Legend wa hiphop Jos Mtambo wa tongwe record rafiki wa Roma aomba msaada hali yake inasikitisha

Itakuwa mambo ya wadaku tuuu
 
Unadhania hapati mkwanja wa hapa na pale..mtu akifikia hiyo stage ya Jos mtambo anakua kila anacho kipata kinaishia kwenye ulevi..Kama mzee tupa tupa kwenye kile kitabu Cha o-level..

Na pombe zikizidi tunapoteza nguvu ya taifa.

Mimi kuna Cousin wangu alikuwa anatumia vinywaji changamshi mbali mbali.

Mwaka 2015 kichwa kilipata shida mpaka leo hii amekuwa zaidi ya huyo Joseph Mtambo.

Ukiona MTU mzima hawezi kukaa na simu kisa ataiuza ili akanunue pombe sio powah.


Hiyo point inaitwa NO return inahitaji Neema ya Mungu ndo itumike kumnasua hapo
 
Una kataa peke yako bila YESU KRISTO?
 
Naona fursa kwa hawa legendaries,
Ngoja tuone
 
Kitambo sana, jose alikuwa mtu wa pombe kali tena mpaka gongo.
Yupo katika hatua niliwaza kuwa atakuja kufikia, lakini sikuwa katika nafasi ya kuongea nad(kumsaidia).
For sure makaveli hatua aliyo fika Jos mtambo ni retardation..yaan kujikatia tamaa, uvivu, uzembe anaitaji MSAADA ili atoke kwenye hilo shimo kutoka ni mungu pekee.

Itauma Sana tukichanga rambirambi baada ya kifo chake wakati tulikua na uwezo wa kumsaidia akiwa hai.
 
Mafunzo ni mengi Sana for sure hakuna familia inakosa watu wa aina hiyo na uhakika..


Na for sure Kuna watu hawawezi kukaa na simu wanaweka Bondi ili aweze kunywa pombe ni hatare Sana kukata tamaa na kupoteza dira..
 
Maisha yanahitaji nidhamu sana, tena sana. Ukicheza vibaya utakuwa mtu wa hovyo sana na hakuna wa kukusaidia...Wapo watu wana pesa nyingi sana lakini nidhamu ndo inawaweka mfano CR7 na Messi Hawa jamaa wana nidhamu sana kwenye hii sekta ya burudani. Tatizo wengi wetu vichwa panzi, ukiwa na jina akili zinaruka.
 
Hatari Sanaa..kumbe Kuna pombe za kurogwa unakua sikio la kufaaa.
Zipo Mkuu huu uchawi upo sana Bukoba wao wanaita(Njanga au kufafarikana)

Mfano unakuta mtu bia tatu za balimi zinamfanya anajikojolea na kuzima

Wakati hizo bia tatu ni
(Alcohol power 15 jumla) na kila ukipata hela unawaza tungi tu
 
Hasa hasa mtu mweusi...kwa Tz mbwana Samantha ni moja ya watu wenye nidhamu sanaaa
 
Zipo Mkuu huu uchawi upo sana Bukoba wao wanaita(Njanga au kufafarikana)

Mfano unakuta mtu bia tatu za balimi zinamfanya anajikojolea na kuzima

Wakati hizo bia tatu ni
(Alcohol power 15 jumla) na kila ukipata hela unawaza tungi tu
Mkuu,
Una mambo mengi unayajua wewe ni moja ya hazina kubwa ya JF period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…