Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Attachments

Attachments

Attachments

Attachments

Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria (kwa wanasheria tu) ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa, lakini masuali ya darasani (academic questioins) yawekwe kwenye jukwaa la sheria generally.

Wanasheria karibuni sana
 

Attachments

jamani, mm nina shida na hii document inaitwa Appeals in Proceeding Originating from Primary Courts) Rules GN no 312, 1964! yyt mwenye nayo learned brothers and sisters!
 
Natafuta hizi au (kwa majina mengine yeyote)

Sales of goods act
Supply of goods and service act
 

Attachments

Pakua hizi
mkuu Dragoon naomba unisaidie material ambayo yataniwezesha mm as beginer kuanza kujifunza sheria kabla hata ya kusoma hayo mambo makubwa yenu wanasheria plz ili niweze pata basics za sheria jambo ambalo wengi wa watanzania hatulifaham Email yangu mkuu ni farajic235@yahoo.com...pia itanisaidia kwani nakusudia kuanza certificate ya sheria.
 
Back
Top Bottom