Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria (kwa wanasheria tu) ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa, lakini masuali ya darasani (academic questioins) yawekwe kwenye jukwaa la sheria generally.

Wanasheria karibuni sana
Kaka naomba notes za criminal law and procedure, legal method kupitia stephen_katiya@yahoo.com
 
Kaka naomba notes za criminal law and procedure, legal method kupitia stephen_katiya@yahoo.com
Ndugu ingekuwa vizuri kama ungekuwa specific zaidi, yaani katika topic zipi. Pia ni vizuri ukajizoesha kusoma vitabu, maana mwanasheria hujengeka maktaba. hata hivyo nimekuwekea notisi hizi:
 
Attachments

Mkuu japo hujatoa maelezo ya kutosha lakini kifupi ni kwamba utaratibu uliopo ni kwa warithi halali wa marehemu kumshitaki huyo msimamizi

Mkuu Dragoon tafadhari nisaidie sheria mmbalimbali na Tanzania Law Report ulizonazo kwenye email yangu colexbahati@yahoo.com. Maana zingine nimejaribu kudownload zinagoma kufunguka.
Mungu akaubariki kwa kazi njema
 
Ndugu ingekuwa vizuri kama ungekuwa specific zaidi, yaani katika topic zipi. Pia ni vizuri ukajizoesha kusoma vitabu, maana mwanasheria hujengeka maktaba. hata hivyo nimekuwekea notisi hizi:
Mkuu nisaidie notes za negotiable instruments law kama unazo!
 
Attachments

Attachments

Msaada kwa mwenye document inayozungumzia de shortfalls of Tanzania taxation system
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria (kwa wanasheria tu) ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Mh kwanza nikushukuru kwa moyo wa juanzisha kitu hiki. Mimi niomba msaa wa case ya Patman Gamets iindustries Ltd v. Tanzania Manufctures Ltd (1981) 34. Mm ni mwanachuo. Please
 
Kesi hiyo ya Patman Gamets Industries ltd v. Tanzania Manufactures Ltd(1981) 34 ninashida nayo sana , km nitapata facts na held yake. Ni kesi inayohusu Revocation of GRO/ CRO Whether the president can revoke the RO at his WILL. Please ni muhimu sana. Ukigoogle Maringo kashikiria
 
Ipo kwenye [1981] LRT 303, nafanya utaratibu nikukopie
 
Back
Top Bottom