Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Habari wakuu.naomba msaada wenu, kuna mdogo wangu ni mwalimu amepewa barua ya kujieleza kwanini aschukuliwe hatua ya uchochezi na kujihusisha na upimaji mimba, jambo lenyewe ni hiv yeye alupeleka taarifa kwa mkuu kuwa kunamwanafunzi anamhisi kuwa na mimba, baadaye ikatokea mvutano lakini mkuu wa shule akamuagiza mwalim huyo alete vipimo, alipoleta mkuu akaamuru mwanafunzi huyo apimwe na walimu wa sayansi na kweli walimpima, ila yeye hakumpima waliompima ni walimu wa sayansi, baadaye kesi imeenda mpaka wilayani ambapo yeye amepatikana na hatia hiyo ya kumpima na kushabikia binti apimwe, swali langu ni
1. Je kesi hii atashindwa
2. Sheria inasemaje juu ya swala hili
3. Mhusika haasa hapa ni nani
4. Kwanini mkuu hajachukuliwa hatua
5. Akipatika na hatia kifungo in miaka mingapi???????
Ikumbukwe kuwa mkuu katika kesi hii amechwa na inaonekana yana hatia, na pia wale walimu wall mpima binti wameachwa huru, na pia kesi bado iko tumee ya utumishi was walimu
 
Jamani wadau wa jukwaa hili...naomba msaada kidogo kuhusu suala langu ambapo kuna mwizi aliruka fence na kuvunja kioo kimojawapo cha dirisha na kuvunja grill kwa lengo la kuingia na kuiba wakati dogo yupo kwenye pilika (mie sikai nio nje ya mji kwani nyumba ni mpya)

Ila wakati anaruka kuna mwanamama jirani alimwona hivyo akawaambia vijana wakaizingira nyumba na kuomba rukhsa kuingia nami nikawaruhusu na wakafanikiwa kumkamata na kumkabidhi kwa kuongozi wa mtaa yaani mwenyekiti na mtandaji kisha dogo. Amepelekwa polisi na amelala siku 3 rumande na leo amepelekwa rumande na amesomewa shitaka la "KUVUNJA DIRISHA KWA NIA YA KUIBA" kesi itasomwa tena wiki ijayo.

Swali langu hilo shitaka hilo juu linatosha ama ilipaswa kuwa KURUKA UZIO (FENCE) NA KUVUNJA DIRISHA KWA NIA YA KUIBA? au kuna shitaka lingine linapaswa kuandikwa badala ya hilo? na je kuna uwezekano wa kubadilisha shitaka? kama kuna uwezekano wa kubadilisha mashitaka ni hatua zipi za kufuata?

Nawashisilisha

Haya Dragoon nimekufuata na huku
 
Hiyo ni jinai na polisi ndo wanajukumu la kuendesha hiyo mambo kwa niaba ya DPP.
 
MSAADA WENU MKUBWA WAKUBWA. NAOMBA PDF ZA LAW OF EVIDENCE ASA KITABU CHA TEXTBOOK ON THE LAW OF EVIDENCE CHA CHIEF JUSTICE M. MONIR.
Mkuu GBJ nakuwekea hapa baadhi tu ya machapisho yahusuyo LAW OF EVIDENCE kwa ujumla wake. Kazi kwako kupakua na kusoma.
 
Attachments

Dragoon nilikuomba hukumu ya Bulaya na wasira, Court of appeal ya tarehe 28/7. Please if you can manage to get a copy, assist
 
