Legacy iliyoandikwa kwa vitendo haiwezi kufutwa kwa maneno ukitaka kuifuta legacy ni lazima ukubali kuyatoa maisha yako kwaajili ya wa Tanzania maskin

Wapumbavu kama wewe, wauza ngada kama wewe, wafurahiao kuona vijana wakifa Kwa madawa ya kulevya na biashara zenu haramu kama wewe, mafisadi kama wewe, majizi kama wewe, Wala rushwa kama wewe, wakwepa Kodi kama wewe,

Utaanzaje kumpenda aliyezuia ujinga wenu huo?

Si itakuwa ni upumbavu kwenu kukubali mambo yenu haramu mliyokuwa mkiyafanya bila kujali uhai wa wengine, mkifurahia kupata utajiri haramu, utaanzaje Kwa wewe kumkubali aliyewanyang'anya tonge mdomoni?
Ni wewrevu tu na tunaojitambua ndiyo tunajuwa kuwa Mwendazake alikuwa ametumia Ukosefu wenu wa elimu kuwajaza UJINGA.

Endeleeni kuamini kuwa nyinyi ni WANYONGE Ila iko siku mtakuja kujilaumu sana kwa kumwabudu DIKTETA nduli kutoka Chato.

Sisi tunajuvuna ni WASHINDI kwa vile Mwendazake tayari ni chakula cha sisimizi na minyoo. Na UJINGA wake wote tumeuzika naye pale Chato
 
haya ni mawazo yako, na mimi yale ndio mawazo yangu. so it's better uyaandike nawewe mawazo yako.
Soma kwanza maana ya legacy. Activities and objects never make legacy. Hivyo ulivyoviandika, ni either activities or objects, haviwezi kutengeneza legacy yoyote.
 
Kuwaambia watu wabaki na mavi yao nyumbani ndio legacy?,ama kweli wewe ni tumbili kama sio ngedere
 
Wale Ni MAHAYAWANI, iko siku wakikumbuka UPIMBI huo watajilaumu Sana.

Mimi mke wangu hata kuangalia TBC1 wakati wa msiba nilimpiga MARUFUKU
Hayo si mawazo ya mtanzania yule aliyetandika khanga,mashuka na viatu ili gari la marehemu lipite, yule aliye lala barabarani akilia kwa uchungu. Mtanzania masikini anamwesabu Magufuli kama mwana mwema wa Africa. Umati aliomzika umewaaibisha mafisadi.
Hayo unauomsingizia nayo kipenzi chetu ni Western propaganda na ninyi ni vibaraka wake ambao ni 0.001 ya watanzania wote
 
Legacy isiyofutika ni moja tu nayo ni ya Hayati Baba wa Taifa ya kujitolea kudai Uhuru wa Tanzania na baadhi ya Nchi za Afrika. Vizazi na Vizazi Vitaikumbuka leo ikienda Msumbiji Angola Zimbabwe n.k Vizazi na Vizazi wanamkumbuka Hayati Baba wa Taifa kama Majengo Nyerere amejenga Tanzania nzima kuliko Rais yeyeto wa Tanzania hakuna kitu Nyerere Hakufanya.
Halaf hakuwa fisadi Kama mwendazake angetaka angejenga hata ikulu Butiama
 
20210425_073850.jpg

Legacy hailindwi..inajilinda. Ndo mara ya kwanza duniani nasikia watu wanailinda legacy ya mtu. Mnapoteza muda
 
Hayo si mawazo ya mtanzania yule aliyetandika khanga,mashuka na viatu ili gari la marehemu lipite, yule aliye lala barabarani akilia kwa uchungu. Mtanzania masikini anamwesabu Magufuli kama mwana mwema wa Africa. Umati aliomzika umewaaibisha mafisadi.
Hayo unauomsingizia nayo kipenzi chetu ni Western propaganda na ninyi ni vibaraka wake ambao ni 0.001 ya watanzania wote
Kama hukuona wala kusikia kina Azory, Ben Saanane, watu wanaokotwa kwenye mifuko wamekufa.. kina Tundu Lissu wanapigwa risasi mchana kweupe. Halaf leo unasema propaganda! Utakuwa una matatizo ya akili. Sio bure una matatizo
 
Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda.

Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno, never. Namimi nasema Legacy inatengenezwa kwa vitendo na sio maneno, wakuifuta legacy inatakiwa aifute kwa vitendo.

Wakuifuta legacy ya JPM ni lazima ajitoe na kusacrafice maisha yake kwaajili ya watanzania kwa kufanya yafuatayo.

1. Kupambana na mafisadi kwa nguvu zote,
2. Kupambana na matajiri yanayokwepa kodi kwa nguvu zote.
3. Kupambana na yanayouza madawa ya kulevya kwa nguvu zote
4. Kupambana kwa nguvu zote na majangiri yanayoua ndovu na kutoroka na pembe zake
5. Kupambana na yanayotorosha madini kwa nguvu zote.
6. Kuvunja mikataba ya kinyonyaji kwenye madini na gesi kwa nguvu zote.
7. Kuondoa wafanyakazi hewa, kuondoa yote yenye vyeti feki na yanayojilipa mishahara hewa ya wafanyakazi waliofariki.
8. Kutatua kesi zote za papo kwa papo za watu wanao kosa haki mahakamani kwa kutoakua na nguvu ya fedha.
9. Kupambana na rushwa kwa nguvu zote bila kuangalia sura, nguvu au cheo cha mtu.
10. Kupambana na vigogo wanaofanya nchi ya Tanzania ni mali ya familia zao na kuanza kutumia rasilimali na mali za nchi kutajirisha familia zao.
11. Kutumbua bila huruma yeyote anayefanya kazi kwa mazoea.

Hapo nimeandika kwa kifupi tu. Yeyote atakayeweza kufanya hivyo ndiye atakayeweza kuivunja legacy ya JPM. Na ukiivunja legacy ya JPM dunia nzima itakufahamu sasa. Lazima utakufa tu maana sio rahisi kuyafanya mambo hayo katika nchi za bara la Afrika. Huwezi pambana na matajiri na vigogo wakwepakodi bila kutoa maisha yako. Huwezi pambana na wazungu wenye mikataba ya kinyonyaji bila kutoa maisha yako. Huwezi pambana na majangiri na wauza madawa ya kulevya bila kutoa maisha yako. Hapo sijazungumzia ndoa za jinsia moja. Ngoja niishie hapa.

Ila nirudie tena legacy iliyotengenezwa kwa vitendo haifutwi kwa maneno bali kwa vitendo.

Hivyo kama wewe ni mwanasiasa au ni mtu wa kawaida jikite kwenye vitendo kama ni jimboni kwako kasimamie kwa bidii zote u hakikishe unamzidi JPM hapo ndio utaweza kuifuta legacy lkn sio kwa kutumia smart phone au mic.

His Legacy will live forever.

Bila shaka mleta mada upo kwenye kundi la watu wanyonge yaani watu fukara wa akili na mali. Huwa mna wivu sana na roho mbaya sanamkisikia aliyefanikiwa kimaisha kashushwa chini pasipo huwa mnafurahi saaaana utafikiri kushushwa kwa mtu chini kutakuongezea kitu kwako.

Magufuli kwa ujumla alikuwa hawapendi watu wawe wenye pesa yeye furaha yake ni kuona kila mtu anakuwa masikini tu. Na ndio maaana alikuwa yupo radhi awashushe matajiri lakini cha ajabu hayupo radhi kumfanya masikini anakuwa tajiri, na imani yake ilikuwa anahisi kila tajiri anapata pesa zake kwa njia haramu..

Umesema kuwa Magufuli kapambana na mafisadi, je unaweza kuniambia ile mahakama tokea ifunguliwe ni nani aliyefungwa?

Na je alivyopambana na vyeti feki, mafisadi, madini kuibiwa, vigogo, n.k ilisaidia vipi maisha ya wananchi kwa ujumla? Je waajiliwa waliongezewa mishahara kutokana na hayo mapambano? Je aliajili wananchi kutokana na hayo mapambano aliyofanya? Vipi kuhusu hali ya wananchi mitaani mzunguko wa pesa ulikuwa mzuri kutokana na kupambana kwake na hivyo vitu?
Vipi deni la taifa lilipungua, kutokana na huko kupambana kwake?
Vipi huko vijijini je swala la wananchi kuchangishwa kutoa ela za ujenzi wa miradi ya maendeleo Kama zahanati na shule zilisiyishwa kutokana na huko kupambana kwake?
 
