[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123]mkuu,mbona utawala huu una viashiria vyote vya uko mliko kuwa!hivi tukianza kupanga foleni,wala chipsi na chili sosi wataweza kupimana ubavu na wala miogo,sembe,magimbi na ugari wa muhogo?ee Mungu epushia mbali!
Angekusanya kodi kutoka kwa kina nani hao wafanyabiashara walikuwa wapi wakuwabana walipe kodi kipindi hicho....Hapa tukubaliane tu, Mzee wetu kwenye suala la kodi, hakujishughulisha kihivyo. Serikali ilifika wakati ikawa imekauka fedha, ila mtaani, imejaa tele.
...Kimsingi nakubaliana na hoja yako ya kufufua uchumi, ila, kodi ilipaswa kukusanywa kwa kiasi fulani.
hata hueleweki.Mzee wa gemu ana legacy zenye positive na negative faces
Haukuwepo wakati wa utawala wa Nyerere wala wa Mwinyi ndiyo maana unasema hayo yote kirahisi.viongozi wa hii nchi wapowapo tu. mambo tunayowasifia yametokea kingekewa na siyo by design. kuingia kwenye demokrasia na kubadili sera za uchumi ni kutokana na mashinikizo ya WB na IMF. hao ndiyo ditch designers, wakina Mwinyi ni ditch diggers tu, wafuata upepo. hatuna viongozi wenye maono. kidogo Nyerere alikuwa nayo.
Huwezi elewa wewe ni kiwango duni kifikra.hata hueleweki.
Kama hujui legacy ya si unaacha tuYaani unajiuliza kuhusu legacy ya mzee wa Ruksa? Unajua kwa nini alipachikwa jina hilo ama ulikuwa hujazaliwa?
usijali. M/Mungu atamlipa.Yaani nashangaa mazuri yote hayo mnayosema kuhusu uyo mzee
Maana sijaona serekari hata mashuleni kufundisha historia ya uyo MTU
Yaani alivyosahauliwa utafikiri aliipeleka nchi kuzimu
Rukhsa ya Rais Mwinyi ikawa na manufaa makubwa kuliko shari ya kufunga mipaka aliyokuwa nayo mtangulizi wake.Kama Nyerere of all the People alikubali Mtanzania avae nguo za Mtumba ( nguo aliyokwisha vaa mzungu) basi ujue utawala wake ulikuwa umeelemewa!. Mzee Ruksa alikuwa hana jinsi isipokuwa kuufungua uchumi!
historia si ndo hii tunayoandika hapa?.Yaani nashangaa mazuri yote hayo mnayosema kuhusu uyo mzee
Maana sijaona serekari hata mashuleni kufundisha historia ya uyo MTU
Yaani alivyosahauliwa utafikiri aliipeleka nchi kuzimu
historia si ndo hii tunayoandika hapa?.Yaani nashangaa mazuri yote hayo mnayosema kuhusu uyo mzee
Maana sijaona serekari hata mashuleni kufundisha historia ya uyo MTU
Yaani alivyosahauliwa utafikiri aliipeleka nchi kuzimu
Bora ungekuwa msomaji tu kwenye huu uzi ungepata faida.kuhusu legacy sijui kitu kwani zamani tulikuwa tunapigia kivuri, yeye wa enzi za kupiga kura za kivuli vuli.
Viwanda vya nguo vilikuwepo banaWanaomlaumu Mwinyi kutokusanya Kodi, Ni Tax base gani iliyokuwepo baada ya Mwinyi kuingia Madarakani?, kulikuwa kuna viduka vya Wahindi tu.
Alichokifanya Mwinyi ni kuwawezesha wananchi wawe na kipato, ili wenye kuanzisha biashara waanze, Then unatoa Tax Incentive kwa kutowatoza kodi ili Biashara zikomae, then Ukishapata watu wa kutosha wa kuwatoza kodi Unaanza kuwatoza kodi.
Mkapa alipoingia Madarakani angalau aliwakuta watu wachache ambao ni Taxable, ambao walipata utajiri wao kipindi cha Mwinyi. Mzee Mwinyi hakuwa na Privilege hii, alikuta nchi hohehahe na wananchi hohehahe Angekusanya kodi kutoka kwa nani?
Viwanda vyote havikudumu kwa sababu ya kukosa tija.Viwanda vya nguo vilikuwepo bana