Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Kama unataka Instruments za Public International Law, au International Humanitarian Law niPm. The man himself Dr. Chacha Bhoke Murungu ametu~equip sana vijana wake.
Hahahaha basi na mimi along side Chris P. Maina alini equip sema sikua serious tuu hahahahaha
 
Nisaidie legal dictionary pamoja softcopy iliyona materials za criminal LAW .
Mkuu Legal Dictionary zipo nyingi, anza na hizi kwanza. Ukitaka Blacks Law Dictionary ipo pia
 

Attachments

Naomba msaada wa Kesi zozote za PIRACY OF ARTIST'S WORK, Za Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaa...Au kesi zozote za COPYRIGHT..Haya ni maeneo ya intellectual Property.

Ninazo nyingi mkuu, nipatie email yako nikutumie!
 
Mkuu naomba case law mbalimbali zinazohusu issue ya Res JUDICATA. Za tANZANIA HATA ZA NCHI ZINGINE.
 
Back
Top Bottom