EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda.
Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno, never. Namimi nasema Legacy inatengenezwa kwa vitendo na sio maneno, wakuifuta legacy inatakiwa aifute kwa vitendo.
Wakuifuta legacy ya JPM ni lazima ajitoe na kusacrafice maisha yake kwaajili ya watanzania kwa kufanya yafuatayo.
1. Kupambana na mafisadi kwa nguvu zote,
2. Kupambana na matajiri yanayokwepa kodi kwa nguvu zote.
3. Kupambana na yanayouza madawa ya kulevya kwa nguvu zote
4. Kupambana kwa nguvu zote na majangiri yanayoua ndovu na kutoroka na pembe zake
5. Kupambana na yanayotorosha madini kwa nguvu zote.
6. Kuvunja mikataba ya kinyonyaji kwenye madini na gesi kwa nguvu zote.
7. Kuondoa wafanyakazi hewa, kuondoa yote yenye vyeti feki na yanayojilipa mishahara hewa ya wafanyakazi waliofariki.
8. Kutatua kesi zote za papo kwa papo za watu wanao kosa haki mahakamani kwa kutoakua na nguvu ya fedha.
9. Kupambana na rushwa kwa nguvu zote bila kuangalia sura, nguvu au cheo cha mtu.
10. Kupambana na vigogo wanaofanya nchi ya Tanzania ni mali ya familia zao na kuanza kutumia rasilimali na mali za nchi kutajirisha familia zao.
11. Kutumbua bila huruma yeyote anayefanya kazi kwa mazoea.
Hapo nimeandika kwa kifupi tu. Yeyote atakayeweza kufanya hivyo ndiye atakayeweza kuivunja legacy ya JPM. Na ukiivunja legacy ya JPM dunia nzima itakufahamu sasa. Lazima utakufa tu maana sio rahisi kuyafanya mambo hayo katika nchi za bara la Afrika. Huwezi pambana na matajiri na vigogo wakwepakodi bila kutoa maisha yako. Huwezi pambana na wazungu wenye mikataba ya kinyonyaji bila kutoa maisha yako. Huwezi pambana na majangiri na wauza madawa ya kulevya bila kutoa maisha yako. Hapo sijazungumzia ndoa za jinsia moja. Ngoja niishie hapa.
Ila nirudie tena legacy iliyotengenezwa kwa vitendo haifutwi kwa maneno bali kwa vitendo.
Hivyo kama wewe ni mwanasiasa au ni mtu wa kawaida jikite kwenye vitendo kama ni jimboni kwako kasimamie kwa bidii zote u hakikishe unamzidi JPM hapo ndio utaweza kuifuta legacy lkn sio kwa kutumia smart phone au mic.
His Legacy will live forever.