Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu talentboy TLR za mwaka 2000 hadi 2006 ni hizi, kazi kwako kupakua
Mkuu talentboy TLR za mwaka 2000 hadi 2006 ni hizi, kazi kwako kupakua
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria (kwa wanasheria tu) ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa, lakini masuali ya darasani (academic questioins) yawekwe kwenye jukwaa la sheria generally.
Wanasheria karibuni sana
Wakuu mbona document zote nilizochukua huku hazifunguki
Mkuu tusaidie documents hazifunguki au kuna na na ya kuzifungua na hats ku download?
Soft copy za chipeta j.NA material za law of evidence soft copy