nanguchima
Member
- Jan 24, 2017
- 12
- 6
Naomba nitumie kwa e-mail: mzuially@gmail.com tafadharVingine hivi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nitumie kwa e-mail: mzuially@gmail.com tafadharVingine hivi hapa
Ok. Nitafanya hivyoNaomba nitumie kwa e-mail: mzuially@gmail.com tafadhar
Mkuu ungetoa na sheria au specific provisions of law vinavyoweza kutumika ku-skip Ward Tribunal, but what I'm aware of, ukiwa represented thuwezi kufungua shauri Ward Tribunal regardless of pecuniary jurisdiction.Mkuu hiyo procedure ipo. Shauri linaweza kupelekwa DLHT moja kwa moja pasi kupitia ward tribuna hata kama thamani ya subject matter ni chini ya million tatu. Mfano ni katika kesi zinazomhusu mwanasheria mkuu wa serikali (kesi dhidi ya serikali). Hapa kesi inaweza funguliwa DLHT iwapo eneo hilo halina registry ya High Court. Pia kama shauri linahusu serikali za mitaa (local goverment) kama vile manispaa kesi inaweza hamishiwa DLHT badala ya ward tribunal, dhumuni likiwa ni kufuata procedure za kese za madai zilizo wekwa kisheria.
Naomba nikukumbushe ombi la money laundering case hasa hapa tanzania. Uliahidi kutoa somo naona majukumu mengiMkuu, umenipa wazo zuri sana, ambalo ni faida kwa legal profession hapa tz. Sasa nalifanyia kazi, soon nilaweka Article humu kuhusu yote yahusuyo Money Laundering. Hongera sana mkuu kwa kutupatia mwanga huu
Mkuu nanguchima cheki email yako nimeweka mahitaji yakoNaomba nitumie kwa e-mail: mzuially@gmail.com tafadhar
.Mkuu ungetoa na sheria au specific provisions of law vinavyoweza kutumika ku-skip Ward Tribunal, but what I'm aware of, ukiwa represented thuwezi kufungua shauri Ward Tribunal regardless of pecuniary jurisdiction.
Sasa nipo interested kujua kama serikali ya kijiji inauwezo wa kunishtaki Ward Tribunal kwamba nimevamia ardhi ya shule coz nnaona composition ya WT haiwezi kutenda haki pale mshtaki anapokuwa ni kijiji
Inshallah!iko jikoni mkuu inafanyiwa kazi, hatua iliyofikia ni nzuri
CM yko Wenda imeshaingiliw na malwareKila napojaribu kuzi-download nikienda kuzifungua hazifunguki yaan zinaonesha Zero(0) KB
Pata NOTES za masomo ya BLOG kwa lugha ya Kiswahili kwa bei ya OFFER!!!Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
.
Ahsante kiongozi. Karibu sana sana.
Mkuu Blue G group la whatssap lilishawekewa wazo humu jukwaani mna mdau mmoja. watu tulisubmit namba zetu lakini bisafsi sijaona kama kuna maendeleo yeyote. Wadau inabidi tuanzishe group lililo hai.Asante mkuu Dragoon but sorry naomba kuuliza what about group la wasaup tayari mmelianzisha? mnaonaje tukiwa nalo moja mahususi kabisa kwa mambo kama haya kwa wale wanaopendezwa na hii tasnia ya sharia?
Then pia mkuu kama utakuwa na notes au vitabu vya Constitutional and legal systems in east Africa naomba tafadhali.
Tuanzishee tuu, itakuwa pw sanaMkuu soskeneth nauliza ikiwa tayari kama lishaundwa kama bado ndo tufanye mpango