Habari wakuu.naomba msaada wenu, kuna mdogo wangu ni mwalimu amepewa barua ya kujieleza kwanini aschukuliwe hatua ya uchochezi na kujihusisha na upimaji mimba, jambo lenyewe ni hiv yeye alupeleka taarifa kwa mkuu kuwa kunamwanafunzi anamhisi kuwa na mimba, baadaye ikatokea mvutano lakini mkuu wa shule akamuagiza mwalim huyo alete vipimo, alipoleta mkuu akaamuru mwanafunzi huyo apimwe na walimu wa sayansi na kweli walimpima, ila yeye hakumpima waliompima ni walimu wa sayansi, baadaye kesi imeenda mpaka wilayani ambapo yeye amepatikana na hatia hiyo ya kumpima na kushabikia binti apimwe, swali langu ni
1. Je kesi hii atashindwa
2. Sheria inasemaje juu ya swala hili
3. Mhusika haasa hapa ni nani
4. Kwanini mkuu hajachukuliwa hatua
5. Akipatika na hatia kifungo in miaka mingapi???????
Ikumbukwe kuwa mkuu katika kesi hii amechwa na inaonekana yana hatia, na pia wale walimu wall mpima binti wameachwa huru, na pia kesi bado iko tumee ya utumishi was walimu
.
Ndugu olaipa kinachomkabili nduguyo ni hatua za kinidhamu katika utumishi. hii si kesi kama dhana ya kesi inavyojulikana, ni mlolongo tu wa hatua za kuhakiki kama hakuna ukiukwaji wa maadili ya kazi katiaka utumishi. Hakuna hatia itakayomkabili nduguyo au kifungo kitakachomkabili, isipokuwa ni hatua za kinidhamu zitachukuliwa iwapo atapatikana ana kosa.

Ingawa hujaweka wazi suala jenyewe, lakini kwa kifupi ni kwamba mwalimu yeyote anawajibika katika malezi ya mwanafunzi kinidhamu (maadili) na kitaaluma. Hakuna mwalimu ataonekana na kosa kwa sababu tu alishinikiza au kusababisha mwanafunzi aopatikane ana kosa au ahisiwe ana kosa/tatizo. Kwa maneno mengine ni kuwa kuna uwezekano mkubwa huyo mwalimu (ndugu yako) alikiuka baadhi ya taratibu za kufuata (kama nilivyosema awali kuna vitu hujaweka wazi).

Ongea na Huyo mwalimu akuweke wazi zaidi, hasa mashtaka yanayomkabili na awe makini katika kujibu barua ya mashtaka yanayomkabili.
 
Dragoon nilikuomba hukumu ya Bulaya na wasira, Court of appeal ya tarehe 28/7. Please if you can manage to get a copy, asisist
Mkuu copy niliyonayo karibu sio official, bado najitahidi nipate official one. Nikipata wasaa wa kufika sehemu husika nitachukua hard copy ya official copy na kuiscan kwa ajili ya ku-share mkuu.
 
asante sana tena sana. nitakuwa nakukukmbusha. usinichoke
Dragoon hivi hukumu si public document ikisha somwa kwenye mahakama ya wazi, si inakuwa public? Nieleweshe.
 
Ndio mkuu, hukumu ikishasomwa inakuwa Public Document mara tu msomaji anapohitimisha neno la mwisho. Ukiachana na kusomwa kwenye mahakama ya wazi tu, kuna hukumu pia inaweza kusomwa (hutokea mara nyingi kwenye kesi za madai) katika chemba ya jaji au hakimu. Hii pia inakuwa Public Document mara tu itakaposomwa. Hukumu ya Mahakama au Baraza ikishakuwa Public Document inakuwa ni haki ya raia yeyote anayeihitaji.

Sasa hapa ninaposema kuna kopi iliyopo ambayo sio official ni kwamba hiyo hukumu ambayo inasomwa na kuwa public document lazima iwe official (inaweza kuwa imeandikwa kwa mkono au kwa hati mkato/mashine au hata kwa kielektronik). Na document hii inakuwa official ikiwa ni ile iliyoidhinishwa- kuwa na sahihi na/au mhuri unaohusika. Kuna mazingira hukumu inaweza ikasomwa lakini baadae ikatolewa hati sahihi kwa matumizi (official copy) ambayo inaweza kuwa na utofauti mdogo au mkubwa, hasa katika mpangilio wa kimaandishi na lugha, na hati ya asili.

Kwa hiyo hapa mkuu official copy ikishatolewa ambayo kimsingi ndio inakuwa public document basi hakuna nakala nyingine itakayotumika kiuhalali. Mahakama zetu (tanzania) zimekuwa na tatizo kubwa sana la kucheleweshwa kwa nakala za hukumu (hasa mahakama kuu na mahakama za chini, na baadhi ya mabaraza ya Ardhi). Hii inasababishwa na ukweli kwaba mara baada ya hukumu kusomwa basi jaji au hakimu hutaka kuipitia na kurekebisha vitu mbalimbali katika hukumu yake (proof reading) na wakati mwingine makatibu muhtasi wamekuwa wazembe sana katika kuchapa nakala za hukumu kwa wakati muafaka, mara nyingine wakitaka wapewe hongo kwanza ndipo wafanye kazi hiyo.
 
