Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Hao ndio aina ya watu ambao mwendazake aliyewageuza mtaji. Wanaroho za ajabu sana, sasa hapo kafurahi mtu kashushwa chini lakini cha ajabu kushushwa kwa huyo mtu yeye hakumfaidishi chochote ili mradi tu watu wote wawe hohe haheMimi nimebaki na vesta mbovu ni sahihi mkuu. Natumaini wewe mwenzangu umepaa zaidi kimaisha na kumiliki V8 kutokana na mimi kukatwa kwangu mirija.