Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

Naona members wenzetu humu wamekasirika kweli kumuelezea Mzee Mwinyi basi nimeacha maana mpaka wasomaji wanaitwa malimbukeni.
 
Hahaaaaaaahaaaaa..mkuu unanchekesha sana..ingawa ilikuwa hali ngumu kipindi hiko
mkuu huo ndio ulikuwa ukweli wenyewe na mimi binafsi hiyo biashara niliifanya nilikuwa nikipata boksi zangu mbili tatu za dawa mbuu nauza
 
Nimeacha kwenda kulala kwa kusoma hii taarifa

sasa je nini kilichotokea bbada ya hapo?
Je hawa vijana walikuwa na uhusiano wowote na akina McGhee waliotaka kumpindua Juliasi au hizi zilikuwa 2 different incidents?
Mkuu unaamini hizo story za abunuas! Upimwe akil wewe
 
Naona members wenzetu humu wamekasirika kweli kumuelezea Mzee Mwinyi basi nimeacha maana mpaka wasomaji wanaitwa malimbukeni.
Please malizia habari captain Mazula na mwenzake Jotham vs Dr Ouko, vipi kiliendelea nini? Je ndege ilijazwa mafuta? Je baada ya jeshi kubaini hakuna huyo Luteni kiliendelea nini tafadhali sana.
 
Most interesting thing ni kuwa that was back in 80's if im not mistaken
Hao vijana walikuwa in their early and mid 20's
WOTE walikuwa ni vijana wa Kiislam (based on majina)
What does that tell you?
Does this mean kuwa pamoja na kuwa vijana wa miaka hiyo walikuwa hawana twitter or internet lakini waliamka au how did they knew kuwa Nyerere alikuwa anaturudisha nyuma?

Je walikuwa wanatoka Tanga au maeneo mbali mbali ya nchi?

Ni kweli hawa vijana wengi walikua waislam. Na hata jaribio la pili la kuteka ATC ambalo halikufanikiwa kwani Alikuwemo wale jamaa walibeba maembe yalopakwa rangi na kushtukiwa na Gen Kimario aliekuwemo ndani ya ndege..wale walikua vijana wa kiislam walochoka na sera za kutengwa.
Lakini nini chanzo cha haya ? Kwa ufupi baada ya uhuru ikaja policy ya afrikanazation ambayo iliwatoa wasio wafrika kazini..lakini ukweli ikawa ni chrstinazation ya kazi zote. ..then Ikaja nationalization policy walo umizwa tena ni waislam ndio walojenga mijini na nyumba zao zikataifishwa kwa wingi
Then ikaja azimio la arusha..hapa biashara zikahodhiwa na serikali ..tena waathirika ni waislam ikumbukwe waislam ndio walikua wafanya biashara wenye maduka
Sasa wakawa dhalili sana ndaniya nchi yao...kazi hawamo serikalini , nyumba zao zimetaifishwa, biashara zao zimukufa na charity zao zimepigwa mweleka na hatimae biashara nazo zikataifishwa...maisha yalikua magumu hata mabusati ya kusalia misikitini ilikua hakuna huku wenzao wakiajiriwa katika mashirika yale yalo taifishwa..

Kwa ufupi hapa ndipo ilipo anza kutoaminiana mpaka kesho ...
Hivyo legacy ni pamoja na nani alileta usawa na nani alileta ubaguzi nani aludhulumu raia wake...Mzee mwinyi alikua msafi kabisa kabisa na mwepesi kusamehe katika kujenga umoja na maelewano....
kuna wakati mwalimu aliwahi kuhojiwa kama political prisoners atawatoa jibu alotoa ni jee wameacha kuwa wahaini ? mzungu alichoka...Lakini Mzee Mwinyi wakati tunaingia Vyama vingi akasema tujenge upya nchi yetu tusameheane na akawatoa wahaini ambao walitaka kumpindua Nyerere kutokana na njaa ilozagaa nchini hawa ni kina Hans Pope na wenzake.
 
