Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hayo maswali kawaulize wadini wenzakoIvi unafahamu Nyerere alianza kuungoza mwaka gani? Na vita ilikuwa mwaka gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maswali kawaulize wadini wenzakoIvi unafahamu Nyerere alianza kuungoza mwaka gani? Na vita ilikuwa mwaka gani?
Mimi najua KUIONGOZA,Ivi unafahamu Nyerere alianza kuungoza mwaka gani? Na vita ilikuwa mwaka gani?
Kweli wengi wanaochangia huu uzi ni watoto wa miaka ya 90 nawashauri bora mgekuwa wasomaji mgejifunza mengi.Enzi ya Mwinyi akiwa na Omar Mahita ndio tulishuudia majambazi yakilelewa na Kuibuka majambazi Makubwa akina Alex Massawe e.t.c
Udini ulete wewe tu hapa ni elimu bila malipo,Nyerere kaongoza kuanzia miaka ya 60,vita ya Kagera miaka ya 78 miaka takriban 6 mbeleni ndioMwinyi kaingia madarakani sasa aliikuta nchi imeyumba na vita ipi ya Vietnam au wapi?Hayo maswali kawaulize wadini wenzako
Watu wavivu wakusoma na kufikiri, wanapenda kuamini stori za vijiweni. Pia wengine wanasukumwa na ushabiki usio na tija. Kwa mtu makini ni rahisi kujua kwamba Mzee Mwinyi alichukua nchi ikiwa taabani.Kweli wengi wanaochangia huu uzi ni watoto wa miaka ya 90 nawashauri bora mgekuwa wasomaji mgejifunza mengi.
IGP wakati wakati wa Mwinyi alikuwa Harun Mahundi.
Sasa Mwinyi na Alex Masawe wapi na wapi.
Mkuu wewe umezidi ukilaza kumpita Mmawia Mahita yupi unamzungumzia wewe wa Sudan au Congo[emoji23] [emoji23]Enzi ya Mwinyi akiwa na Omar Mahita ndio tulishuudia majambazi yakilelewa na Kuibuka majambazi Makubwa akina Alex Massawe e.t.c
Hata mkikesha mnajaribu kumchambua nyerere bado hamtaweza kumuharibia yale mazuri aliyo yafanyia watanzania na bado hatujapata kiongozi mwenye uthubutu wa kutenda kama nyerereUdini ulete wewe tu hapa ni elimu bila malipo,Nyerere kaongoza kuanzia miaka ya 60,vita ya Kagera miaka ya 78 miaka takriban 6 mbeleni ndioMwinyi kaingia madarakani sasa aliikuta nchi imeyumba na vita ipi ya Vietnam au wapi?
Sio kila mada ya kuchangia ndio maana wengine tunasoma tu na kutoa like hii ilimu tunawaachia akina Ritz.
kuweka udini kwa kigezo cha matukio machache ni kupotosha uhalisia wa mada yote. Udhaifu wa kila kiongozi unadhihirika pale utawala wake unapofika hatamu. Nyerere alichukuliwa kama mungu mtu lakini hii ilikuwa hivyo maana hakukuwa na mwingine wa kumlinganisha nae na haimaanishi hana mazuri yake ila kuja kwa Mwinyi kukafanya mapungufu ya Nyerere kubainika.Luksa maana yake "holela". Kama ndicho hicho unamaanisha tuko wote. Lakini pia kwa nyongeza, wakati wa Mwinyi ndipo:-
1. Vita ya maguruwe ikiongozwa na ustaadhi Rashid sijui nani iliibuka na kuzimwa na ushupavu wa Augustin Mrema.
2. Nicho kipindi shule za Kikristo zilichomwa moto na kupoteza uhai wa watoto wengi wasiokuwa na hatia.
3. Hapo hapo ndipo tuliona urasmishaji wa makundi ya balukta, wenye surualil fupi.
4. Wakati ule ndipo makundi ya mujahidina yalifahamika rasmi.
5. Waraka wa Kigoma Malima ulioasisi ukakasi kwa elimu yetu.
6 Alimpa jina kubwa sana Mheshimiwa Mkapa baada ya yeye kuondoka kwa sababu alichokifaya kilibainisha tofauti ya tawala hizi mbili katika mambo mengi.
Naomba mwenye mazuri mengine tuendee kuchangia.
Nani anamuharibia sisi au Tundu Lissu maana haya mi nimeyatoa kwa Mwanasheria mkuu wa Chadema.Hata mkikesha mnajaribu kumchambua nyerere bado hamtaweza kumuharibia yale mazuri aliyo yafanyia watanzania na bado hatujapata kiongozi mwenye uthubutu wa kutenda kama nyerere
Wewe ndiye unataka kumlinganisha nyerere na alhaji Ally Hasan mwinyi, hiyo haitatokeaNani anamuharibia sisi au Tundu Lissu maana haya mi nimeyatoa kwa Mwanasheria mkuu wa Chadema.
