Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Ni wewrevu tu na tunaojitambua ndiyo tunajuwa kuwa Mwendazake alikuwa ametumia Ukosefu wenu wa elimu kuwajaza UJINGA.Wapumbavu kama wewe, wauza ngada kama wewe, wafurahiao kuona vijana wakifa Kwa madawa ya kulevya na biashara zenu haramu kama wewe, mafisadi kama wewe, majizi kama wewe, Wala rushwa kama wewe, wakwepa Kodi kama wewe,
Utaanzaje kumpenda aliyezuia ujinga wenu huo?
Si itakuwa ni upumbavu kwenu kukubali mambo yenu haramu mliyokuwa mkiyafanya bila kujali uhai wa wengine, mkifurahia kupata utajiri haramu, utaanzaje Kwa wewe kumkubali aliyewanyang'anya tonge mdomoni?
Endeleeni kuamini kuwa nyinyi ni WANYONGE Ila iko siku mtakuja kujilaumu sana kwa kumwabudu DIKTETA nduli kutoka Chato.
Sisi tunajuvuna ni WASHINDI kwa vile Mwendazake tayari ni chakula cha sisimizi na minyoo. Na UJINGA wake wote tumeuzika naye pale Chato