Mzee yuko fit sana...mazoezi ni mazuri maana miaka 91 si mchezo...tunakuombea uishi maisha marefu zaidi Mzee wetu
Huyu mzee ni mfano wa jinsi gani mazoezi yanalipa...namuadmire kwa hilo ....
 
Naona members wenzetu humu wamekasirika kweli kumuelezea Mzee Mwinyi basi nimeacha maana mpaka wasomaji wanaitwa malimbukeni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hawa watu wachache wasitufanye sisi tukose elimu hii Al tafadhal mashkura endelea kutitikula shekh.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mzee yuko fit sana...mazoezi ni mazuri maana miaka 91 si mchezo...tunakuombea uishi maisha marefu zaidi Mzee wetu
Huyu mzee ni mfano wa jinsi gani mazoezi yanalipa...namuadmire kwa hilo ....
Hata Kikwete naamini atafika umri huu ili aone jitihada zake zinavyoliwa na wengine kama Mwinyi kafanya mengi ila anaonekana sifuri.
 
Ali%20Hassan%20Mwinyi.jpg



Rais mtaafu Mzee ALI HASSAN MWINYI ambaye nadhani ki historia ni mmoja ya watu wachache sana duniani ambao waliwahi kuwa rais wa nchi mbili tofauti. Al Hajj Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania pia leo ametimiza miaka 91 toka azaliwe.

Je GREAT THINKERS wa JAMIIFORUMS mnaweza kutupatia dondoo za legacy yake na cha kujiuliza je mnadhani hawa watawala tulionao wangejifunza nini toka kwa Mzee Ali Hassan Mwinyi?
Unatakiwa uwepo miaka hiyo kujua legacy ya Mzee Ruksa. Kubwa ni kuwa aliyutoa katika mfumo hodhi kwenda mfumo huru. Kazi yake kubwa ilikuwa kutubafilisha mawazo kwa amani katika mabadiliko hayo na hili aliliweza bizuti aana. Bahati mbaya kuna watu naona wanshangilia kutaka kuturudisha huko.
 
Ritz, naona na wewe umeamua kuandika historia mpya ya Tanzania baada ya uhuru kama yule kakayo naye alipoamua kuandika historia mpya ya Tanganyika kabla ya uhuru ha ha haa? Yeye anadai pororjo anazoandika alisimuliwa barazani na wazee wake wa Gerezani, je wewe nani alikusimulia hizi porojo unazowapa vijana?

Kama kawaida naona vijana wako nao badala ya barazani wamehamia JF kusikiliza porojo zako wanameza tu bila kuhoji. Nakutakia kila la kheri kwani hata humu limbukeni wapo kibao wamejaa tele.
na wewe unatoa za kwako mkuu, kama kaongea upotofu wewe unasahihisha, kwa hoja na reference sio kejeli wala matusi
 
Kumbe Ritz mwezi ukiwa mpevu akili ndio zinakuongezeka! yaani siamini kama ni wewe uliyeandika.
 
Ritz, huwa nawatazama hawa watoto wa smart phones nawaona hawana ujanja wowote. Acha tu yaani, tunaongelea enzi hizo za watoto wa Oysterbay kufanya sherehe halafu sisi watoto wa upanga mashariki tunakwenda kwa miguu kwenye nyumba ya mtu fulani. Party ikimalizika kulikuwa hakuna mambo ya boda boda au bajaji, watu wakanyaga kwa miguu taratibu kutoka mitaa ya Obay, wanavuka salender Brigde wanakunja kushoto kuitafuta Aga Khan, wakivuka Gymkhana, yanakuwepo makundi mawili, mmoja linaelekea shaaban robert na jingine linakuwa ni la watoto wa mirambo na ohio kwenye maghorofa ya Railways.
Watu walikuwa wanazifuata party za usiku kwa miguu, lakini walikuwepo wezi wa magari ya baba, wanavizia wazee wamelala, wanaenda gereji wanalisukuma gari taratibu mpaka kwenye kona ya mtaa halafu ndio linawashwa. Mwenye gari mara nyingi hana hela ya mafuta, anafanya kuwaambia marafiki zake wachange ili waweze kwenda na kurudi nyumbani bila ya baba kushtukia mchezo asubuhi ya siku inayofuata.
Hivi unajua kila zama na ujanja wake..? Ata waliofanya starehe na ujanja wao miaka ya 1930 wanakuona wewe hujui kitu..!
 
