Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

.
Ndugu Retired kesi yenyewe ni hii hapa.
Dragon, kuna amandments za Court of appal rules nimekutana nazo kwenye mtandao. Unazifahamu? Je zimeanza kutumika? If so zinatumika, leave to appeal from high court section 45 ya CA rules 2009, inaingiliana vipi na section 47 ya THE COURTS (LAND DISPUTES SETTLEMENTS) ACT, 2002 Dragoon
 
Attachments

Hello, naomba msaada wa sheria ya vyama vya siasa with latest amendments
 
Kwa mfano mimi niliajiriwa na kampuni y ambayo inahusika na kazi za ulinzi (y sio jina sahihi) na nikasaini mkataba na hio kampuni na kuelewana kulipwa mshahara wa tsh.50,000 kwa mfano,(sio kiasi sahihi) .

Baada ya mkataba nikapelekwa na kukabidhiwa kazi ya ukarani kwenye kampuni nyingine tofauti na ile niliyosaini nayo mkataba, nikaamuriwa nianze kufanya kazi ya kupost entries na ku-update kwa kutumia mifumo ya ERP,Ms word,Ms excel,na Ms publisher.

Nilihoji lakini nikapewa majibu kwamba nifanye kazi nitarekebishiwa mshahara lakini hadi sasa nina miaka mitatu kwenye hii kazi sijawai kuona nyongeza yoyote ya mshahara,na pia hata likizo sijawai kwenda na wala sikukuu sipumziki kila siku ni wa kuingia job.

Kibaya zaidi kampuni ninayoifanyia kazi sina mkataba nayo wala hainilipi matokeo yake inailipa ile ambayo nilisaini nayo mkataba na wao wananigawia kiasi kile kile cha usecurity ile hali mimi ni karani.

Ndugu wana jamiiforum naomba msaada kuhusu hili je ninatendewa haki? na kama sio nifanye nini ili kuomba haki yangu?
 
Attachments

Wakuu naombeni SOFT COPY HIZI PENAL CODE RE 2002, CPC 2002, CPA RE2002,. ADMINISTRATIVE MANUAL CHIPETAA NA LAW OF CONTRACT YA NN NDITI
 
[QUOTE="Dragoon,Hii nyingine ya hamisi icheki [1985] TLR 24, ama la basi ni vyema ukaweka citation yake sahihi.[/QUOTE]
hapo sijakuelewa hio 1985 TLR 24 Dragoon
 
Dragon, kuna amandments za Court of appal rules nimekutana nazo kwenye mtandao. Unazifahamu? Je zimeanza kutumika? If so zinatumika, leave to appeal from high court section 45 ya CA rules 2009, inaingiliana vipi na section 47 ya THE COURTS (LAND DISPUTES SETTLEMENTS) ACT, 2002 Dragoon
Vp zimeanza kutumika?
 
Back
Top Bottom