Ukweli haufichiki mkuu soma post zote za huu uzi ndio utaelewa mkuu. Hivi viatu sio saizi yako we nenda tu jukwaa la Jokes.Wewe ndiye unataka kumlinganisha nyerere na alhaji Ally Hasan mwinyi, hiyo haitatokea
Kutokana na hali ya kisiasa ilivyokuwa ikiendelea tangu kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika, kuna watu walioona kuwa hawaridhishwi na Serikali ya Mwalimu Nyerere, hasa vijana kiasi cha kujasiria hata kuteka ndege ya abiria kwa lengo la kuishinikiza Serikali kufuata matakwa yao. Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania, Boeing 737, ilitekwa mjini Mwanza na vijana watano wa Dar es Salaam.Wengi wao ni watu wa Tanga
Now naelewa why Tanga iliachwa nyuma kimaendeleo
what about YASIN MEMBA?
T.R.A alianzisha mkapa?..muwe munafuatilia mambo,KIkubwa alichofeli ni KUKUSANYA KODI na ndipo ilimbidi Mkapa alipoingia aanzishe TRA.
RUKSA RUKSA ilikuwa RUKSA kwlei kweli watu walikuwa wanahela mbaya na vitu vilipatikana kwelikweli.( Mfano w ahili ni show ya Kanda Bongo Man ndani ya Kilimanjaro Hotel Miaka hiyo ya 90 kiingilio ilikuwa 100,000/= na bado ilijaza)
Nyerere alimpiga dongo sana kuwa anashahuriwa na Mkewe au tuseme wake zake.
rejea usemi wake,mwendawazimu akichukua nguo wakati unaoga,ukatoka kumkimbiza utaonekana wewe ndio mwendawazimu,mtu kakalia kiti robo karne,huduma muhimu hakuna,wewe unawezesha hlo,unaambulia kusutwa na kuzodolewaMzee Mwinyi alikuwa akimsikiliza Nyerere wala habishani naye wala hagombani naye lakini inapokuja kwenye kufanya maamuzi anafanya maamuzi kwa jinsi yeye anavyoona inafaa!
Nazungumzia nyumba inayojengwa masaki nyuma sea cliff bado haijaisha, ile unayosema wewe kajenga mwenyewe kwa pesa yakeGulwa.
Nyumba ya Mzee Mwinyi mbona ya kawaida kabisa wafanyakazi wengi tu wa serikalini wana nyumba nzuri kuzidi hiyo.
Kuwa Mhalisia Bandugu, hata kama umpendi. Ni wakati ambao wananchi wa kawaida waliweza kuwa na pesa za matumizi na maendeleo. Hali ikawa mbaya alipokuja Mzee wa Masasi. JK(Kijana wa Msoga) akaja akarekebisha hali, watu wakapata maendeleo. Sijui huyu wa leo atatufikisha wapi. Kila kitu kwake NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.Alkua anaambiwa na WB na IMF Nate anatimiza so hapakuwa na ujuzi wala ubunifu kupigia mfano!! Ruhusu demokrasia- sawa! ruhusu soko huria-sawa! nk. nk. Kuhusu legacy may be that but for me there was nothing best in particular!
Masaki nyuma sea cliffwappi???
Unakuta watu wamekaa kama wanasukana, eti anamtoa mwenzake chawa kichwani..! Na lilikuwa ni jambo ambalo halishangazi"!Nchi ilikuwa na haki mbaya hili jamani acha!Vijijini watu walikua wanavaa magunia na mifuko ya simenti,,,kunguni na chawa vilikua sehemu ya mwili wa mwanadamu,,,Mwinyi aliistaarabisha nchi hii sema watu wamesahau tu
Na ukizingatia serekali ndo ilikuwa inafanya biashara kuanzia uzalishaji usambazaji hata uuzaji rejareja, kodi alilipa mtumishi wa serekali tu. Nyuma kdg kila raia alitakiwa kulipa kodi ya maendeleo (ya kichwa)Wanaomlaumu Mwinyi kutokusanya Kodi, Ni Tax base gani iliyokuwepo baada ya Mwinyi kuingia Madarakani?, kulikuwa kuna viduka vya Wahindi tu.
Alichokifanya Mwinyi ni kuwawezesha wananchi wawe na kipato, ili wenye kuanzisha biashara waanze, Then unatoa Tax Incentive kwa kutowatoza kodi ili Biashara zikomae, then Ukishapata watu wa kutosha wa kuwatoza kodi Unaanza kuwatoza kodi.
Mkapa alipoingia Madarakani angalau aliwakuta watu wachache ambao ni Taxable, ambao walipata utajiri wao kipindi cha Mwinyi. Mzee Mwinyi hakuwa na Privilege hii, alikuta nchi hohehahe na wananchi hohehahe Angekusanya kodi kutoka kwa nani?