Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

Majalada ya kesi ya uhaini ya Mwaka 1984 yanabaki kama kumbukumbu ya jaribio la mapinduzi walilotaka kulifanya wanajeshi baada ya kuona Nyerere hakushaurika wala hakuwa na namna ya kukosolewa!

Hivi hayo majalada naweza kuyapata wapi ili nione mwenendo wa kesi ulikuaje?
 
Kabla ya Mzee watu wali choka vijana walifanya majaribio mara 2 ya kuteka ndege ya ATC na mara moja walifanikiwa kuipeleka UK...na kudai Serikali iondoke imeshindwa..ilikua moja ya aibu kuu kwa Mwalimu. Kwani habari ile na ya mateka wale ilitangazwa dunia nzima na wote wali sypathisize na watekaji...kwani hali ilikua mbaya TZ..
 
Mwinyi aliiporomosha nchi yeye alikuwa yupo bize kusafir kwenda arabuni kuoa huku nchi ikididimia kiuchumi
Hovyooooooooo sana uyu mzee wa ruksa kama sio mkapa kufunga mkanda Leo hi tungekuwa Sawa na Zimbabwe

Mkapa alitengeneza uchumi baada ya kuharibiwa na Mwinyi baadae mkwere akaja na kuanza kutumbua mpaka Sasa nch imeoza
Mkuu unadai mzee mwinyi kaporomosha uchumi kutoka wapi???
Unajua mzee mwinyi kakuta nchi ina hali gani mwaka 1985???
Usikariri mkuu.
Hata hiyo unayosema yye kwenda arabuni unajua nchi hii mwallim nyerere aliiachaje???
Rejea hotuba ya mzee mwinyi na wazee wa dar dimond jubilee akielezea nchi ameikutaje.hakukuwa na mafuta hata ya kuendesha uchumi kwa week mbili.so kazi yake ya kwanza ni kuzunguka duniani ikiwemo irani kwenda kuomba mafuta.
Hali ilikuwa mbaya sana kila mahali.
Mkuu nakushauri usome historia hasa hali ilivyokuwa wakat mzee mwinyi anapewa nchi na neema ya ruksa ilivowafaa watu.

Wengine wataongezea
 
Kukusanya kodi wapi tufahamishe tupate darsa kidogo.
...Hapa tukubaliane tu, Mzee wetu kwenye suala la kodi, hakujishughulisha kihivyo. Serikali ilifika wakati ikawa imekauka fedha, ila mtaani, imejaa tele.

...Kimsingi nakubaliana na hoja yako ya kufufua uchumi, ila, kodi ilipaswa kukusanywa kwa kiasi fulani.
 
Ritz kwa kusoma michango yako kwenye huu Uzi umri wako uko above 45yrs.Sijawahi kuona ukichangia kiungwana na kistaarabu kwa kiwango huko.Jukwaa la siasa limeharibu sana akili za watu.
Basi uwa unifuatilii vizuri mimi kama utanisoma vizuri uwa simtukani mtu mie ndiyo uwa nashambuliwa kwenye kujibu ndiyo naonekana mkorofi.

Ahsante.
 
kwa ninavyoona na kulinganisha awamu kuanzia Nyerere hadi magufuli naona kunatokea circles
...Hakuna circles!

yaani Kubana(Nyerere)-Huria(Mwinyi)-Kubana(Mkapa)-Huria(Kikwete)-Kubana(Magufuli)
ila historia ya Mwinyi imefichwa kidogo sasa naomba wadau mfunguke vizuri plz
...Hamna mtu aliyezaliwa kabla ya 80s asiyemjua Mzee Mwinyi. Historia yake ipo wazi.

...Nyerere na Mkapa hawakufanana tawala zao. Actually, they pursued different economic policies.

...Its not that simple as kubana na kuachia.
 
Kwa kweli zama za Ujamaa zilikwisha, zama za kutembelewa na wageni wa kisiasa wa kikomunisti, ‘choka mbaya’, “njaa kali,” kutoka Vyama vya Kisoshalisti vya Soviet Union, Albania, Bulgaria n.k. zilikuwa zimepita.
 
