Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Habari Wasomi, nina jambo hapa,

Hivi ikitoea third party hajawa mentioned kwenye title ya judgement and decree ni njia ipi nzuri yaku challenge hiyo mistake?
Je nikwa kuomba amendment under S 96 of CPC au niweke kama moja ya grounds za appeal?
Na kama wazo ni kuweka iwe kama moja ya ground za appeal, je itakuwa sahihi kumtaja kama part kwenye heading ya memorandum of appeal?
Natanguliza shukurani kwa mawazo yatakayo tolewa
 
.
Mkuu njiazote , kama third party hau hata mmoja kati ya parties kwenye kesi hajatajwa jina lake kwenye judgment na decree basi hiyo ni defect ambayo inaweza kuwa cured. Hii inaweza kuwa imesababishwe na clerical errors na zinarekebishika kama taratibu zitafuatwa.
Decree lazima ibebe majina ya parties wote kwenye kesi, na kama kuna interested parties lazima wawekwe. Third party nae ni interested party kufuatana na strict construction ya neno decree. Hii ni kwa sababau decree inabeba kila kilichomo kwenye hukumu ingawa ni kwa ufupi.
Njia nzuri ya ku challenge hii defect ni kuomba marekebisho ya clerical errors kwenye hukumu au decree au vyote, kutegemeana na makosa menyewe yalivyokaa. Hii inafanywa kwa formal application by any of the parties au suo mottu by the court kama itaona inafaa. Kosa kubwa linaloweza kufanyika hapa ni kuomba ammendment. Kiutaratibu (procedure) huwezi kuamend judgment au decree, maana judment inakuwa imekamilika pale inaposomwa/ tamkwa mahakamani, na decree nayo inakuwa imetoka palepale hata kama haijawa drafted.
Pia huwezi kukata rufaa na ukaweka majina kwenye memorandum au petition of appeal ambayo hayapo kwenye decree. Kwa hiyo vilevile huwezi kutumia hii defect kama ground of appeal.
Nitakuwekea baadhi ya authority za kukusaidia zaidi baadae kidogo.

karibu sana.
 
Asante sana mkuu dragon, nitashukuru pia utakapo nipa na hzo authorities.

Uko sahihi kuwa judgment and decree haziwezi kuwa amended ila tuu zinaweza kufanyiwa marekebisho kadhaa kwakupeleka maombi mahakamani au mahakama inaweza ji move suo moto.
Ila kutumia neno “amend” unaopoomba marekebisho ya hukumu na decree (under S 96 of CPC) sioni kuwa ni tatzo, maana neno hilo limetumiwa na muandishi S.C Sarkar in Civil Procedure (pg 499) na Mulla walipokuwa wanajadili S 152 ya Civil Procure ya India ambayo kwetu ni S 96.
Hivyo kuomba amendment of judgement and decree in order to clear clerical, arithmetical na errors nyingne zilizoorodheshwa kwenye S 96 sioni kuwa ni kosa.
 
Uko Sahihi. Nitaweka hizo authoritis soon
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Goood mr dragon.

Mkuu nina plot ndani ya manispaa.... nimeinunua kienyej... ina ukubwa wa hekta kama 3 hivi ikiambatana na mto kwa pembeni....

Nahitaji msaada wa kisheria...
Ni vitu gani natakiwa nivifanye ili umiliki wangu uwe halali kabiisa....

Maaana nimenunua kienyeji kwa kuandikishana kwa mwenyekiti.... hakuna hati wala nini... hapajapimwa wala nin ila ni kijijini kimtindo.....

Ni km 15 toka makao makuu wa mji flani nchini.

Sent from "La -Vista"
 
Mkuu, ununuapo eneo kutoka kwa mtu anayemiliki eneo hili kihalali basi wewe unakuwa mmiliki halali wa eneo hilo. Kwa ardhi ambazo hazijafanyiwa survey umiliki unakuwa umekamilika. Ka viwanja vilivyopimwa na viko registered kwa Director of surveys and mapping itahitaji vitu vya ziada kukamilisha umiliki kisheria, nao ni kutoa taarifa kwa msajili wa hati (Registrar of Titles) na hapo utalatibu wa kubadilisha jina la mmiliki kwenye hati miliki utafuata.

Kwa upande wako wewe sasa ni mmiliki halali wa eneo ulilonunua. Cha ziada unachoweza kufanya ni kusajili eneo lako ili isaidie pia kupata hati miliki. Omba kufanyiwa survey kwenye eneo hilo na baada ya hapo utaomba kupewa hati (Certificate of Occupancy). Taratibu hizi ni rahisi na zote unaweza kuzianya katika halimashauri husika, isipokuwa kuna ghrama kidogo kwa ajili ya ada na usajili.
 
Na je katika kufanya survey.... hakuna athari zozote kwa eneo...

Kama kupunguzwa kipande wakati wa kuweka mipaka...?

Kusingizia kama labda hili eneo ni la almashaur kwa ajili ya mahitajio ya jamii km shule.. soko n.k

Then ni vitu gani wataviangalia kuprove kam kweli nimenunua eneo kihalali??

