Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udini ulete wewe tu hapa ni elimu bila malipo,Nyerere kaongoza kuanzia miaka ya 60,vita ya Kagera miaka ya 78 miaka takriban 6 mbeleni ndioMwinyi kaingia madarakani sasa aliikuta nchi imeyumba na vita ipi ya Vietnam au wapi?
Sio kila mada ya kuchangia ndio maana wengine tunasoma tu na kutoa like hii ilimu tunawaachia akina Ritz.
Pumzika kwa amaniHueleweki unataka kusema nini. Hebu rudia tena!
Tuliweza kupata video..ambazo kabla lazima uwe na kibali maalum
Tuliweza kununua magari...kitu ambacho kilikuwa ni ndoto kwa wengi
Kwa ujumla bidhaa zilianza kupatikana ...sinta sahau Stella Artois
Kuwa Mhalisia Bandugu, hata kama umpendi. Ni wakati ambao wananchi wa kawaida waliweza kuwa na pesa za matumizi na maendeleo. Hali ikawa mbaya alipokuja Mzee wa Masasi. JK(Kijana wa Msoga) akaja akarekebisha hali, watu wakapata maendeleo. Sijui huyu wa leo atatufikisha wapi. Kila kitu kwake NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.
Pumzika kwa amani
Kutokana na hali ya kisiasa ilivyokuwa ikiendelea tangu kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika, kuna watu walioona kuwa hawaridhishwi na Serikali ya Mwalimu Nyerere, hasa vijana kiasi cha kujasiria hata kuteka ndege ya abiria kwa lengo la kuishinikiza Serikali kufuata matakwa yao. Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania, Boeing 737, ilitekwa mjini Mwanza na vijana watano wa Dar es Salaam.
Baadaye ilikuja kujulikana kuwa majina ya watekaji wale ni Musa Memba (25), Mohamed Ali Abdallah (26) na ndugu yake Abdallah Ali Abdallah (22), Mohamed Tahir Ahmed (21) na Yassin Memba (21). Kiongozi wao alikuwa Musa Memba.
Kama utakuwa na muda takupa dondoo kiduchu.

Kwa ufupi tu Nyerere alitinyanga Mwinyi akaweka sawa,Mkapa akaharibu tena JK akarekebisha sasa sijui awamu hii wasije kumpa tabu tu Membe au January Makamba.
Tumia akili kufikiri ndio utaelewaDah...kuna watu mna mahaba mpaka mnapitiliza kwahiyo mzee wa msoga ameweka sawa kwenye upigaji
Tumia akili kufikiri ndio utaelewa
we una asili ya ubishi, hutaki kutafuta ukweliMkuu wewe mwenyewe umesema hiyo nyumba ipo nyuma ya Sea Cliff nimekuwekea picha tumeona Sea Cliff ipo baharini tena Peninsula.
Sasa hivi unasema ipo karibu na jiko la Sea Cliff na Store daaah!!
Mkuu hivi unajua maana ya Peninsula?
Kuwa Mhalisia Bandugu, hata kama umpendi. Ni wakati ambao wananchi wa kawaida waliweza kuwa na pesa za matumizi na maendeleo. Hali ikawa mbaya alipokuja Mzee wa Masasi. JK(Kijana wa Msoga) akaja akarekebisha hali, watu wakapata maendeleo. Sijui huyu wa leo atatufikisha wapi. Kila kitu kwake NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.
Wapi nimebisha mie nimeuliza tu! Wewe umesema Mzee Mwinyi kajengewa nyumba kubwa ya bilioni 9 ipo nyuma ya Sea Cliff.
Nikauliza ili kupata kujua mbona nyuma ya Sea Cliff kuna bahari.
View attachment 346019
Hiyo barabara ndiyo yakuingilia Sea Cliff mkuu.
View attachment 346020
Mkuu ukiingia Sea Cliff ndiyo pako hivi huko nyuma kuna bahari ni Peninsula.
Labda tufahamishe huyo nyumba ya Mzee Mwinyi ipo kwa sehemu gani mkuu wangu.
Nakala: FaizaFoxy
Hao vijana wa wakati ule wanatoka maneo tofauti nadhani siyo vyema kuangalia majina yao na kuwajadili kama Waislam maana hata wanajeshi waliyota kumpindua Mwalimu Nyerere walikuwa na majina ya Kikristo lakini tuwajadili kama Watanzania siyo dini zao.Most interesting thing ni kuwa that was back in 80's if im not mistaken
Hao vijana walikuwa in their early and mid 20's
WOTE walikuwa ni vijana wa Kiislam (based on majina)
What does that tell you?
Does this mean kuwa pamoja na kuwa vijana wa miaka hiyo walikuwa hawana twitter or internet lakini waliamka au how did they knew kuwa Nyerere alikuwa anaturudisha nyuma?
Je walikuwa wanatoka Tanga au maeneo mbali mbali ya nchi?
mkuu ni sawa sawa kumlinganisha didier drogba na didier kavumbagu. mwl nyerere alikuwa alikuwa wakimataifa na mpaka leo anaheshima kubwa sana ndani na nje ya nchi, mpaka mzee mugabe anaandika kitabu kumuhusu. ukisikiliza hotuba za mwl nyerere utaona jinsi alivyo kuwa na upeo mkubwa. sasa wanasahau mwl aliichukua nchi ilikuwa katika hali gani katika nyanja zote hata wataalam alikuwa nao wachache sana akafanya juhudi za kusomesha.Mkubali msikubali siyo wewe tu,bali na mwenzako Fayza Fox na The big show, nyerere ndio atabakia kwa ni kielelezo cha viongozi walio wahi kuwa bora kabisa hapa tanzania
sikukuu itayo kuwa jumamosi au jumapili basi ilikuwa luksa kuwa na mapumziko jumatatu . ilikuwa ni kipindi cha kubweteka na naona ndio chanzo cha uvivuLuksa maana yake "holela". Kama ndicho hicho unamaanisha tuko wote. Lakini pia kwa nyongeza, wakati wa Mwinyi ndipo:-
1. Vita ya maguruwe ikiongozwa na ustaadhi Rashid sijui nani iliibuka na kuzimwa na ushupavu wa Augustin Mrema.
2. Nicho kipindi shule za Kikristo zilichomwa moto na kupoteza uhai wa watoto wengi wasiokuwa na hatia.
3. Hapo hapo ndipo tuliona urasmishaji wa makundi ya balukta, wenye surualil fupi.
4. Wakati ule ndipo makundi ya mujahidina yalifahamika rasmi.
5. Waraka wa Kigoma Malima ulioasisi ukakasi kwa elimu yetu.
6 Alimpa jina kubwa sana Mheshimiwa Mkapa baada ya yeye kuondoka kwa sababu alichokifaya kilibainisha tofauti ya tawala hizi mbili katika mambo mengi.
Naomba mwenye mazuri mengine tuendee kuchangia.
Bora mimi finyu kuliko wewe boks kichwani umejaza unazi wa fisiem tuUko finyu sana.