Hao ndio aina ya watu ambao mwendazake aliyewageuza mtaji. Wanaroho za ajabu sana, sasa hapo kafurahi mtu kashushwa chini lakini cha ajabu kushushwa kwa huyo mtu yeye hakumfaidishi chochote ili mradi tu watu wote wawe hohe hahe

Kwa mfano Yusuf Manji alikuwa anaajiri moja kwa moja watu 3,000 kwenye makampuni yake. Kwa yeye kufurushwa na Mwendazake kwanza Serikali imepoteza Kodi ya PAYE.
Lakini jiulize je ule utajiri wa Yusuf Manji umehamia kwa "mnyonge" gani?
Hapo ndipo utagundua kuwa Tanzania ina wapumbavu wengi kuliko unavyodhania