Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Mkuu ungetoa na sheria au specific provisions of law vinavyoweza kutumika ku-skip Ward Tribunal, but what I'm aware of, ukiwa represented thuwezi kufungua shauri Ward Tribunal regardless of pecuniary jurisdiction.

Sasa nipo interested kujua kama serikali ya kijiji inauwezo wa kunishtaki Ward Tribunal kwamba nimevamia ardhi ya shule coz nnaona composition ya WT haiwezi kutenda haki pale mshtaki anapokuwa ni kijiji
 
Mkuu, umenipa wazo zuri sana, ambalo ni faida kwa legal profession hapa tz. Sasa nalifanyia kazi, soon nilaweka Article humu kuhusu yote yahusuyo Money Laundering. Hongera sana mkuu kwa kutupatia mwanga huu
Naomba nikukumbushe ombi la money laundering case hasa hapa tanzania. Uliahidi kutoa somo naona majukumu mengi
 
.

Mkuu Jaffary ni kweli ukiwa represented na advocate huwezi kufungua shauri Ward Tribunal. kifungu cha 18 cha the land disputes courts Act, cap 216 kinatoa zuio hili.
Pili, Serikali ya kijiji inao uwezo wa kukushtaki ward Tribunal kama pecuniary jurisdiction na subject matter of the suit inaruhusu. Composition ya ward Tribunal itatenda haki kutokana na mamlaka iliyopewa chini ya kifungu cha 8, 9, n 10 cha sheria ya the Ward Tribunals Act, cap 206 na vifungu namba 13, 15 na 16 vya sheria ya The land Disputes Courts Act.

Ward Tribuna itatenda haki iwapo itafuata utaratibu. na kanuni zake. Composition ya Ward Tribunal iko kisheria, so kama kanuni zitazingatiwa haki itatendeka na rufaa iko wazi. Lakini pia ukiwa na sababu za msingi za kutokuwa na imani na baraza la kata unaweza kuomba shauri lako lihamishiwe baraza la Ardhi la wilaya.
 
Naomba nikukumbushe ombi la money laundering case hasa hapa tanzania. Uliahidi kutoa somo naona majukumu mengi
iko jikoni mkuu inafanyiwa kazi, hatua iliyofikia ni nzuri
 
Pata NOTES za masomo ya BLOG kwa lugha ya Kiswahili kwa bei ya OFFER!!!
Masomo yapo saba (pdf), kila moja Tsh 2500, au bei ya jumla Tsh 10,000.
Wahi sasa upate ujuzi wa kutengeneza pesa kupitia BLOG!
Piga | WhatsApp kwa 0713469213
 
.
Ahsante kiongozi. Karibu sana sana.

Asante mkuu Dragoon but sorry naomba kuuliza what about group la wasaup tayari mmelianzisha? mnaonaje tukiwa nalo moja mahususi kabisa kwa mambo kama haya kwa wale wanaopendezwa na hii tasnia ya sharia?

Then pia mkuu kama utakuwa na notes au vitabu vya Constitutional and legal systems in east Africa naomba tafadhali.
 
Mkuu Blue G group la whatssap lilishawekewa wazo humu jukwaani mna mdau mmoja. watu tulisubmit namba zetu lakini bisafsi sijaona kama kuna maendeleo yeyote. Wadau inabidi tuanzishe group lililo hai.
Kwa notic za constitutional law, anza na kupakua baadi ya stuff zipo hapo juu post namba 396
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…