Nakushauri kwa nia nzuri kabisa ungekuwa msomaji kwenye huu uzi ungejifunza mengi vita vya Uganda vilipiganwa lini na kwa muda gani?
Wacha kuuponda uongozi wa nyerere, Nyerere alijitahidi sana kwa uwezo wake
 
...Hapa tukubaliane tu, Mzee wetu kwenye suala la kodi, hakujishughulisha kihivyo. Serikali ilifika wakati ikawa imekauka fedha, ila mtaani, imejaa tele.

...Kimsingi nakubaliana na hoja yako ya kufufua uchumi, ila, kodi ilipaswa kukusanywa kwa kiasi fulani.

Ilikua haikusanyi kodi kivipi ? Mbona miradi kibao mipya ilifanywa
Mnona mishahara ikitoka
Kuhusu kodi ilikua ni jambo jipya kwa Tz. Enzi za nyerere hakukua na kodi .kwani hakuna biashara binafsi..shughuli zote kuu zikimilikiwa na serikali ambayo ikichota pamoja na faida.
Kuuza nje ya nchi na kupkea fedha na kuwakopa wakukima kupitia vyama vya ushirika
Mfumo wa kodi huu ngio ulianza kubumiwa upya..namna gani wafanya biashara watozwe kodi....ni jambo jipya na mianya ilikua wazi . Hakukua na technoljia kama sasa hivyo mianya ilikuwapo..ila wapenzi wa ujamaa walikua wana muandama yu. TRA baadae iliboreshwa na mpaka kesho bado ukwepaji unaendela ..
 
Mkuu JF kuna wakongwe wengi watakuja tu.
Mzee mwinyi aliwafanya wazee wetu wasiwe na hofu ya kufanya biashara kwa kuiogopa serikali,kabla ya mzee mwinyi,kipindi cha nyerere ukifanya biashara ukawa na vipesa ulikuwa unaandamwa na serikali,watanzania walijifunza kwenda kutafuta Maisha na maarifa nje ya nchi,kabla ya hapo tulizoea kuona wanaopiga Pamba ya raba mtoni ni wale ambao ndugu zao mabaharia,vyama vya siasa tunavyoviona leo yeye ndiye mpishi,upande wa sheria yeye ndiye baba wa law reforms kupitia Tume ya nyalali,Tume hii ndiyo ilipika mabadiliko yakisheria ambayo mpaka leo yanaendelea na hata mchakato wa katiba mpya una mizizi katika utawala wa mwinyi, ni baba wa uchumi wa kisasa tunaouona leo,ntarudi baadae
 
kipindi mwinyi anachukua nchi asilimia 90 ya mashirika yalikuwa ni ya umma na yalikuwa yanakufa,watu walikuwa wanamzunguka nyerere na kuyamaliza mashirika ya umma kwahiyo ukusanyaji kodi usingekuwa mkubwa kama wa awamu zilizofuata,
...Hakuna watu waliomzunguka Nyerere na "kuyamaliza mashirika ya umma". Mengi ya mashirika haya yaliendeshwa kwa ruzuku, this was draining the coffers. Jumlisha madeni kadhaa kwa kadhaa.

...Yalikufa kutokana na mismanagement na wrong policies. Hili huwa ni somo, katika kozi fulani, vyuo fulani. Naomba niishie hapo.

...Nakubaliana nawe kwenye issue ya kodi.

watu mitaani walikuwa na pesa kwani hicho kipindi ndo biashara huria zimeanza na private sector ndo imeanza kukua,na katika kipindi cha mwinyi sijawahi kusikia kuadimika kwa bidhaa iwe sukari ama sabuni.
...I can vividly remember!