Nimekupata vema. Asante tena
 
Jamani wadau wa jukwaa hili...naomba msaada kidogo kuhusu suala langu ambapo kuna mwizi aliruka fence na kuvunja kioo kimojawapo cha dirisha na kuvunja grill kwa lengo la kuingia na kuiba wakati dogo yupo kwenye pilika (mie sikai nio nje ya mji kwani nyumba ni mpya)

Ila wakati anaruka kuna mwanamama jirani alimwona hivyo akawaambia vijana wakaizingira nyumba na kuomba rukhsa kuingia nami nikawaruhusu na wakafanikiwa kumkamata na kumkabidhi kwa kuongozi wa mtaa yaani mwenyekiti na mtandaji kisha dogo. Amepelekwa polisi na amelala siku 3 rumande na leo amepelekwa rumande na amesomewa shitaka la "KUVUNJA DIRISHA KWA NIA YA KUIBA" kesi itasomwa tena wiki ijayo.

Swali langu hilo shitaka hilo juu linatosha ama ilipaswa kuwa KURUKA UZIO (FENCE) NA KUVUNJA DIRISHA KWA NIA YA KUIBA? au kuna shitaka lingine linapaswa kuandikwa badala ya hilo? na je kuna uwezekano wa kubadilisha shitaka? kama kuna uwezekano wa kubadilisha mashitaka ni hatua zipi za kufuata?

Nawashisilisha

Haya Dragoon nimekufuata na huku
.
Mkuu Jodoki Kalimilo kwanza karibu sana kwenye hili jukwaa.
Pili ni kwamba mashitaka ya makosa mbalimbali yameainishwa katika misingi ya kisheria. Mtu anapopelekwa mahakamani na kusomewa mashataka (au shtaka) ni lazima shtaka au mashtaka hayo yawe yemeainisha kosa la mtuhumiwa. Na kosa lazima liwe limewekwa na sheria.

Katika kumshtaki huyo "mtuhumwiwa" aliyeandaa hati ya mashtaka alikuwa sahihi. kashtaki kulingana na kosa lililofanyika likioanishwa na kifungu cha sheria kinachoainisha kosa hilo. Mtuhumiwa wako washtakiwa kwa kosa la KUVUNJA DIRISHA KWA NIA YA KUIBA kwa sababu ndilo kosa alilolifanya na limeainishwa katika kifungu namba 297 cha Kanuni ya Adhabu, sura namba 16 ya sheria za tanzania. kifungu hiki kinasomeka "Kuvunja na kuingia nyumba kwa dhamiri" au kwa kiingereza "Breaking into building with intent to commit an offence". Hapa neno "Nyumba" ni pamoja na dirisha, dari, mlango, sakafu, ukuta, dohani au chochote kinachowezesha mtu kuingia au kutoka kwenye jengo.

Kwa hiyo neno "Kuruka ukuta/uzio" kama utakavyo wewe ni sawa tu na kusema 'kuvunja nyumba' kulingana na kifungu namba 293 cha Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 ya sheria za tanzania.

Kwa msingi huo basi hakuna haja ya kubadili Shitaka. Kwa mazingira uliyoelezea hakuna shtaka jingine la kushtaki badala ya hili, isipokuwa kuna kitu kinaitwa (joinder of offences) kinaweza kufanyika ikiwa kuna makosa mengine yalifanywa na mtuhumiwa zaidi ya lililotajwa. Hapa litamfanya mshtakiwa asomewe shitaka zaidi ya moja.
Karibu sana
 
Ahsante mkuu
 
Ahsante mkuu naona kesi imesomwa leo but mtuhumiwa ameingia mitini maana alipewa dhamana hivyo kinachofuata ni zoezi la kumtafuta...nitarudi tena siku nyingine ili niweze kujua hatua zaidi za kufuata maana nimeamua ku-deal nae makusudi nione mwisho wake
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Dragon, habar. Hivi hukumu ya Kenye ya kutengua urais haijatoka?
 
Imetoka mkuu. Hii hapa, majority decision na dissenting opinion ya majaji wawili.
karibu sana
 
Attachments

Back
Top Bottom