Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Natafuta:
a)LOCAL GOVERNMENT LAWS R.E 2000
(PRINCIPAL LEGISLATION)
b)JOB DESCRIPTION YA VILLAGE EXECUTIVE OFFICER(V.E.O),WARD EXECUTIVE OFFICER(W.E.O) NA WARD EDUCATIONAR CORDINATOR(W.EC)
 
Heshima kwenu Wakuu! Naomba kama kuna aliyewahi kufanya Attachment of Salary or Garnishee application anisaidie! Nahitaji mwongozo kwenye hili
 
Attachments

I have in need without reservation appreciated the efforts made in the forum. Hopeful hii itaondoa kujadili masuala ya kisheria kwa hisia badala ya facts na sheria yenyewe.
 
Msaada kwenu wadau wa sheria mwenye TANZANIA LAW REPORTS NAOMBA SOFT COPY WADAU nyingi iwezekanavyo asanteni bila kukusahau mkuu dragon kwa mchango wako mkubwa
 
Msaada kwenu wadau wa sheria mwenye TANZANIA LAW REPORTS NAOMBA SOFT COPY WADAU nyingi iwezekanavyo asanteni bila kukusahau mkuu dragon kwa mchango wako mkubwa
Unataka za mwaka gani mkuu?
 
Mkuu Dragoon, ebu naomba nikuulize kitu, hivi kwa upande wa sheria za Tanzania kuna kifungu chochote ambacho kinamlinda mpangaji/ au mpangishaji wa nyumba/ vyumba? Kama kipo, naomba nipe muongozo au ikiwezekana naomba maelezo na tafsiri yake!
 
Mkuu Sheria zinazomlinda mpangaji na mpangishaji zipo. ziko katika sheria ya Ardhi Namba 4 ya mwaka 1999. mambo yote yapo sehemu ya tisa ya sheria hii [kama ilivyorekebishwa mwaka 2002], vifungu 77 hadi 110.
 
Hongera sana kwa kazi nzuri ya kushea maarifa yako, binafsi sikasoma sheria ila hivi vitu ni muhimu hata kwetu.
chukua hizi kesi zitakusaidia kujua zaidi kuhusu haki za mpangaji na mpangishaji
 
Attachments

Back
Top Bottom