Please malizia habari captain Mazula na mwenzake Jotham vs Dr Ouko, vipi kiliendelea nini? Je ndege ilijazwa mafuta? Je baada ya jeshi kubaini hakuna huyo Luteni kiliendelea nini tafadhali sana.
Kina Musa Memba, na wenzake waliwateka nyara abiria,wakaikagua ndege na kupata bastola halisi tena revolver' iliyokuwa katika chumba cha rubani.

Walipata bastola nyingine yenye risasi baada ya kuwapekua abiria.Tena, walinyakua Shotgun mbili zilizokuwa na risasi ambazo zilikuwa mali ya abiria, zilihifadhiwa kizembe hivyo safari ya London ikakolea bila wasiwasi.

Kwa kifupi, ndege hiyo ilikwenda London,na ilikuja kurejeshwa na abiria wake 74 Machi 4, mwaka huo wa 1982, wakapokelewa kishujaa sana Dar es salaam.
 
Mkubali msikubali siyo wewe tu,bali na mwenzako Fayza Fox na The big show, nyerere ndio atabakia kwa ni kielelezo cha viongozi walio wahi kuwa bora kabisa hapa tanzania

Nyerere atabakia ni kiongozi bora wa Tanzania.
Mwinyi ndo chanzo cha vuguvugu za udini ambao leo hii wale vibaraka wa udini hadi leo wanauendeleza.
- Balkuta ya sheikh Yahya, Malima , Diria n.k
-Elimu iliporomoka baada ya kumweka Kighoma Malima waziri wa elimu akavuruga mitaala iliyo wekwa na Jackson Makweta.
-Yeye na kundi lake wakaua azimio la Arusha pale Zanzibar na kufungulia ufisadi ambao unatutesa leo hii.
Katika uongozi wake yapo mapungufu mengi tu kwani yeye pia ni mwanadamu.
Burgers atabakia kuwa kiongozi,mlezi na baba wa Taifa hili. Leo hii hao wote mnaotaja ni wafanya biashara wakubwa je ? Nyerere ameacha biashara gani ukilinganisha na hawa wa sasa.
 
Kwweli mbweha ni mbweha hata akivaa kanzu. Wewe watu wanalia na ufisadi uliokithiri kumbe wewe kwa ko ndiyo marekebisho?

Ndiyo maana mmerundikana kwenye wakwepa kodi, watorosha makontena bandarini na waingiza malori kibao kwa jina la kusalia. Mmezowea vya kunyonga. Sasa tumewashtukia na hatuwapi nchi tena!

Watu wanahangika makisha magumu, wizi kila mahala huduma muhimu hakuna, nini wacheza bao mnahujumu uchumi halafu bila haya hata huoni unasifia hadharani!. Tumewatambua... Tanzanai si ya mafisadi na wapenda hujuma.

Sasa utasubiri sana mtu wa kutuharibia nchi kwa manufaa ya wacheza bao, hutampata tena!!!!! nakuambia.
Inawezekana ulipatikana baada ya babako kunywa pombe za kienyeji. Vinywaji vya kienyeji vinaendelea kukulevya mpaka leo.

Angalia kwenye list ya mafisadi watu gani waliopelekwa kwa wingi mahakamani?

Mtake msitake, Mungu akitaka mtaachia tu. Vibakwa wakubwa nyie
 
Kwahiyo mnataka upigaji uendeleee kweli bongo mufilisi

Upo tangu Long time.
Kwani kina nani waliuza waliaaribi Nchi hii kabla ya 1985?
Kwani kina nani waliuza Nchi kwa wale jamaa wa VATICAN kabla ya 1985?
Kwani kina nani waliua azimiola Arusha?
Kwani ni kina nani waliuziana viwanda vya Nchi?
Kwani kina nani waliuzia nyumba za serikali?

Was it wakati wa Kikwete au Mwinyi?
Tfajkari ewe mwenye fikra za kinazi za Kidini.
 
Back
Top Bottom