosema akicheza consistently mpaka umri wa Lebron anaweza kuchallenge hiyo record.Numbers don’t lie ndio maana. Luka kama Luka atavunja rekodi nyingi mana nae ni generational ila Ja na Tatum uongo bro.
We umeanza juzi fuatilia kikapu maana hii timu unayoipamba imekua tishio mno miaka ya karibuni......hongeraMzee huwezi waelewa GSW.
Wanajaribu kugroom new talents ziendane na system yao.
Kuna madogo pale Wana vipaji sana ila hawana minutes za kutosha akina KUMINGA, MOODY, BALDIWN, etc.
Huwezi chezesha veteran Kila wakati Hawa wanaweza pata injury ikawacost team.
Veterans Wana umuhimu sawa wakati wa playoffs ukianza sababu Wana exprinence kubwa na jamaa wanataka team ifike playoffs veterans wote wakiwa health, na bench players wakiwa wamepata moto.
Cheki hata stats zao kwenye hii regular season wako katika balance sheet Wana save energy for playoffs games achana na wale wenye winning games nyingi wakifika playoff ulimi nje.
Hii GSW wamejifunza baada ya ile rekodi yao ya 72-9 na still wakalose Kes CAVs final games.
So jamaa siku hizi wanatumia regular season games kuwapasha hawa madogo mcheki KUMINGA na Poole walivyo Sasa.
Usiombe Hawa jamaa waje playoff wazima wote mmekwisha halafu umeona Klay anavyofanya mambo.
No matter what Lakin curry ni goat