Kama alivyosema mdau,kipindi hiki bidhaa zilianza kutafuta wateja badala ya wateja kutafuta watu,kwa logic hiyo lazima watu wangekuwa na pesa mifukoni,sioni tatizo la wananchi kuwa na fedha mifukoni,kama suala la kukusanya kodi waliofuata walianza kuweka system ya kukusanya kodi baada ya mwinyi kuweka msingi wa watu kufanya biashara na kupata pesa za kulipa hiyo kodi
...And this is exactly the point. Kodi ingetakiwa kuanza kukusanywa vizuri.

...I know the challenge was huge, kutoka mfumo mmoja kwenda mwengine.

...Tuko pamoja!
 
...Hakuna watu waliomzunguka Nyerere na "kuyamaliza mashirika ya umma". Mengi ya mashirika haya yaliendeshwa kwa ruzuku, this was draining the coffers. Jumlisha madeni kadhaa kwa kadhaa.

...Yalikufa kutokana na mismanagement na wrong policies. Hili huwa ni somo, katika kozi fulani, vyuo fulani. Naomba niishie hapo.

...Nakubaliana nawe kwenye issue ya kodi.

...I can vividly remember!

...And this is exactly the point. Kodi ingetakiwa kuanza kukusanywa vizuri.

...I know the challenge was huge, kutoka mfumo mmoja kwenda mwengine.

...Tuko pamoja!
RTC halikuwa tena shirika la kusaidia wananchi bali lilikuwa ni shirika la kuwatesa wananchi kwani bidhaa zilifichwa kwa makusudi na zikatolewa kwa mlango wa nyuma kwenda mikononi mwa walanguzi.
 
Wacha kuuponda uongozi wa nyerere kisa tu ni mkristu,nyerere alijitahidi sana kwa uwezo wake
Akina Kolimba na Malecela walifanya chini juu kuhakikisha kuwa Mwinyi anatekeleza fikra mpya, na kuachana na zile zilizoshindwa za Nyerere. Madai ya Mwalimu kwamba wanasiasa hao walikuwa wakimshauri vibaya Rais Mwinyi yalitokana na upinzani wao dhidi ya fikra zake.
 
Mkubali msikubali siyo wewe tu,bali na mwenzako Fayza Fox na The big show, nyerere ndio atabakia kwa ni kielelezo cha viongozi walio wahi kuwa bora kabisa hapa tanzania
 
Ilikua haikusanyi kodi kivipi? Mbona miradi kibao mipya ilifanywa. Mbona mishahara ilitoka.
...Umeshajibu mwenye hapa chini.

Kuhusu kodi ilikua ni jambo jipya kwa Tz. Enzi za nyerere hakukua na kodi .kwani hakuna biashara binafsi..shughuli zote kuu zikimilikiwa na serikali ambayo ikichota pamoja na faida.
Kuuza nje ya nchi na kupkea fedha na kuwakopa wakukima kupitia vyama vya ushirika
Mfumo wa kodi huu ngio ulianza kubumiwa upya..namna gani wafanya biashara watozwe kodi....ni jambo jipya na mianya ilikua wazi . Hakukua na technoljia kama sasa hivyo mianya ilikuwapo..ila wapenzi wa ujamaa walikua wana muandama yu. TRA baadae iliboreshwa na mpaka kesho bado ukwepaji unaendela ..
...Kodi haikuwa jambo jipya. Ndio maana kulikuwa na Customs na nyengine ikiitwa Internal Revenue. Nisahihishwe. Hivyo kodi ilikuwapo, ndio maana hizo ofisi, nadhani sikuhitajika kusema hili.

...Biashara binafsi zilikuwapo.

...TRA haikuboreshwa, ilianzishwa.

...Issue ni ukusanyaji kodi, si ukwepaji. Unaweza kusanya kodi, na bado kukawa na ukwepaji. Actually, tatizo linaloumiza kichwa wakusanya kodi ni kuepuka kodi na si ukwepaji kodi. Mtu akikwepa, ukimkamata analipa. Akiepuka, halipi na humfanyi chochote, as far as hiyo kodi inahusika.
 
Back
Top Bottom