tatizo ndugu yangu umendika mazuri tu mabaya yake hakuandika ok pamoja na mazuri aliyofanya Mimi nilimchukia pale aliposhindwa kuishi vizuri na vyama vingine vya siasa Na kutumia bunduki kama fimbo yake ya kuazibia wale wote alio on a ni kikwazo ktk utawala wake
 
Mzazi wako bora Angepiga punyeto kuliko kuzaa mpumbavu kama wewe.

wewe nasikia kinga ilipasuka ukapatikana, mzee alikuwa anamwogopa mama kwa sababu ambazo haziwezwi kuandikwa hapa
 
Bila shaka mleta mada upo kwenye kundi la watu wanyonge yaani watu fukara wa akili na mali. Huwa mna wivu sana na roho mbaya sanamkisikia aliyefanikiwa kimaisha kashushwa chini pasipo huwa mnafurahi saaaana utafikiri kushushwa kwa mtu chini kutakuongezea kitu kwako.

Magufuli kwa ujumla alikuwa hawapendi watu wawe wenye pesa yeye furaha yake ni kuona kila mtu anakuwa masikini tu. Na ndio maaana alikuwa yupo radhi awashushe matajiri lakini cha ajabu hayupo radhi kumfanya masikini anakuwa tajiri, na imani yake ilikuwa anahisi kila tajiri anapata pesa zake kwa njia haramu..

Umesema kuwa Magufuli kapambana na mafisadi, je unaweza kuniambia ile mahakama tokea ifunguliwe ni nani aliyefungwa?

Na je alivyopambana na vyeti feki, mafisadi, madini kuibiwa, vigogo, n.k ilisaidia vipi maisha ya wananchi kwa ujumla? Je waajiliwa waliongezewa mishahara kutokana na hayo mapambano? Je aliajili wananchi kutokana na hayo mapambano aliyofanya? Vipi kuhusu hali ya wananchi mitaani mzunguko wa pesa ulikuwa mzuri kutokana na kupambana kwake na hivyo vitu?
Vipi deni la taifa lilipungua, kutokana na huko kupambana kwake?
Vipi huko vijijini je swala la wananchi kuchangishwa kutoa ela za ujenzi wa miradi ya maendeleo Kama zahanati na shule zilisiyishwa kutokana na huko kupambana kwake?
ulikuwa kundi gani la walionyooshwa na JPM??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda.

Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno, never. Namimi nasema Legacy inatengenezwa kwa vitendo na sio maneno, wakuifuta legacy inatakiwa aifute kwa vitendo.

Wakuifuta legacy ya JPM ni lazima ajitoe na kusacrafice maisha yake kwaajili ya watanzania kwa kufanya yafuatayo.

1. Kupambana na mafisadi kwa nguvu zote,
2. Kupambana na matajiri yanayokwepa kodi kwa nguvu zote.
3. Kupambana na yanayouza madawa ya kulevya kwa nguvu zote
4. Kupambana kwa nguvu zote na majangiri yanayoua ndovu na kutoroka na pembe zake
5. Kupambana na yanayotorosha madini kwa nguvu zote.
6. Kuvunja mikataba ya kinyonyaji kwenye madini na gesi kwa nguvu zote.
7. Kuondoa wafanyakazi hewa, kuondoa yote yenye vyeti feki na yanayojilipa mishahara hewa ya wafanyakazi waliofariki.
8. Kutatua kesi zote za papo kwa papo za watu wanao kosa haki mahakamani kwa kutoakua na nguvu ya fedha.
9. Kupambana na rushwa kwa nguvu zote bila kuangalia sura, nguvu au cheo cha mtu.
10. Kupambana na vigogo wanaofanya nchi ya Tanzania ni mali ya familia zao na kuanza kutumia rasilimali na mali za nchi kutajirisha familia zao.
11. Kutumbua bila huruma yeyote anayefanya kazi kwa mazoea.

