Legend Salama Jabir afunguka, " Hajawai tokea msanii wa kike hodari kumzidi Zuchu kwenye bongofleva"

Kitu ambacho Salama amekisahau ni kwamba Zuchu amebebwa na brand ya wasafi. Hakusimama mwenyewe kama wengine kina V money and the like
 
Tofautisha kati ya kubebwa na brand maarufu na brand coco ama bila brand kabisa. Alafu sisi ni watu wazima nani wakutudanganya!!
Ukishaona msanii umemfahamu basi ujue kuna watu wanambeba. WCB wamembeba Queen Darlin lakini ameshindwa kutoboa kama unafikiri Zuchu kuwa WCB ndio sababu pekee ya yeye kuwa mkali.
 
Ila wee shost una tabu mnooo, Salama kasema Zuhura n muandishi bora wa kike, na sio mwanamuziki, uwage unaelewa kwan, sio kukurupuka na kuleta threads hapa, ulivyo jinga sasa ukaleta na Ref ambayo inakupinga na unachokusudia kutujulisha,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], poleeeeeeh sanaaaaa.
 
Usisahau huyo unae mwita gwiji na kumsifia anajua mziki ndie alie mwambia harmonize hajui kuimba
Halafu alivyoona Cheed ameanza kuu-shine akaanza kumsifia.

In short, Kina Salama nyakati zimeshawatupa ila katika mazingira harakati za kufit in ili kupata SHIBE wamegeuka watu wa wa hovyooo
 
Nitajie hit song 5 za ray c
 
Damn jide na rayc nyimbo zao were [emoji91]

Hizi nyimbo za sasa ngono tupu
 
Umeniwahi na hii comment mkuu. Wengi wameamua kusoma na kuelewa walichotaka kuelewa na sio kilchodhamiriwa na salama.

Point ya Salama ni uandishi/utunzi lakini mashabiki maandazi wakaamua kutotofautisha uandishi na uimbaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…