Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mbona umemuacha Dj Jerry kotto aliyemfundisha kazi kalikali ? Au kwa vile aliwahi kupiga Mbowe club ?Ubaguzi hata kwenye burudani ?Ma-DJ wakali kabisa wa enzi hizo walikua pamoja katika show Club Africana. DJ Meb, Neagre Jay, DJ Choggy Sly (RiP) , DJ John Peter Pantalakis, mratibu wao Nassoro Born City (RiP), DJ Kalikali (RiP) na DJ Eddy Sally (RiP) ... Masiku yamepita.