Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.

Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.

Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.

Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Jpm was the most ignorant and pin brained president ever, to have ruled this beutifull blessed country

Fikiria umekuja ugonjwa wa Covid anatuma Boeing kufuata dawa madagascar, anamwacha Waziri wa Afya anamtuma prof wa Sheria, Wabongo wote tunasubiria hiyo dawa halafu kimyaaaa ?????

Waziri anatishiwa bastola hadharani, kimyaa.

Viongozi wengine wanasema Mungu anatakiwa amshukuru Magufulu blah blah blah kimyaaaa, mbona mwinyi walipoanza kumwita Mtukufu Rais alipiga marufuku haraka sana na Mungu amempa maisha marefu.
 
Angekuwa wa hovyo angekujengea Madaraja,sgr, Mwendokasi,Hospitali, Shule,Bwawa la umeme la Nyerere,Ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, Ununuzi wa meli,ujenzi wa bandari,nk???.
Bwana Mdogo shule yako inaonekana ndogo sana, utafiti wa Bwawa kama lile la umeme sasa hivi ndio ungekuwa unakamilika na hata kuanza kujenga bado sana.

Utafiti wote wa Mradi ule ulifanywa enzi za Nyerere, na Nyerere alikosa hela kutokana na figisu kutokana na yeye pia kuwa kandia sana na mabeberu hulu akiwa mwombaji mkubwa a misaada ( ndio mwanzilishi wa majina hayo, mengine ni kupe, wanyonyaji, kabaila, bepari, beberu) wakamwambia mradi huo ni too big for TZ wakati Mozambique walijenga Caborra Bassa.

Hivyo makabrasha yote yalikuwepo na takwimu zake. Kampuni zilizofanya utafiti ni kampuni za Norway pia. ( Norplan/ Noremco ? )

Huo mfuko wa hela tulizokuwa tunatumia kujenga wenyewe mbona haukuonekana baada ya yeye kuondolewa na Muumba wake.

Hivyo alichofanya JPM ni kuchomoa mafail kwenye cabinet na kuwapa Waarabu. Ila yeye kaji mwambafai kwamba yeye ndio kila kitu, Usidhani wameliita Nyerere bure bure tu,poleni sana.

Alikuwa Rais wa Bling Bling anapigwa picha amefumba macho eti anasali huku mtu kapigwa risasi marufuku kumwombea.

Na kama alijua anapendwa sana mbona alizima mitandao wiki utadhani tupo Congo au Somalia.
 
Bwana Mdogo shule yako inaonekana ndogo sana, utafiti wa Bwawa kama lile la umeme sasa hivi ndio ungekuwa unakamilika na hata kuanza kujenga bado sana.

Utafiti wote wa Mradi ule ulifanywa enzi za Nyerere, na Nyerere alikosa hela kutokana na figisu kutokana na yeye pia kuwa kandia sana na mabeberu hulu akiwa mwombaji mkubwa a misaada ( ndio mwanzilishi wa majina hayo, mengine ni kupe, wanyonyaji, kabaila, bepari, beberu) wakamwambia mradi huo ni too big for TZ wakati Mozambique walijenga Caborra Bassa.

Hivyo makabrasha yote yalikuwepo na takwimu zake. Kampuni zilizofanya utafiti ni kampuni za Norway pia. ( Norplan/ Noremco ? )

Hivyo alichofanya JPM ni kuchomoa mafail kwenye cabinet na kuwapa Waarabu. Ila yeye kaji mwambafai kwamba yeye ndio kila kitu, Usidhani wameliita Nyerere bure bure tu,poleni sana.

Alikuwa Rais wa Bling Bling anapigwa picha amefumba macho eti anasali huku mtu kapigwa risasi marufuku kumwombea.

Na kama alijua anapendwa sana mbona alizima mitandao wiki utadhani tupo Congo au Somalia.
Mzee mwenye Elimu kubwa wewe,Nijuavyo Mimi kila binadamu ana mazuri yake na mapungufu pia,basi ni busara kumsifu kwa mazuri na kumkosoa kwa mapungufu, Hivyo mapungufu yake yasitufanye tukasahau mazuri aliyoyafanya.Hata wewe una mazuri yako na mabaya yako,je,watu tukupuuze na kukuhukumu kwa mabaya tu bila kuangalia na mema yako?.
 
Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM

Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%

JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Hawezi kusahaulika siyo kwa uzuri tu bali na kwa ubaya wake.😠
 
Hii kauli 'muulize dereva wake' imekuwa kichaka cha mashetani kujificha. Je, dereva angefariki? Au dereva ndie aliondoa zile CCTV camera? Au ndie aliondoa walinzi wa yale makazi ya viongozi? Tunajua Lissu alikuwa anaishi jirana na waziri kalemani na naibu spika tuli akson.l, eneo ambalo lina ulinzi 24/7.

Hii kauli ya je dereva angefariki ndio kichaka cha majuha.
Hajafariki sasa, kwanini tusiseme anajuakilichotokea na anafaakuhojiwa maana ndio shuhuda namba moja.
 
Legacy ya Magufuri haiwezi kufutika kabisa! Licha ya ukatili aliofanya lakini yapo mengi yanayolinda Legacy yake mf.alivyotujengea imani wananchi kuupuuza ugonjwa wa Covid 19,ujenzi wa miundombinu,manunuzi ya ndege,kutisha wala rushwa na mafisadi,nidhamu kazini,nk
Bado JPM hawezi kusahaulika mioyoni mwa Watanzania whether kwa mabaya au mazuri.
 
Napata mashaka sio ajabu muda si mrefu Tanzania itatajwa kama nchi iliyotoa KIONGOZI aliyestajabisha dunia kwa vituko na ukatili, nilikuwa nasoma mahala fulani nikashangazwa sana, kumbe Jpm alichukuliwa kama kituko kwenye janga la cv19, na aina yake ya utawala.
 
Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.

Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.

Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.

Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Uliandika mapema mnbop. Wewe huruma yako ni ipi? Kuwahurumia mafisadi au? Sasa nadhani ni wakati wa kulinganisha na unajionea!
 
Back
Top Bottom