olaipa
Member
- Mar 31, 2017
- 63
- 67
Habari wakuu.naomba msaada wenu, kuna mdogo wangu ni mwalimu amepewa barua ya kujieleza kwanini aschukuliwe hatua ya uchochezi na kujihusisha na upimaji mimba, jambo lenyewe ni hiv yeye alupeleka taarifa kwa mkuu kuwa kunamwanafunzi anamhisi kuwa na mimba, baadaye ikatokea mvutano lakini mkuu wa shule akamuagiza mwalim huyo alete vipimo, alipoleta mkuu akaamuru mwanafunzi huyo apimwe na walimu wa sayansi na kweli walimpima, ila yeye hakumpima waliompima ni walimu wa sayansi, baadaye kesi imeenda mpaka wilayani ambapo yeye amepatikana na hatia hiyo ya kumpima na kushabikia binti apimwe, swali langu ni
1. Je kesi hii atashindwa
2. Sheria inasemaje juu ya swala hili
3. Mhusika haasa hapa ni nani
4. Kwanini mkuu hajachukuliwa hatua
5. Akipatika na hatia kifungo in miaka mingapi???????
Ikumbukwe kuwa mkuu katika kesi hii amechwa na inaonekana yana hatia, na pia wale walimu wall mpima binti wameachwa huru, na pia kesi bado iko tumee ya utumishi was walimu