Lecturer UDSM azawadiwa na Wanafunzi

Huyo ni Mshana jamani! Wapare tupo vyema upstairs when it comes to intellectual intelligence na washana ni walimu wazuri sana kwenye kumwaga nondo na unafundishwa mpaka unafurahia somo!

Tuko friendly sana ndio maana wanafunzi wamemkubali mchizi! I am Mshana too!
 
Nyie mnaoponda hiyo zawadi, mlitaka huyo lecturer wampe nini!

RRONDO

Ova
Yellow and White roses,mi ukiniletea zawadi ya nguo na viatu ili hali Nina kipato kuliko wewe naona kama umeniona labda uenda sijui kuvaa,ama hapo nilipo nimesimama jalalani.
 
Inawezekana kweli,ila tatizo mko rough kwenye kuvaa wazee Wa kusagura minadani.

Ushawahi kuona kosa utende we we aibu nione Mimi.
 
Hakupaswa kupokea hiyo zawadi kwani kama mtumishi wa umma Kuna taratibu za kupokea zawadi ili isije ikawa rushwa.Ni hatari sana tukiendekeza tabia hii.Wangempa kwenye mahafali ya kumalizia ninsingekuwa na neno sana Ila hili wahusika walikemee.

Acheni wivu
Lecturer wengi chuoni wana buy time tu na kuwa na visirani
Ukipata wanaojielewa na kuthamini wanafunzi ni wachache acheni wapewe zawadi

Hasa hawa Ngazi ya Masters wengi wanajaza stress kwa wanafunzi
 
Hakika kabisaaaah.
 
Mie mwenyewe kuna lect nataka nimpe zawadi 1 kubwa hiyoooh, tatizo naanzaje sasa ndo mtihani. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe huyo lect ni mparee? Woiiiiiiiiiiih.
 
Acheni wivu
Lecturer wengi chuoni wana buy time tu na kuwa na visirani
Ukipata wanaojielewa na kuthamini wanafunzi ni wachache acheni wapewe zawadi

Hasa hawa Ngazi ya Masters wengi wanajaza stress kwa wanafunzi
Ngoja na wa PhD ndo utajua hujui
 
Katika kuendeleza dhima ya Uchumi wa viwanda wanafunzi wamemzawadia lecturer wao viatu na shati . Kazi ndo imeanza.
**Wakihojiwa wanaonyesha kufurahia tendo hilo.
Naomba kujua tu hawa Wanafunzi wanaompongeza sana wengi wao ni Wanaume au ni Wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…