Hapo nimeandika kwa kifupi tu. Yeyote atakayeweza kufanya hivyo ndiye atakayeweza kuivunja legacy ya JPM. Na ukiivunja legacy ya JPM dunia nzima itakufahamu sasa. Lazima utakufa tu maana sio rahisi kuyafanya mambo hayo katika nchi za bara la Afrika. Huwezi pambana na matajiri na vigogo wakwepakodi bila kutoa maisha yako. Huwezi pambana na wazungu wenye mikataba ya kinyonyaji bila kutoa maisha yako. Huwezi pambana na majangiri na wauza madawa ya kulevya bila kutoa maisha yako. Hapo sijazungumzia ndoa za jinsia moja. Ngoja niishie hapa.

Ila nirudie tena legacy iliyotengenezwa kwa vitendo haifutwi kwa maneno bali kwa vitendo.

Hivyo kama wewe ni mwanasiasa au ni mtu wa kawaida jikite kwenye vitendo kama ni jimboni kwako kasimamie kwa bidii zote u hakikishe unamzidi JPM hapo ndio utaweza kuifuta legacy lkn sio kwa kutumia smart phone au mic.

His Legacy will live forever.
Hujui legacy ni nini umejiandikia tu kama chizi. Anyway, hebu tafuta shughuli ya kufanya ya kukuingizia kipato. Legacy ifutwe, isifutwe, haikuongezei ugali nyumbani kwako.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Sisi Watanzania hatukuwa na Rais bali kutokana na ajali ya kisiasa ya mwaka 2015 tulipata Shetani aliyejifanya anajuwa kila kitu.

Bado kuna Watanzania wapumbavu wengi tu ambao wanamsifia na ndiyo hao wanalazimisha hiyo legacy. Legacy haijadiliwi inakuja yenyewe.

Kwa kweli sioni cha kukaa na kumsifia Magufuli ambaye ameturudisha nyuma miaka 20 kiuchumi.

Lakini tumshukuru Mungu analipenda Taifa letu, alipomuona anapata kiburi na kutaka kubadili ukomo wa utawala akamtupilia Jehanam

kweli tuko wengi sana wapumbavu

au kuita watu wapumbavu ndio kunaharibu au kubadilisha ukweli? ni muda tu, mtakimbiana humu!!!!

shetani analiliwa nchi nzima? so wanaomlilia ni vishetani vyenzake...

waliomlilia JPM baba na mama yako lazima wapi sio? ambao ni shetani.....na wakakuzaaa malaika

msinifanye mnaongea mpate sifa humu

JPM did well in his time, sasa kaja huyu mwingine...

kumtukana marehemu kunaonyesha alikunyoosha sawa sawa.Pole

He is gone forever na kama alikuathiri na ufisadi wako Pole mkuu

Ishi kihalali tu, huna namna🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sikuwa mnyonge, vipi wewe upo kwenye wanyonge?

unajificha kwa wanyonge?

sema JPM alikufanya nini? alikata mrija wa ulaji???🤣🤣🤣🤣🤣 bila JPM ungekuwa na mabasi 100 saa hizi, za kodi za raia

umebaki na vesta mbovu, kick mara nane ndo inawaka, unaanzaje kumpenda?
 
Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda.

Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno, never. Namimi nasema Legacy inatengenezwa kwa vitendo na sio maneno, wakuifuta legacy inatakiwa aifute kwa vitendo.

Wakuifuta legacy ya JPM ni lazima ajitoe na kusacrafice maisha yake kwaajili ya watanzania kwa kufanya yafuatayo.

1. Kupambana na mafisadi kwa nguvu zote,
2. Kupambana na matajiri yanayokwepa kodi kwa nguvu zote.
3. Kupambana na yanayouza madawa ya kulevya kwa nguvu zote
4. Kupambana kwa nguvu zote na majangiri yanayoua ndovu na kutoroka na pembe zake
5. Kupambana na yanayotorosha madini kwa nguvu zote.
6. Kuvunja mikataba ya kinyonyaji kwenye madini na gesi kwa nguvu zote.
7. Kuondoa wafanyakazi hewa, kuondoa yote yenye vyeti feki na yanayojilipa mishahara hewa ya wafanyakazi waliofariki.
8. Kutatua kesi zote za papo kwa papo za watu wanao kosa haki mahakamani kwa kutoakua na nguvu ya fedha.
9. Kupambana na rushwa kwa nguvu zote bila kuangalia sura, nguvu au cheo cha mtu.
10. Kupambana na vigogo wanaofanya nchi ya Tanzania ni mali ya familia zao na kuanza kutumia rasilimali na mali za nchi kutajirisha familia zao.
11. Kutumbua bila huruma yeyote anayefanya kazi kwa mazoea.

