pakua hapa;Kaka dragon naomba notes ama document zozote za legal method asa development of the law of negligence
Ni haki ya kila employee kuterminate contract yake ya ajira. Una haki ya kutoa 30 daya notisi ya kuresign na kudeclare salary yako ya mwezi mmoja kwa mwajiri, utakuwa huruMsaada: Wakuu Mkataba wangu unaonyesha namna Employer anavyoweza kuvunja mkataba kwa kumpa employee notice lakini hauonyeshi namna employee atavunja. Jenitumie njia ipi sahihi ku resign?
Asante mkuu, Lakini wengine wanasema ukitoa notice ya siku 30 unalipwa mshara wako kama kawaida, kipi ni sahihi?pakua hapa;
Ni haki ya kila employee kuterminate contract yake ya ajira. Una haki ya kutoa 30 daya notisi ya kuresign na kudeclare salary yako ya mwezi mmoja kwa mwajiri, utakuwa huru
Pakua hapa ndugu msomi:Wakuu habari naombeni msaada wa documents,vitabu ama notes zozote za legal method, kwny topic ya statutory construction, case law technique, development of the law of negligence, logic and legal reasoning na topic zngnezo, asa nilizotaja.
Mkuu Ontuzu hii kitu wala isikupe headache. Kawaida respondent asipofaili counter affidavit hawezi zungumzia chochote kihusucho contents za affidavit ya applicant, isipokuwaa katika kuipinga kwa sababy ya kuwa na makosa. kisheria.Wakuu habari. Ninaomba msaada mwenye authority ambayo inaelezea kwamba the Respondent can submit on the Applicant's affidavit on points of law despite his failure to file a counter affidavit. Shukrani
So hiyo submission inakuwa done orally?Mkuu Ontuzu hii kitu wala isikupe headache. Kawaida respondent asipofaili counter affidavit hawezi zungumzia chochote kihusucho contents za affidavit ya applicant, isipokuwaa katika kuipinga kwa sababy ya kuwa na makosa. kisheria.
An affidavit contains facts. The only way to contradict the contents of and affidavit is to file a counter affidavit.
However, if there is an irregularity which contravenes the rules of pleadings, an affidavit may be challenged not in the basis of its contents but on its nature as an affidavit. This is done by raising an objection on point of law against the affidavit.
Katika pekua pekua yangu ya haraka nimepata hii, nyingine nitakupatia nikipitia makabrasha yangu: