asante sana. Voluminous judgements.Imetoka mkuu. Hii hapa, majority decision na dissenting opinion ya majaji wawili.
karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana. Voluminous judgements.Imetoka mkuu. Hii hapa, majority decision na dissenting opinion ya majaji wawili.
karibu sana
Kwa mtu kama wewe ni vizuri ukazipitia. Nami pamoja na kuwa siyo mtu wa sheria, nitazipitia. Ninapenda kujua haya mambo. Njoki is 440 pages! With tables appended!ni voluminous judgements kwa kweli. Juzi nilijaribu kuzipitia nikajikuta nachoka tu. Nitajipa mda leo nizipitie,
mkuu habari, naomba nitafutie kitabu cha civil procedure by omary issaHapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
.Dragoon na Wadauu naomba kupata KESI ya UDHAMINI wa Nyumba kwa MTU au KAMPUNI kupewa mkopo
na mkopaji yupo ila ataki kumalizia mkopo
Nataka nipate some legal explanations kutokana na hizo kesi
Pia kesi inapoitwa na upande wa walalamikiwa hawaji nini taratibu za kufanya
.
Mkuu, sijaelewa vizuri tatizo lako. Ni kwamba una kesi mahakamani? kama ipo inahusu nini? na wewe ndio mshtaki au mshtakiwa?
Au unahitaji case-laws zinazohusu udhamini na mikopo? Naomba ufafanuzi tafadhali.
Mkuu, Kwanza kabisa pole kwa kusongwa na huo mgogoro.YEAH nahitaji case-laws zinazohusu udhamini na mikopo
Ohh! Asant kwa kunikumbusha. Kesho asubuhi nitakuwekea mkuu
Mr Dragoon,Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
.Mr Dragoon,
Naomba msaada: Hivi Power of attorney (POA) inatolewa kwa NANI ie nani mwenye sifa za kupewa Power of attorney? Pili nani mwenye mamlaka ya kutoa power of attorney?
Kampuni inaweza kutoa power of attorney kwa NANI? Mteja wa kampuni anaweza kupewa POA? Kuna wahindi wamempa POA mtu anayefanya nao biashara awawakilishe katika kesi ya ardhi.. (of course wamemweka wakili) aliyefungua shauri ni mteja wao. Je hiyo inaruhusiwa.
Je kama huyo aliyetoa POA yuko nchini ni sahihi kisheria kumap mtu POA?
Lastly nasikia kuna kesi ya CA inayokataza mtu baki kama huyu mteja wa kampuni kupewa POA. Any relevant case kuhusu power of attorney naomba please
Msaada tafadhali
.Mkuu Dragoon nnatafuta case law ambayo inaonyesha kuwa siyo lazima kuwa na company resolution once the company wants to sue.
I'm aware of some past conflicting decision on that requirement, others need it to be attached and other see it of insignificant. I don't have any of them.
So if anyone have the same please share!
Your Lordship , thanks a lot for this incredible piece of information and references..
Kiongozi Retired ,
Power of attoney ni hati inayotoa na kudhibitisha mamlaka ya mtu fulani kufanya kitu fulani kwa niaba ya mtoaji. [the power of attorney is defined to be a document executed by a person in favour of another empowering the latter to do any lawful act or acts for and on behalf of the donor:… (Ahmed Ibrahim Bora v. Mehboob Abdulkarim Shivji & Another, Misc. Commercial Cause No. 17 of 2007)]
Power of attorney kimsingi zipo za aina mbili:- (1) inayompa mtu au kampuni kusimamia na kutekeleza shughuli mbalimbali zinazohusu mali na haki za mtu au kampuni, na (2) inayompa mtu au kampuni haki ya kusimamia kesi katika mahakama za Tanzania. Aina zote hizi mbili ni sharti zisajiliwe kisheria ili kuwa halali. Ile ya kwanza inasajiliwa chini ya the Registration of Documents Act, cap 117 na the Land Registration Act, cap 334.
Mtu yeyote mwenye age of majority na mwenye akili timamu anao uwezo wa kutoa Power of Attorney au kupewa Power of Attorney, kulingana na matakwa na dhamira ya Power of Attorney yenyewe. Pia kampuni inaweza kutoa na kupewe Power of Attorney. Hata hivyo hati hii ya Power of Attorney lazima iwe katika mfumo wa kiapo, na isainiwe na wakili au kamishina wa viapo.
Kama nilivyoeleza hapo awali, kampuni pia inao uwezo wa kutoa POA. Inaweza kutoa kwenda kwa kampuni, wakili au kwa mtu binafsi. Inaweza hata kutoa POA kwa mteja wake, kulingana na dhamira ya POA yenyewe. Kuhusu kampuni kumpa mtu POA kusimamia kesi ya Ardhi ni tata. Kwa Tanzania hairuhusiwi mtu kusimamia kesi katika mwavuli wa POA isipokuwa katika mazingira yafuatayo:
1. Anayewakilishwa awe nje ya mipaka ya Tanzania na hawezi kufika nchini kirahisi. [Zarina Mohamed v Leonida Sakulo, Land Case No. 166/2010 (unreported); Georgia Celestine Mtikila Vs. Registered Trustees of Dar es salaam Nursery School & Another [1998] TLR 512; Property Consultancy v Seemi Probil Co Ltd & Others, Land Case No. 258/2008; Naiman Moiro Vs Nailejiet K. J. Zablon [1980] TLR 274]
2. Anayewakilishwa isiwe kampuni au corporate body, Kampuni inawakilishwa na wakili au athorised officer (afisa wa kampuni) lakini sio wakala. Mtu mwenye hisa katika kampuni anao uwezo kuwakilisha kampuni katika shauri kwa niaba ya wanahisa wengine pekee, si kwa niaba ya kampuni [Ahmed Ibrahim Bora v Mehboob Abdulkarim Shivji & Another, Misc. CC No. 17/2017. Angalia pia John Nyaronga v Captain Ferdinando Ponti & 2 others, CC No. 62/2009 (Mruma, J.)] Kampuni itawakilishwa na meneja wake, mwanabodi wake au katibu wake lakini ni lazima iidhinishwe na Bodi ya kampuni (company resolution) – Kanuni ya 30 (3) ya Court of Appeal Rules, 2009.
3. Kwa baadhi ya mashauri mtu anaweza kuwakilisha mtu kwa mwavuli wa POA katika mahakama za mwanzo, ambako CPC na sheria zingine hazitumiki na wana kanuni zao za kuendesha mashauiri [Deemay Sikay v Neema Magoni, CAT Civil Appeal No. 3/2011 (unreported)]
4. Mwakilishi anaeshikilia POA sharti aidhinishwe na Msajili wa Mahakama ya Rufani kusimamia kesi hiyo kama kesi iko mahakama ya Rufani, kama ni mahakama kuu ni lazima iidhinishwe na Msajili wa mahakama kuu.
Kwa ufupi POA haifanyi kazi kama mwenye kesi yupo ndani ya mipaka ya nchi [Angalia kanunu ya 30 (2) ya Court of Appeal Rules 2009, ambapo hata Mahakama za chini hufuata utaratibu huo. Pia angalia kesi za Abbas Khatib Haji v Haidar Thabit Kombo, CAT Civil Appeal No. 5/2002 (unreported) na Hamisi Kirumbini v Pantaleo Asenga, CAT Civ. Appl. No. 157/2005 (unreported)].
Kwa maelezo haya kampuni hiyo ya wahindi kama ulivyoeleza haina msingi kisheria kumpa mtu POA kusimamia kesi yao.
Karibu sana.....
Dragoon , natumaini umeamka salama. Nikuombe, kwa heshima na taadhima, hukumu ya Lulu ikitoka tuwekee hapa maana it might be an interesting judgement to read and make a legal analysis, whatever the outcome. I, do expect a high level relevant law research by the judge before writing such a judgement. Just for leisure, read this and you will appreciate that judges are not predictable. Angalia Justices of appeal walivyotoa quite a different version of the reasoning that resulted in what I can term as " a U-turn of reasoning such that no body would have expected such a final verdict!"Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
.Dragoon , natumaini umeamka salama. Nikuombe, kwa heshima na taadhima, hukumu ya Lulu ikitoka tuwekee hapa maana it might be an interesting judgement to read and make a legal analysis, whatever the outcome. I, do expect a high level relevant law research by the judge before writing such a judgement. Just for leisure, read this and you will appreciate that judges are not predictable. Angalia Justices of appeal walivyotoa quite a different version of the reasoning that resulted in what I can term as " a U-turn of reasoning such that no body would have expected such a final verdict!"