Legacy iliyoandikwa kwa vitendo haiwezi kufutwa kwa maneno ukitaka kuifuta legacy ni lazima ukubali kuyatoa maisha yako kwaajili ya wa Tanzania maskin

You wrote it straightaway
 
Legacy is not propaganda though propaganda can be sbout legacy.
 
Hayo si mawazo ya mtanzania yule aliyetandika khanga,mashuka na viatu ili gari la marehemu lipite, yule aliye lala barabarani akilia kwa uchungu. Mtanzania masikini anamwesabu Magufuli kama mwana mwema wa Africa. Umati aliomzika umewaaibisha mafisadi.
Hayo unauomsingizia nayo kipenzi chetu ni Western propaganda na ninyi ni vibaraka wake ambao ni 0.001 ya watanzania wote
 
You said it all. Ukiangalia zile siku 100 za mwanzo toka alivyoingia madarakani , alikwenda bandarini, kushiriki kufanya usafi, ziara za kushitukiza. N.k. Magufuli alikuwa action oriented. Wakati Mama yetu its the opposite. Huwezi ukaongelea ofisini halafu ukategemea. TRA wavunje rekodi ya kukusanya kodi kwa mfano
 
Kupambana na rushwa sio legacy bali kuwafanya watu waichukie rushwa ndio legacy. Kupanda miti sio legacy bali kuwafanya waipende na kuitunza na kuilinda.
Paka anaogopwa sana na panya lakini hamfanyi panya afe njaa.
 
Pia kaa ukijua huwezi kuijenga legacy kwa MANENO NA NYIMBO NA MAPAMBIO...POLE MKUUU,UNAUMIA UKIWA WAPI?
 
Pia kaa ukijua huwezi kuijenga legacy kwa MANENO NA NYIMBO NA MAPAMBIO...POLE MKUUU,UNAUMIA UKIWA WAPI?
Mkuu haumii ila hiyo ndio kazi ya 'Urithi Maalum'-Unprecedented Legacy kuibua kumbukizi na kutamani kuwa nayo. Ukikumbuka jambo lililopita lililotendwa na mtu likaleta athari chanya na hasi, kwa upande wa chanya ndio urithi lakini upande wa hasi sio urithi
 
Naomba tujibizane kwa hoja mkuu, mimi siwezi kutukana.
Legacy ya mtu haitetewi wala kuharibiwa na mwingine. Nashangaa kwanini watu wanatumia nguvu nyingi kujaribu kumtetea mwendazake Magufuli kwa kudai wanatetea legacy yake? Legacy ni kama jiwe la dhahabu. Ukilitupa kwenye tanuru linazidi kusafika na kung'aa. Kama ambavyo moto mkali husafisha dhahabu ndivyo legacy ya mtu ilivyo. Kama ipo, ipo tu!
 
Mimi siwezi kutukanana na mtu mimi nakwenda kwa hoja tu
 
Wife: How much do you love me?
Husband: My heart is a mobile and you are the sim of it.
Wife: OMG! I'm so lucky you love me so much.

She really don't know that her Husband is a dual sim.
 

Kajenga
Chato International Airport
Chato VETA kanda
Chato Hospital rufaa
Chato 5 star hotel
Chato National Park
Chato CRDB
Chato Mahakama
Chato Zimamoto
Chato Takukuru
Chato National Stadium (Proposal)
Zote hizi ni kodi za wananchi zilitumika kuendeleza Wilaya moja tu.

Kweli legacy ya Mwendazake haitoka ifutike.
 
Hivi unafahamu maana ya LEGACY!!

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli hili la speech, nyingi nazozikumbuka ni slogan tu
Jipu ni kutumbua tu
Tumeibiwa sana, hii nchi tajiri
WATU WA KAGERA NA TETEMEKO
Nireteeeeeni Gwajima
Ile ya juzi ya kinyesi pale Mbezi
Tumtangulize Mungu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mzazi wako bora Angepiga punyeto kuliko kuzaa mpumbavu kama wewe.
Mtabaki na kejeli na matusi tu.
Huyo Ndugu Yuko sahihi ..legacy haifutwi kwa maneno...
 
Bahati mbaya, hujui hata maana ya legacy.

Activities never make any legacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…