victor wa crispino
Member
- Sep 22, 2016
- 20
- 5
Net sipati notice nzur ndo maana nikaombaUpo chuo gani ambacho unatakiwa kuwa na NOTICE ZA REFUGEE LAW?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Net sipati notice nzur ndo maana nikaombaUpo chuo gani ambacho unatakiwa kuwa na NOTICE ZA REFUGEE LAW?
Upo Mwaka wa ngapi na chuo gani?No nnaisoma but kuna vitu kadhaa cjavipata na nkiangalia net cpat istahilivyo
Nimekuelewa ndugu yangu, nataka kufahamu upo mwaka wa ngapi na Chuo gani hii itanipa mwanga namna ya kukusaidia.Net sipati notice nzur ndo maana nikaomba
UDSM mwaka wa 2Nimekuelewa ndugu yangu, nataka kufahamu upo mwaka wa ngapi na Chuo gani hii itanipa mwanga namna ya kukusaidia.
Naomba namba yako ya Simu pamoja na Email address yako.UDSM mwaka wa 2
Umepata email yangu?Naombeni mwenye notice za refugee law anisaidie.
Bado sijaipata na pia na shukuru kwa ushauri mzur nakuahid ntaufanyia kazi ipasavyo.Umepata email yangu?
Sasa naweza kukusahihisha.
Unapokuwa katika majukwaa kama haya jitahidi sana kutumia lugha sanifu au kutumia lugha kwa ufasaha, nimekuuliza zaidi ya mara mbili juu ya matumizi ya NOTICE badala ya Notes kwenye maandishi yako.
Pili, hizo nilizotuma ni chache kati ya nyingi ambazo unaweza ukapata hapo Chuoni, unaweza onana na Madame Dr. Massabo (Associate Dean) ni mmoja wa wakufunzi wa hilo somo ukamuomba materials za Sheria za Wakimbizi na atakusaidia bila hiyana pamoja na kuwa wanafunzi wengi hawampendi huyu mama kutokana na u_serious wake.
Lakini pia, unaweza mtafuta Prof. Rutinwa akusaidie materials za hilo somo na huyu ndio yupo vizuri zaidi kwani ndiye Course Coordinator, na huwa anatoa hadi Books, Statutes na Resources zingine ambazo ulipaswa kuzinunua bure kabisa.
Mwisho ingia Maktaba, Maktaba na Mwanasheria ni vitu visivyotengana, jenga mazoea ya kwenda kuyasaka maarifa Maktaba, Maktaba ya UDSM hasa LAW COLLECTION imesheheni vitabu ambavyo wanafunzi wa vyuo vingine wanavisikia tu na kama wanavyo basi ni kama shule za kata kitabu kimoja Darasa zima.
Narudia tena jijengee mazoea ya kwenda kujisomea vitabu pale Maktaba, kukazia hoja yangu nakupa hii toka kwa Benjamin Nathan Cardozo: "A law student is more than a walking library, more than a soldier in the army..."
Nakutakia mafanikio mema katika masomo yako, Mwenyezi Mungu akusimamie.
Thanks brother.
Mkuu kisheria mirathi ina mtiriririko wake maalum. Kwa ufupi unaanza kikao cha ndugu/warithi cha kupendekeza jina la msimamizi wa mirathi, baadaye msimamizi anafungua shauri mahakamani (inaweza kuwa mahakama ya mwanzo au mahakama kuu, kutegemea mazingira ya shauri jenyewe). Baada ya mahakama kusikiliza shauri hilo (huanza kusikilizwa baada ya mda uliowekwa kupita, ili kutoa fursa kwa anaetaka kupinga mirathi ile), msimamizi wa mirathi hutauliwa rasmi na mahakama.Msaada tartibu za kufuatwa kuandaa urithi/mirathi.
Kisheria....
law ambayo inakataa jaji kujitoa kwenye kesiHapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
habari mheshimiwa...hivi naweza kupata nakala ya hukumu ya kesi ya kasusura na ile ya zombe?Vingine hivi hapa
Chief naomba kesi au judgements ambazo zinaruhusu company kufungua kesi bila board resolution