Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu huo ndio ulikuwa ukweli wenyewe na mimi binafsi hiyo biashara niliifanya nilikuwa nikipata boksi zangu mbili tatu za dawa mbuu nauzaHahaaaaaaahaaaaa..mkuu unanchekesha sana..ingawa ilikuwa hali ngumu kipindi hiko
Mkuu unaamini hizo story za abunuas! Upimwe akil weweNimeacha kwenda kulala kwa kusoma hii taarifa
sasa je nini kilichotokea bbada ya hapo?
Je hawa vijana walikuwa na uhusiano wowote na akina McGhee waliotaka kumpindua Juliasi au hizi zilikuwa 2 different incidents?
uongo ya hayo yanayoelezwa uko wapi? embu wewe tuambie ukweli unaoujua?Mkuu unaamini hizo story za abunuas! Upimwe akil wewe
Please malizia habari captain Mazula na mwenzake Jotham vs Dr Ouko, vipi kiliendelea nini? Je ndege ilijazwa mafuta? Je baada ya jeshi kubaini hakuna huyo Luteni kiliendelea nini tafadhali sana.Naona members wenzetu humu wamekasirika kweli kumuelezea Mzee Mwinyi basi nimeacha maana mpaka wasomaji wanaitwa malimbukeni.
Big up sana kwenye huu uzi mkuu umetisha hata kama chungu tutameza tu ivoivo.Nyerere kapewa nchi na wakoloni nchi ipo vizuri.
Vita vya vya miezi minane ndiyo viliifanya Tanzania kuwa masikini?
Unajua kama Tanzania walilipwa?
Most interesting thing ni kuwa that was back in 80's if im not mistaken
Hao vijana walikuwa in their early and mid 20's
WOTE walikuwa ni vijana wa Kiislam (based on majina)
What does that tell you?
Does this mean kuwa pamoja na kuwa vijana wa miaka hiyo walikuwa hawana twitter or internet lakini waliamka au how did they knew kuwa Nyerere alikuwa anaturudisha nyuma?
Je walikuwa wanatoka Tanga au maeneo mbali mbali ya nchi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hawa watu wachache wasitufanye sisi tukose elimu hii Al tafadhal mashkura endelea kutitikula shekh.Naona members wenzetu humu wamekasirika kweli kumuelezea Mzee Mwinyi basi nimeacha maana mpaka wasomaji wanaitwa malimbukeni.
Hata Kikwete naamini atafika umri huu ili aone jitihada zake zinavyoliwa na wengine kama Mwinyi kafanya mengi ila anaonekana sifuri.Mzee yuko fit sana...mazoezi ni mazuri maana miaka 91 si mchezo...tunakuombea uishi maisha marefu zaidi Mzee wetu
Huyu mzee ni mfano wa jinsi gani mazoezi yanalipa...namuadmire kwa hilo ....
Unatakiwa uwepo miaka hiyo kujua legacy ya Mzee Ruksa. Kubwa ni kuwa aliyutoa katika mfumo hodhi kwenda mfumo huru. Kazi yake kubwa ilikuwa kutubafilisha mawazo kwa amani katika mabadiliko hayo na hili aliliweza bizuti aana. Bahati mbaya kuna watu naona wanshangilia kutaka kuturudisha huko.![]()
Rais mtaafu Mzee ALI HASSAN MWINYI ambaye nadhani ki historia ni mmoja ya watu wachache sana duniani ambao waliwahi kuwa rais wa nchi mbili tofauti. Al Hajj Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania pia leo ametimiza miaka 91 toka azaliwe.
Je GREAT THINKERS wa JAMIIFORUMS mnaweza kutupatia dondoo za legacy yake na cha kujiuliza je mnadhani hawa watawala tulionao wangejifunza nini toka kwa Mzee Ali Hassan Mwinyi?
na wewe unatoa za kwako mkuu, kama kaongea upotofu wewe unasahihisha, kwa hoja na reference sio kejeli wala matusiRitz, naona na wewe umeamua kuandika historia mpya ya Tanzania baada ya uhuru kama yule kakayo naye alipoamua kuandika historia mpya ya Tanganyika kabla ya uhuru ha ha haa? Yeye anadai pororjo anazoandika alisimuliwa barazani na wazee wake wa Gerezani, je wewe nani alikusimulia hizi porojo unazowapa vijana?