Katika utaratibu wa kupima viwanja kwa matakwa au maombi ya raia (mpimiwaji) viwanja huwa havipunguzwi au kubadiliswa mipaka yake. Kinachoweza kutokea labda kama lile eneo lipo kwenye ramani ya kitaifa na inaonesha kuna barabara kuu inapita pale, kitu ambacho hata eneo lisipopimwa ikifikia mda muafaka barabara itapita tu.
Maeneo ya Shule na mahitaji mengine ya jamii huwa yanapagwa mara tu ya eneo kufanyiwa survey. Ikitokea unaambiwa eneo husika ni la shule au ni kwa ajili ya mipango ya kijamii basi fahamu kuwa eneo hilo lilishapimwa na liko registered na Director of Surveys and Mappings.

Utakavyoenda kusajili eneo lako cha muhimu ni kielelezo chako mlichouziana eneo hilo. Haitahitaaji kuwa na mashaidi.
 
Shukran mkuu....... faida za kupima kiwanja na hasara zake ni nin??

Sent from "La -Vista"
 
Salaam Wasomi,

Naomba kupata msaada wa case ya Tz ambayo imeongelea kinaga ubaga issue ya mens rea

Natanguliza shukurani
 
Mkuu njiazote cases za Tz zinazohusu mens rea zipo nyingi. Halafu zingatia kuwa mens rea inaweza kutumiwa interchangeably na malice aforethought issue inapokuja kwenye Murder. (guilty mind) kwa hiyo nakupa hizi chache (reported zicheki kwenye TLR) na unreported nimeziambatanisha hapa.

  1. Bura v Republic [1994] TLR 13 (CAT)
  2. Republic v Samwel Shepua [1984] TLR 148 (HC)
  3. Wilfred Mahendeka v Republic (1981) TLR 81 –HC.
  4. ALLY KAUZENI v REPUBLIC 1985 TLR 79 (HC)
  5. Mehboob Akber Haji &others v. Republic [1999] TLR 179 (CAT)
  6. Hamisi Rajabu Dibagula v. Republic [2004] TLR 181 (CAT)
  7. Daudi Sabaya v Republic [1995] TLR 148 (CAT)
  8. Herman Nyigo v Republic [1995] TLR 178 (CAT)
  9. Augustino Kaganya, Athanas Nyamoga & William Mwanyenje vRepublic [1994] TLR 16 (CAT)
  10. Mosses Michael @ Tall v Republic [1994] TLR 195 (CAT)
  11. Manazo Mandundu & Another v Republic. [1990] TLR 92 (CAT)
  12. Wilson Nyamhanga v Republic [1984] TRL 340 (CAT)
  13. Fadhili Gumbo @ Malota & Others v Republic [2006] TLR 50 (CAT)
  14. Nicco Peter @ Rasta v Republic [2006] TLR 84 (CAT)
  15. Discile Ng'onja & Others v. Republic [1998] TLR 111 (CAT)
  16. DPP v Omari Jabili [1998] TLR 151 (CAT) –see the dissenting opinion of Mfalila, J.A., at 159.
  17. Republic v. Betram Mapundaand Optatus Tembo [1999] TLR 1 (HC)
Pia tafuta kesi ya MODESTUS RAPHAEL MBAVUMBILI v REPUBLIC, Criminal Appeal no 62/1999 (unreported, CAT)
 
Attachments

Barikiwa sana mkuu
 
.
Mkuu njiazote , kama third party hau hata mmoja kati ya parties kwenye kesi hajatajwa jina lake kwenye judgment na decree basi hiyo ni defect ambayo inaweza kuwa cured. Hii inaweza kuwa imesababishwe na clerical errors na zinarekebishika kama taratibu zitafuatwa.
Decree lazima ibebe majina ya parties wote kwenye kesi, na kama kuna interested parties lazima wawekwe. Third party nae ni interested party kufuatana na strict construction ya neno decree. Hii ni kwa sababau decree inabeba kila kilichomo kwenye hukumu ingawa ni kwa ufupi.
Njia nzuri ya ku challenge hii defect ni kuomba marekebisho ya clerical errors kwenye hukumu au decree au vyote, kutegemeana na makosa menyewe yalivyokaa. Hii inafanywa kwa formal application by any of the parties au suo mottu by the court kama itaona inafaa. Kosa kubwa linaloweza kufanyika hapa ni kuomba ammendment. Kiutaratibu (procedure) huwezi kuamend judgment au decree, maana judment inakuwa imekamilika pale inaposomwa/ tamkwa mahakamani, na decree nayo inakuwa imetoka palepale hata kama haijawa drafted.
Pia huwezi kukata rufaa na ukaweka majina kwenye memorandum au petition of appeal ambayo hayapo kwenye decree. Kwa hiyo vilevile huwezi kutumia hii defect kama ground of appeal.
Nitakuwekea baadhi ya authority za kukusaidia zaidi baadae kidogo.

karibu sana.

Mkuu Dragon naomba kukukumbusha hii
 
MSAADA WENU MKUBWA WAKUBWA. NAOMBA PDF ZA LAW OF EVIDENCE ASA KITABU CHA TEXTBOOK ON THE LAW OF EVIDENCE CHA CHIEF JUSTICE M. MONIR.
 
Back
Top Bottom