Hapo nimeandika kwa kifupi tu. Yeyote atakayeweza kufanya hivyo ndiye atakayeweza kuivunja legacy ya JPM. Na ukiivunja legacy ya JPM dunia nzima itakufahamu sasa. Lazima utakufa tu maana sio rahisi kuyafanya mambo hayo katika nchi za bara la Afrika. Huwezi pambana na matajiri na vigogo wakwepakodi bila kutoa maisha yako. Huwezi pambana na wazungu wenye mikataba ya kinyonyaji bila kutoa maisha yako. Huwezi pambana na majangiri na wauza madawa ya kulevya bila kutoa maisha yako. Hapo sijazungumzia ndoa za jinsia moja. Ngoja niishie hapa.

Ila nirudie tena legacy iliyotengenezwa kwa vitendo haifutwi kwa maneno bali kwa vitendo.

Hivyo kama wewe ni mwanasiasa au ni mtu wa kawaida jikite kwenye vitendo kama ni jimboni kwako kasimamie kwa bidii zote u hakikishe unamzidi JPM hapo ndio utaweza kuifuta legacy lkn sio kwa kutumia smart phone au mic.

His Legacy will live forever.
Aliua Democrasia ya vyama vingi. Wengi walibabikiziwa kesi, watu walitekwa na wasiojulikana ambao hapo kabla hatukuwahi kusikia. Hayo uliyoyataja yalipaswa kushughulikiwa na Sheria na haki ingetendeka. Leo hii unapoondoa watumishi kwa kigezo Cha vyeti feki, wewe unakuwa umejigeuza hakimu.
 
kweli tuko wengi sana wapumbavu

au kuita watu wapumbavu ndio kunaharibu au kubadilisha ukweli? ni muda tu, mtakimbiana humu!!!!

shetani analiliwa nchi nzima? so wanaomlilia ni vishetani vyenzake...

waliomlilia JPM baba na mama yako lazima wapi sio? ambao ni shetani.....na wakakuzaaa malaika

msinifanye mnaongea mpate sifa humu

JPM did well in his time, sasa kaja huyu mwingine...

kumtukana marehemu kunaonyesha alikunyoosha sawa sawa.Pole

He is gone forever na kama alikuathiri na ufisadi wako Pole mkuu

Ishi kihalali tu, huna namna🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuliliwa nchi nzima ni hivi;
1. Wameamua kutembeza maiti Dodoma, ZNZ, Mwanza na Geita ili iwe nini? Kuonyesha kuwa anapendwa? Wala Ila walitaka ku-justfy fedha walizochota BOT

2. Kwa Waafrika hata wachawi tunawaaga na tunwachimbia kaburi refu ili wasirudi tena. Tunapenda tujiridhishe kuwa wale wachawi wamekufa kweli?

3. Kuhusu nyomi, nayo ni kawaida kwani hata Stephen Kanumba na Ruge Mutahaba walifunga nyomi kushinda hiyo

4. Hata Waberoya ukifa na wakakukupangia ratiba ya kujuzungusha na matangazo yakawekwa, tutakuja
 
Wewe ndo wale wajinga Kibwetere alikuwa anawatafuta awachome moto..ni kama li nyumbu ambalo tayari ni brain washed..linakubali kila uongo lakin halioni ukweli
Tanzania imejaa vibwetere ndugu yangu...there is no greater enemy of COVID-19 than the COVID-19 denier and Magufuli was one and where is he now?

unajificha kwa wanyonge?

sema JPM alikufanya nini? alikata mrija wa ulaji???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bila JPM ungekuwa na mabasi 100 saa hizi, za kodi za raia

umebaki na vesta mbovu, kick mara nane ndo inawaka, unaanzaje kumpenda?

Mimi nimebaki na vesta mbovu ni sahihi mkuu. Natumaini wewe mwenzangu umepaa zaidi kimaisha na kumiliki V8 kutokana na mimi kukatwa kwangu mirija.
 
Back
Top Bottom