Kama kawaida naona vijana wako nao badala ya barazani wamehamia JF kusikiliza porojo zako wanameza tu bila kuhoji. Nakutakia kila la kheri kwani hata humu limbukeni wapo kibao wamejaa tele.
Hivi unajua kila zama na ujanja wake..? Ata waliofanya starehe na ujanja wao miaka ya 1930 wanakuona wewe hujui kitu..!Ritz, huwa nawatazama hawa watoto wa smart phones nawaona hawana ujanja wowote. Acha tu yaani, tunaongelea enzi hizo za watoto wa Oysterbay kufanya sherehe halafu sisi watoto wa upanga mashariki tunakwenda kwa miguu kwenye nyumba ya mtu fulani. Party ikimalizika kulikuwa hakuna mambo ya boda boda au bajaji, watu wakanyaga kwa miguu taratibu kutoka mitaa ya Obay, wanavuka salender Brigde wanakunja kushoto kuitafuta Aga Khan, wakivuka Gymkhana, yanakuwepo makundi mawili, mmoja linaelekea shaaban robert na jingine linakuwa ni la watoto wa mirambo na ohio kwenye maghorofa ya Railways.
Watu walikuwa wanazifuata party za usiku kwa miguu, lakini walikuwepo wezi wa magari ya baba, wanavizia wazee wamelala, wanaenda gereji wanalisukuma gari taratibu mpaka kwenye kona ya mtaa halafu ndio linawashwa. Mwenye gari mara nyingi hana hela ya mafuta, anafanya kuwaambia marafiki zake wachange ili waweze kwenda na kurudi nyumbani bila ya baba kushtukia mchezo asubuhi ya siku inayofuata.
Kina Musa Memba, na wenzake waliwateka nyara abiria,wakaikagua ndege na kupata bastola halisi tena revolver' iliyokuwa katika chumba cha rubani.Please malizia habari captain Mazula na mwenzake Jotham vs Dr Ouko, vipi kiliendelea nini? Je ndege ilijazwa mafuta? Je baada ya jeshi kubaini hakuna huyo Luteni kiliendelea nini tafadhali sana.
Mkubali msikubali siyo wewe tu,bali na mwenzako Fayza Fox na The big show, nyerere ndio atabakia kwa ni kielelezo cha viongozi walio wahi kuwa bora kabisa hapa tanzania
Inawezekana ulipatikana baada ya babako kunywa pombe za kienyeji. Vinywaji vya kienyeji vinaendelea kukulevya mpaka leo.Kwweli mbweha ni mbweha hata akivaa kanzu. Wewe watu wanalia na ufisadi uliokithiri kumbe wewe kwa ko ndiyo marekebisho?
Ndiyo maana mmerundikana kwenye wakwepa kodi, watorosha makontena bandarini na waingiza malori kibao kwa jina la kusalia. Mmezowea vya kunyonga. Sasa tumewashtukia na hatuwapi nchi tena!
Watu wanahangika makisha magumu, wizi kila mahala huduma muhimu hakuna, nini wacheza bao mnahujumu uchumi halafu bila haya hata huoni unasifia hadharani!. Tumewatambua... Tanzanai si ya mafisadi na wapenda hujuma.
Sasa utasubiri sana mtu wa kutuharibia nchi kwa manufaa ya wacheza bao, hutampata tena!!!!! nakuambia.
Wewe unifahamu bana unajifanya unanijua sanaa! Wanaonijua hapa JF miaka mingi wanajua michango yangu JF.Kumbe Ritz mwezi ukiwa mpevu akili ndio zinakuongezeka! yaani siamini kama ni wewe uliyeandika.
Kwahiyo mnataka upigaji uendeleee kweli bongo mufilisi